chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Battle Kali: KUTIKI vs MAANDAMANO. Hakuna CCM vs CHADEMA tena, ni CCM vs Maandamano

    Nature acha iitwe nature. Kama ulishawahi sikia dunia hii ina kitu kinaitwa "Natural Laws of the Universe" ndiyo hiki sasa. Kwa ground battle ni kali sana la Oktoba Tunatiki vs Oktoba Maandamano linaendelea nchi nzima. Siku zote Universal Phenomena ikikosa balance, basi nature inajiamulia...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri wangu Kwa CHADEMA na Taasisi za KIDINI na Gen Z katika Kufanikisha Maandamano yanafanikiwa na kuwaondoa Hawa Madhalimu !!.

    Ni wazi safari imeanza Rasimi, Ndugu zangu Watanzania hii ndio nafasi pekee tuliyonayo ya kuwaondoa Hawa wahuni !!. Wee Kijana Usiyekua na Ajira Wee mwenye Ajira lkn mishahara haiendan na hali ya Maisha. Wee unayehangaika na Usafiri Dar huku Abdul, Kijana wa Angela , Kijana wa DGIS, Vijana wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imeshatambua kuwa haikubaliki. Vikao vya ndani kila kona kuomba kura za huruma huku hakuna upinzani toka CHADEMA ya Lissu

    Hakuna upinzani madhubuti zaidi ya waigizaji waliopewa mashangingi yaliyopatikana kwa kodi za wananchi. CCM inatapatapa vikao vya ndani kuomba viongozi wa dini wasaidie kuomba kura Vikao vya ndani vya WanaCCM kwa wanaCCM...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Hilda Newton: Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chadema Wilaya ya Busega ametekwa na watu wasiojulikana

    Kutoka kwenye account ya Hilda Newton kule X ameandika taarifa hii ================== Mjumbe wa Kamati Tendajji ya Chadema Wilaya ya Busega Mhe. Lobezi Kuliko Masanya ametekwa na watu wasiojulikana jioni ya leo tarehe 01/10/2025 akiwa kazini kwake NYAMIKOMA Wilaya ya Busega.Walioshuhudia tukio...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Tumewekewa mazingira magumu sana hatutakiwi hata kukutana

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Heche akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani yaliyofanyika kwa njia ya Mtandao.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa CHADEMA mbaroni kwa kuchana mabango ya CCM

    Viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuharibu mabango ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Maria Sarungi amesema CHADEMA imekufa mapema mno

    Wakuu Je, ni kweli Maria Sarungi amesema CHADEMA imekufa mapema.
  9. M

    JamiiForums Tanzania TBT: Waraka wa marehemu Chacha Wangwe aliyekuwa akigombea uenyekiti wa Chadema dhidi ya Mbowe

    WARAKA WA CHACHA WANGWE. (Alifariki 2008) UTANGULIZI. Jumamosi, June 28 mwaka huu wajumbe kadhaa wa Kamati Kuu ya CHADEMA walidai kuwa wamesitisha Umakau Mwenyekiti wangu katika kikao kilichofanyika mjini Dodoma siku hiyo. Kesho yake Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. FREEMAN MBOWE akaitisha...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kauli ya Andrew Nyerere juu ya CHADEMA isilazimishwe kuwa kauli ya Familia ya Mwl. Nyerere japo kuna ukweli kuwa Demokrasia iko ICU!

    Namheshimu sana na mno Kaka Andrew Nyerere na nimeuheshimu Mchango wake ila sikubaliani nae kwa 100% kumzuia Rais Samia asiende Kuzuru Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ni kweli kabisa kuwa Demokrasia kwa sasa nchini Tanzania iko mahututi ICU na Serikali ya CCM chini ya Rais Samia...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Andrew Nyerere ampiga marufuku Rais Samia kuzuru kaburi la Hayati Mwalimu Nyerere kutokana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi

    Mtoto Mkubwa wa Nyerere, Andrew Nyerere Kwa niaba ya Wanafamilia, amechukizwa na Kitendo Cha Mahakama kutoitendea Haki CHADEMA. Andrew Kambarage Nyerere Asante umenyooka kama ilivyo! Tatizo hawa viongozi wa sasa wanataka kutumia legacy ya Mwalimu Nyerere kama hirizi iwakinge na hasira za...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Zacharia Obadi: Hakuna tulichopoteza sisi kama CHADEMA kutokushiriki uchaguzi

    Kwa mara ya kwanza Zacharia Obadi, Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria – anaweka wazi kuwa wao kama chama hakuna walichopoteza kwa kutoshiriki uchaguzi zaidi sana wamerudisha Imani kwa Watanzania.
  13. JamiiForums Tanzania Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatatu (29.09.2025) imetoa uamuzi mdogo katika kesi namba 8322/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Kuendelea Kesho Mahakama Kuu Dar es Salaam

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kwamba kesho, Jumatatu tarehe 29 Septemba 2025, shauri lililofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake 2 dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chadema na Katibu Mkuu itaendelea Mahakama Kuu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CCM ikiondolewa, Mahakama na watekaji dhidi ya CHADEMA, itaambulia 16% tu ya kura zote kwa uchaguzi wowote ule!

    Sina mengi ya kuandika! CCM ipo kwa sababu Police, Mahakama na watekaji wako nyuma ya CCM Bila ya hao, hakuna kitu inaitwa CCM nchini hadi hivi sasa napoandika
  16. JamiiForums Tanzania Ukiibia hii Nchi Huwakomoi CHADEMA au LISSU au HECHE, Unakomoa Vizazi na Vizazi vya Tanzania,na Bado itabaki usaliti hata ukichangia ujenzi wa Kanisa

    Ufisadi ambao ulikuwepo tukaufumbia macho umekuwa na umekuwa kwa kiasi kikubwa sana mpaka mamlaka ambazo unategemea zitakuwa mbele kukemea na kuchukua maamuzi sahihi juu ya haya mambo zinakaa kimya, hivyo hakuna namna zaidi ya sisi wananchi wenyewe kusimamia hili jambo mpaka tufikie mwisho wake...
  17. JamiiForums Tanzania Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

    Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu. Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu. Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Pengo la CHADEMA linazidi kukua kwa kasi, CCM kwa sasa inashindana na Wananchi, na wakiendelea kuwa viziwi raia wataingia barabarani kweli

    Toka lini kwenye uchaguzi SERA zikamithilishwa na AMANI? Siku zote shilingi lazima iwe na pande mbili. Na demokrasia ni shilingi yanye pande 2. Kamwe haitakaa nchi ya kidemokrasia watu wote wakawa na muono unaofanana. Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia, hata kuwe na vyama vingi vipi, lazima...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa: Pamoja na kumpoteza Nyalusi, CHADEMA itaendelea kupigania haki na ukombozi wa taifa

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema kuwa chama hicho kitaendelea kupigania haki na ukombozi wa taifa licha ya changamoto mbalimbali zinaoendelea nchini . Kauli hiyo ameitoa wakati akishiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…