chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Halafu Inawezekana hii CCM ikawa ni mpango wa chadema mjue

    Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa; 1. Mbona viongozi wote wa chadema baada ya muda wanajiunga ccm?!! Hii CCM sio project ya chadema...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Said Issa dhidi ya CHADEMA yaahirishwa hadi Septemba 10, 2025; nyaraka za mali na fedha zaombwa Mahakamani

    Kesi ya madai namba 8323/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama hicho imeendelea tena leo, Alhamisi Agosti 28.2025 Mahakama Kuu ya...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi. Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Lembrus Mchome na Monalisa Ndala bado ni wanachama wa CHADEMA na ACT?

    Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao. Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili, secretariat yote ya chama chake ikafukuzwa. Kadhalika, Monalisa Ndala ameshitaki ACT kwa msajili...
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna tume huru. Luhaga Mpina angeanika ufisadi wa serikali ya CCM kwenye kampeni. Mabadiliko wanayoyataka CHADEMA ya Lissu yanahitajika

    Ni wazi kuwa Mpina angeeleza kwa kinagaubaga ubaya wa Serikali hii ya Samia na kundi lake. Act Wazalendo walichanga karata vizuri. Mfano wa hoja zake za msingi ambazo kila mtanzania anazielewa ni mikataba zaidi ya 47 inayohusu rasilimali za taifa hili lakini Bunge na wananchi...
  6. JamiiForums Tanzania Gwajima na Polepole, Chadema kesho CCM wanaanza kampeni rasmi

    Wanaukumbi. Gwajima na Polepole ni project ya mtu mmoja na script writter ni mtu mmoja ndiyo maana hawaishi kurudia rudia kuongea vitu vilevile kila siku kwa kuwa hawana ajenda ya kusema na kuongea. Siku 10 zilizopita alisema atarudi na kuongea mambo mazito sana na watu hawataamini. Hivi...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Kaiza: Hakuna mwana CHADEMA aliekuja Chaumma aliesema anarudi nyumbani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Agness Kaiza, leo tarehe 27 Agosti 2025 amerejesha fomu yake ya kugombea na kusema Tume ya Uchaguzi imeridhia kuwa anazo haki zote za kushiriki uchaguzi huo. Akizungumza na wananchi wa Segerea, Kaiza aliahidi...
  8. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya CHADEMA Kuandika Barua UN, US, EU, AU, EAC ni sawa na kupaka rangi upepo.

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mpango wa kuandika barua kwa mashirika ya kimataifa Umoja wa Mataifa (UN), Umoja wa Ulaya (EU), Marekani (US), Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kikilalamikia mifumo ya uchaguzi. Kulingana na Makamu Mwenyekiti wake...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha

    Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha 1. Kwamba CCM hawawezi kushindana 2. Kwamba kura zinaibiwa 3. Watu wa Mama ndiyo watekaji 4. Nchi imeuzwa kwa wana mtandao 5. CCM ni chama cha kifamilia Kama hukubaliani na hayo elewa kwamba wewe ni kilaza. Bila reform...
  10. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Zuio la Mahakama halijatufanya CHADEMA tusitishe Michango ya Tone Tone

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho hakijafunga mifumo ya uchangiaji wa chama hicho maarufu Tone Tone, akiwaomba Wanachama na wapenzi kuendelea kukichangia, kwani kwa makatio ya kujirudia. Mnyika ameyasema hayo leo Agosti 27 alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea CHAUMMA achanganya mafaili akifikiri bado ni CHADEMA, asema 'Peoples'

    Lumola Kahumbi mwanachama wa CHAUMMA na mgonbea ubunge wa jimbo la Bariadi amejikuta akitamka neno "pipoziiiiii" mbele ya wanachama wa CHAUMMA Hali iliyozua mshangao kabla ya bwana Lumola kurekebisha kauli yake Ikumbukwe kuwa Lumola alikuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kuhamia CHAUMMA
  12. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baraza la Kidigitali CHADEMA: Viongozi wajadili mustakabali wa uchaguzi Mkuu 2025

    Chama cha Demokrasia na Mendeleo kimeandaa Baraza la Kidigitali ambalo leo Agosti 27, 2025 kwa lengo la kujadili mustakabali wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Fuatilia... https://www.youtube.com/watch?v=X6MuQ8tB36M
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Kabla ya Septemba 7 Serikali itakuwa imemuachia Tundu Lissu. Kete hiyo itabadili uelekeo wa siasa za Tanzania. Je, Chadema kushiriki?

    Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania ACT sawa yawapate, Chadema ikisema NO REFORMS NO ELECTION mnakuja na TUTALINDA KURA badala ya kuunganisha nguvu za NRNE

    Kukiwa na reforms wanazozipigania CHADEMA, haya yote yasingelikuwepo! Badala ya kuunganisha nguvu, mnaleta mzaha wa ujinga wa tutalinda kura. ngoja kiwapate, safi kabisa. AU mnacheza mchezo huu na wadau wenu kuhalalisha Samia kutokuwa na mpinzania!
  15. JamiiForums Tanzania ACT, Msajili wa vyama kawatengenezea njia ya kudai Reforms. Ni hapa hapa no Golden chance again

    Ni hapa hapa unganeni na Chadema kudai Reforms. Mnakumbuka kada mmoja wa CCM aliandika barua ya kulalamika kwamba Samia Hana sifa ya kugombea akapuuzwa na msajili Hadi akafungua kesi mahakamani? Mpaka sasa hakuna majibu ya kesi hiyo na Kuna dalili kwamba ikapigwa chini. Sasa huu moto wa mpina...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni sawa Red tail kundi la marubani weusi wa vita iliyowatisha wajerumini vita vya pili ,Japo wamarekani waliogopa ila hipo siku

    Mimi naamini watu weusi tuliuzwa na watu weusi ambao akili zao ndogo tukawapa ndio watuongoze.Kwa hiyo utumwa wa fikra,maisha na akili unaongozwa na akili ndogo nchi nyingi ambazo uhuru wa uwazi utakiwi. Katika miaka ya nyuma nchini marekani ilikumbwa na changamoto ya wanajeshi upande idadi...
  17. JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Ni wakati wa Chadema kukinukisha Sasa? Tujitafakari upya

    Nimepitia andiko la Ansbert Ngurumo; nami nimeamua kutia meno kuwa ni wakati wetu sasa wafuasi wa Chadema kuorganize maandamano na kukinukisha. Hili linatakiwa kufanyika Sasa na Wala si baadae. I beseech you Hon. John Heche, John Mnyika, Amani Golugwa et al, it is a time to act. Tafadhalini...
  18. R

    JamiiForums Tanzania CCM fanyeni yote, lakini mtakosa POLITICAL LEGITIMACY mbele ya watanzania na duni nzima kama hamkufanya necessary reforms as proposed by Chadema

    Political legitimacy is the belief by a population that a government or political institution has the right to rule and that its authority is rightful and justified, not just based on force. High legitimacy means citizens voluntarily obey laws and support the government's actions because they...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati wa Magufuli Chadema hawa hawa walisema bora Kikwete , muda huu wanasema Kikwete hafai hivi hawa Nyumbu wana akili kweli?.

    Hivi ukiwasikiliza Nyumbu wa Chadema unaweza kuwaelewaje. Wakati wa Magufuli walipiga Kelele kuwa bora utawala wa kikwete . Leo tena mnasema kikwete hafai, mnabidi mkapinwe UTI sugu
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

    Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…