Chama Kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimesema hakijafanya mazungumzo yoyote na Serikali ama mamlaka nyingine yoyote kuhusu masuala ya kisiasa na maridhiano ya kisiasa nchini humo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesema chama hicho...