chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA tumetoka mbali sana

    Hakika hakuna marefu yasiyo na ncha. WanaCHADEMA tumefanyiwa vitimbi vingi sana ukiwemo kunyanyaswa. Tazameni na msikilize tunapigwa marufuku kuingia majumbani mwetu dsm na wenye mamlaka. Nimeamini hakuna anaye ijua kesho yake.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aitaka CHADEMA iweke hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia kwani kufichaficha kunatia shaka

    Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe akizungumza kuhusu Mdee na wenzake kwenye kikao cha Baraza Kuu

    Kama ni kweli anayoyasema Mh. Freeman A. Mbowe kwenye video hii wakati wa kikao cha Baraza Kuu kuhusu Halima Mdee na wenzake maarufu kama COVID-19 ni kweli, basi huyu mtu IS REALLY A TRUE and A GOOD LEADER of this millenium in Tanzania..!! Mimi kwa 99% naweza kuamini kuwa ni kweli maana hata...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mara ghafla Mbowe, Mnyika, Lissu na Heche wasimamishwa uongozi Chadema, msajili aridhia

    Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi' Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi kile, wameitumia kwa Mbatia baada ya Mbatia kupingana sana na Samia kwenye mambo mengi ikiwamo...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaccm wenzangu tambueni takwa la katiba Sio la CHADEMA ni la wananchi na wenye nchi ambao hata Mwenyekiti anawajibika kwao

    Makomredi Tusipoteze muda kwa kupiga sarakasi na kufanya uharamia kwa vyama vya siasa vya upinzani nchini. Tutambue takwa la katiba ni la wananchi na wenye nchi ambao Mwenyekiti wetu anawajibika kwao. Tumshauri aachane na sarakasi za kuzuia mchakato huo kwa visingizio visivyo na mashiko...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Chadema na CCM yanahusu nini? Mbona CCM imepeleka mapendekezo yake kwenye Kikosi kazi cha Prof. Mukandala?

    Sijaelewa haya Maridhiano yanayosimamiwa na CCM kwa ushirikiano na Chadema yanahusu taifa au hivyo vyama viwili pekee. Kwa sababu kama ni siasa za Kitaifa, CCM imeshawasilisha mapendekezo yake kwa Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe Naomba kuelimishwa
  7. JamiiForums Tanzania Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

    Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao. Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alitaka kuiua CHADEMA, lakini alishindwa! Hakuna wa kuinunua wala kuiua CHADEMA

    Naona kuna kundi kubwa limeandaliwa humu JF kupinga na kubeza Mazungumzo yanayoendelea baina ya Rais Samia na Mbowe. Kundi hili ndio lile Kundi lililokuwa linashabikia kuwa Mbowe ni gaidi. Baada ya kupata aibu kwa kelele zile sasa wanaandika habari za uongo na uzushi dhidi ya Mbowe na CHADEMA...
  9. JamiiForums Tanzania Haya ndio mazungumzo kati ya wana CHADEMA na Rais Samia. Haya ndio madai ya wana CHADEMA kwenye suala zima la maridhiano

    Wanabodi, Hivi karibuni, wana CHADEMA kadhaa wakiongozwa na mwenyekiti wao Freeman Mbowe, walifanya mazungumzo na Rais Samia Ikulu katika kuhakikisha kwamba kuna maridhiano kati ya serikali na vyama vya upinzani. Kwa CHADEMA, maelewano haya yanaweza yakawa na manufaa makubwa lakini kwa kundi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA katika mkakati mzito wa kumgombanisha Rais Samia na Wamachinga katika majiji Makubwa

    CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga wanaingia Barabarani kupinga utaratibu wa Serikali katika kuwapanga Wamachinga ili wafanye biashara kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania tunakosa imani na CHADEMA

    Wanaukumbi. Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani? Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu. Chama masikini viongozi wa juu matajiri. Tena hapo mtaa wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ukweli na Upatanishi ya Chadema itaundwa na nani kushughulikia Watu walioumizwa na nani?

    Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa. Je Time iundwe na serikali au nani? Watu walioumizwa na nani? Nawasilisha
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu: CCM inamuunga mkono Mwenyekiti wake Samia Suluhu kuendeleza majadiliano na CHADEMA

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeunga mkono na kuridhia hatua ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan ya kuendeleza majadiliano na vyama vya siasa yenye lengo la kuimarisha demokrasia kupitia maridhiano ya kisiasa kwa maslahi ya taifa. =================== Chawa wamenuna.
  14. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA ina wivu na Wabunge 19 waliofutwa uanachama

    Kama hizi nafasi zingeruhusu na wanaume basi huenda Mbowe, Msigwa, Heche, Sugu wangetimba bungeni Kwasasa wanachopambania ni Wote wakose Mtu Kama Msigwa, Sugu, Lema na Heche kama wangeambiwa wavae sketi wajipeleke bungeni kwa nafasi hizo 19, wasingekataa Hizi sarakasi zote ni kutaka WOTE...
  15. JamiiForums Tanzania Mdude Chadema amtembelea Mbatia. Ampatia kitabu chake Miaka mitano ya mateso katika harakati. Ampomgeza kupangua mapinduzi

    Huyu Mdude yupo kiharakati kila mara. Mbatia nae anasema Aluta continua. Hapa ni harakati tupu
  16. JamiiForums Tanzania Nampongeza Mbowe pamoja na viongozi wakuu wa CHADEMA

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

    Tuwe na subira Mambo mazuri huja taratibu.
  18. JamiiForums Tanzania Ilianzia CUF, sasa NCCR. CHADEMA wajiandae

    MGOGORO WA NCCR CHADEMA WACHUKUE TAHADHARI Mgogoro wa CUF ulianza kwa mwenyekiti aliyejiuzulu kutaka kurudi katika kiti chake Tukio halikuwa la kawaida katika siasa za Tanzania lakini limetokea. CUF walifanya mambo kwa mazoea wakidhani isingewezekana kisiasa au Kisheria. Msajili wa vyama...
  19. JamiiForums Tanzania Ni mfarakano gani uliopo kati ya CHADEMA na Serikali mpaka Rais aitishe Maridhiano?

    Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo? Huyu mwanasheria mkuu wa Serikali anahusika vipi?
  20. JamiiForums Tanzania Lema awataka wana Chadema kususia biashara za billionea wa Arusha

    Siku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM. Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za billionea Sunda.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…