chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Kuhusu kesi ya Lissu ya Uhaini mambo yamefikia patamu na kwenye hatua ya muhimu sana. Tunasubiri kuona kitakachojiri

    Kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu imefikia patamu na kwenye hatua ya muhimu sana Iwapo DPP ataamua kuendelea na kesi, taratibu za kuhamisha shauri zitaanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, na kesi itapelekwa Mahakama Kuu kwa ajili ya kusikilizwa. Mahakama Kuu...
  2. N

    Kama kweli CHADEMA wako serious na NRNE wazuie wanaochukua form za kugombea CCM kwa sababu ni rahisi kuliko kusubiri

    Kama watakuwa na uthabiti mwaka huu wote wanaochukua form za ubunge na udiwani wafuatwe kwa utaratibu waulizwe .Na napendekeza
  3. SI KWELI PreGE2025 CHADEMA imetuma maombi kushiriki uchaguzi

    Heche kweli kichekesho! Kila siku makelele kama generator ya kijijini, kumbe walikuwa wanapiga porojo tu! Walisema hawashiriki uchaguzi, leo wanatuma maombi kwa mbwembwe. Wanafiki wakuu, walitaka huruma kumbe walikuwa wanatafuta nafasi! Acheni maigizo, wananchi si wajinga.
  4. Kwa nini wanachama wasaliti wa Chadema nyota zao hupotea jumla?

    GT Anayejua hili atuambie inakuwaje mtu anayetoka.chadema kwenda kwingine nyota yake hufifia mazima. Tofauti na anayetoka Chama kingine kuingia Chadema. What is going on? Au ndo mpango.wa mungu hatujui tu
  5. S

    Viongozi wa CHADEMA kufanya kikao na balozi mbalimbali nchini, kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa, huu siyo ukiukwaji wa mkataba wa vienna?

    Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya ndani ya nchi hasa...
  6. Leo hii Esther Bulaya ni wa kusema CCM aliyohamia ni sawa na Barcelona na CHADEMA iliyomtengeza kuwa Bora alivyo ni Leicester City iliyoshuka daraja?

    Sasa nakubali rasmi kuwa ni bora Umuamini Mwanaume mwenzako kwa 99% kuliko Mwanamke. Na kama Wewe ni Mwanaume ambaye Umeona Mke kama Esther Bulaya jua kama ameweza leo kuikana na kuinanga CHADEMA ambayo kwa 99.999% ndiyo imemtengeza alivyo Kiumahiri sasa jua hata katika Ndoa au Mahusiano yako...
  7. Michael Gahler: Serikali ya Tanzania lazima iwajibishwe. Wanaohusika na ukiukwaji Haki za binadamu wawekewe vikwazo na Bunge la Ulaya

    Moto unazidi kuwaka. Mr.Michael Gahlev, mratibu wa mambo ya nje katika Bunge la ulaya, amewasilisha mapendekezo kwenye Umoja wa ulaya, kuhusu Hali ya Tanzania. Mapendekezo hayo ni pamoja na viongozi wanaojihusisha na uminywaji wa demokrasia na Hali za binadamu kuwekewa vikwazo vikali na Umoja...
  8. GE2025 Heche: CHADEMA tumekataa kuwa sehemu ya uchaguzi wenye unajisi, na tunataka serikali ifanye mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi

    CHADEMA tumekataa kuwa sehemu ya uchaguzi wenye unajisi, na tunahisii serikali ifanye mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi, lakini pia tunashambuliwa kila upande mahakamani, ofisi ya msajili, polisi , John Heche
  9. John Heche: Sisi CHADEMA tunaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini isiwe ndizo zinanua baiskeli

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema wao CHADEMA wanaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini au miradi gani imefanyiwa kazi kupitia fedha hizo, lakini isiwe ndizo zinanua baiskeli na kuwagiwa watu bure na mwisho wa siku Watanzania wanapata...
  10. John Heche: Rais Samia Alitoa Maelekezo kwa Vyombo vya Dola Badala ya Kuwahutubia Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=pxv_q95srWY Updates.. John Heche amedai kuwa hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Ijumaa iliyopita Juni 27, 2025 ilielekea zaidi katika kutoa maelekezo kwa vyombo vya Dola kuliko kuzungumza na Wananchi. Vijana Watanzania Serikali hii aiwezi kuwatoa kwenye matatizo...
  11. GE2025 Mbunge wa CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza akiwa amevalia nguo za CCM, Juni 30, 2025

    Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza pamoja na baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Kata ya Itete, Busokelo Mkoani Mbeya huku akiwa amevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 30 Juni, 2025 wakiongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni...
  12. GE2025 CHADEMA kususia Uchaguzi wametuumiza wengi

    TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya...
  13. GE2025 Moja ya impacts za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi zaanza kuonekana sasa

    Chadema ndo ilikuwa inatia wagombea hofu wa vyama vingine.kwa kutokushiriki sasa imefungulia kila mtu ambaye anajua atagombea kupitia CCM atashinda bila wasiwasi. Na wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vinaona hii ni nafasi ya wao kuweza pata wabunge kwa kuwa ni wazi kuna majimbo ambayo...
  14. M

    GE2025 Kama kuna Suprise ya kuisimamisha dk 5 ni kwa CHADEMA kutanganza wote kujiunga na CCM na kuchukua fomu za ubunge kupitia CCM

    Nimemuuliza Grok uwezekano wa CHADEMA kuzuia Uchaguzi. Imejibu hizo ni ndoto za mchana. Nikauliza tena iwapo CHADEMA Lissu imeamua kupita ktk hoja cha Chaumma kuwa Kususia Uchaguzi haukuwa mkakati wa CHADEMA bali ilikuwa ni kauli mbiu tu ya kumtisha Kasongo (ngiri) akiwa ndani ya Shimo. Akajibu...
  15. Ndani ya CHADEMA tupo Waumini wa Ufufuo na Uzima, Naomba Chama kitie nguvu kwenye Ibada zetu Kila Jumapili, kama ni mabomu tupigwe pamoja!!

    Niwaalike wanachadema wote Kwa ujumla,na watanzania wote na Wakristo, Kila Jumapili tuwepo , tuungane, tutie nguvu , Tupige kelele, tupaze sauti, Wacha wao watulige mabaomu, watuue, sisi tukusanyike, tufanye Ibada za Amani, tudai haki yetu ya kuabudu, TUIAMBIE DUNIA kua Tanzania Kwa Sasa Kuna...
  16. K

    Madhira Yanayowakabili CHADEMA Wakati Huu Yote Yamepangwa Kiufundi

    Ule mpango uliokuwa umemnasa Mbowe, na kwa pamoja CHADEMA ulipo vurugika kwa mteja kupoteza raslimali muhimu iliyokuwa imapangwa aiwasilishe na kujisalimisha kwa Samia na Genge lake; ilibidi haraka haraka mafundi watengeneze mitego ya kuikwamisha CHADEMA Mpya, chini ya uongozi mpya haraka...
  17. Askofu Bagonza: Hiki ni kitu gani? CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa CCM; wanaojibu ni Polisi

    HIKI NI KITU GANI? CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa TUME; wanaojibu ni CCM. CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa CCM; wanaojibu ni Polisi. CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa Mahakama zetu; anajibu msemaji wa serikali au wa CCM. Kwa kuwa imekuwa kawaida kwa watendaji...
  18. Tanzania haiwezi kuwa kama Ulaya, Marekani, China hata CHADEMA wakichukua nchi

    Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida. Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…