chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Serikali kutumia pesa kusema ni wanachama wa CHADEMA

    Propaganda majitaka jinsi zinavyozidi kuonesha CCM ni mfu
  2. JamiiForums Tanzania Hivi nyinyi mnaowachangia wanasiasa matapeli wa CHADEMA huwa mnaakili za kawaida kama zetu mbona Mimi sielewi wakuu au ni kukosa elimu ya fedha?

    Eti chadema wanachangisha Hela za kula chakula siku ya kikao cha kamati kuu kwanini wasichange UNGA wasonge ugali wale ? Kama hakuna Hela kwanini wasifanye online meeting? Hivi Bado hamuoni kama hawa jamaa ni matapeli? Watanzania mtatapeliwa mpka lini? Huu ujinga mtaacha lini? Acheni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Chezea CHADEMA Dodoma wewe. Makao Makuu ya Nchi

    Hii ni Dodoma
  4. JamiiForums Tanzania Twende kazi Tonetone chaka to chaka, tunaitafuta 334M. Hizi ndizo njia za kuchangia

    Hadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu. Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao. CHANGIA SASA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la...
  5. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini ghafla tu wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao wakuu hasa wa kitaifa?

    Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla ya kutoaminika na kutokubalika kwa viongozi wa chadema taifa hivi sasa. Na kuna viongozi wa kitaifa ambao kutokana na matendo na mienendo yao isiyoeleweka ndani ya chama...
  6. JamiiForums Tanzania Akili za wazulu naweza kuzifananisha na akili za CHADEMA na wafuasi wake!

    White South African business owner reportedly refused to reopen his company after being confronted by members of March and March, who demanded that he employ South African citizens. According to the owner, he will not make hiring decisions under pressure or intimidation. #"""He argued that...
  7. JamiiForums Tanzania Bundi atua CHADEMA, Lema ni Mfunufaika mkubwa wa Michango!

    Tazama video hii
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya sasa inakubalika kuliko hata TANU ya mwl Nyerere iliyopigankia uhuru wa bendera. Sasa hivi watu wanataka ukombozi

    TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao. Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA muwe na plan...

    Hello JF.. Mimi naamini Chadema ina struggle financially, hata kama hatutaki kudiscuss hili,bado haiondoi ukweli kuwa kuna tatizo mahali... Ku fight na ma giants kama CCM ambako matajiri wanamwagia pesa tu kiholela ili tu kulinda interests zao kunahitaji mkakati... Sijajua sana wanayofanya...
  10. JamiiForums Tanzania Mabenki na mitandao pesa washapewa tishio na serikali ya CCM kama watapokea pesa ya michango ya CHADEMA.

    Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa. Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi...
  11. JamiiForums Tanzania NijuzeNews: Mahojiano na Dr. Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA.

    Katika mahojiano na NijuzeNews, Dk Nshala atema nyongo! https://www.youtube.com/watch?v=E1YHABa2SGc
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Maelekezo toka juu: Fungeni account za CHADEMA siku chache kabla ya mkutano mkuu, wape kesi ya utakatishaji

    Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+ Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje, Britanicca
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mpango wenye nia ovu kukwamisha michango ya CHADEMA kwa kigezo cha fedha haramu na utakatishaji fedha

    Kuna tetezi zimegaa mitaani kuwa serikali ya CCM inataka kuanza kufanya figisu. Figisu zenyewe ni kutaka kuifuatlia michango ya Cdm ambayo mpaka sasa imefikia Tsh 90 mil+ Wanataka kuleta zengwe kuwa michango hiyo ni fedha haramu na kuna utakatishaji fedha ambao utatumika kufanya uharamia.
  14. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Heche wakivuka na hili CCM watakuja na lipi?

    Nimesema CHADEMA na Heche wakivuka na hili,maana yake wameshapitia matukio mengi ya kutengenezwa na walivuka. Sasa limekuja hili la Heche kuzushiwa kula Hela. Najiukiza hivi,ikiwa CHADEMA itavuka hili,na Nina uhakika itavuka kwa maana ni ushuzi TU,wala sio uzushi. Na ikiwa Heche atavuka...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Propaganda zote za CCM kwa CHADEMA zimefeli, tuwashauri mbinu mpya na za kisasa

    Walianza kusema Chadema ni chama cha Kichaga cha Kikanda hasa kaskazini, hii propaganda ilikufa ikazikwa. Wakasema chama cha Kikatoliki, hatuwasikii tena. Wakawarubuni baadhi ya viongozi kuanzisha/kuhamia ACT/CHAUMA, kina Zitto, Mwalimu, leo wanatamani kurudi. Wamemtumia msajili wa vyama...
  16. JamiiForums Tanzania Kama hawa wote wanaomtuhumu Heche wamenunuliwa, CHADEMA hamna makada!

    Huwa tunapenda sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Hata hivyo majibu ya namna hiyo hayatibu ugonjwa. Mtaji wa kwanza wa chama cha siasa ni wanachama waaminifu ambao wapo tayari kukitetea, kukilinda na kukipigania chama chao. Tafakari, kama chama viongozi wake, wanaweza nunuliwa kwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Watanzania wapenda haki lazima kumlinda HECHE

    Historià inajirudia Heche ni mpenda haki, mpigania haki tangu akiwa tumboni kwa mama yake. Tumlinde kwa wivu mkubwa.
  18. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia Taatlaah mwanaCCM anaihusudu CHADEMA kuliko CCM

    Ndg wanajukwaa wenzangu Kwa kipindi kirefu mmeshuhudia member mwenzetu wa jamiiforums bwana mdogo Tlaatlaah akitoa nyuzi zinazohusu chadema Kila siku kama conveyer belt. Hii yote ni kwasababu anaipenda na kuihusudu chadema mnoo kiasi Cha kushindwa kuficha mahaba yake. Kimsingi huyu bwana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mfano Rais akawachangia CHADEMA tonetone, Hali itakuwaje?

    Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50, Je chadema watapokea huo mchango? Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano? Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers...
  20. JamiiForums Tanzania This is clearly a smear campaign meant to distract and weaken the opposition. Let us deal with facts, not cheap politics against HECHE

    The accusations being thrown at the Vice Chairman of CHADEMA regarding alleged embezzlement of party funds to build a house are not only baseless but politically motivated. The house being circulated online as 'evidence' does not even compare to properties I personally own, which raises serious...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…