chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania msitegemee kuona hiki chama kikishika dola, chaweza kuwa chama kingine ila si CHADEMA

    Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi? Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu. Britanicca
  2. JamiiForums Tanzania CCM wangekuwa CHADEMA wangeandamana!?

    CCM wanaposhangaa ni kwa nini CHADEMA hawaandamani dhidi ya utawala wao dhalimu kwa watanzania, huwa najiuliza maswali mengi sana. Jee CCM ingekuwa iko sehemu ya CHADEMA kwa sasa (Yaani kuwa chama cha upinzani) je wao wangeandamana na hoja yao ingekuwa wanataka kuandamana kwa ajili ya nini...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaiogopa Umoja Party na hawawaogopi CHADEMA wala ACT Wazalendo?

    Ukifuatilia kwa makini utagundua hofu ya CCM iko kwa Umoja Party tu na wala siyo kwa Vyama vingine vya Upinzani kama CHADEMA na ACT Wazalendo Bado nafanya utafiti nijue Ndani ya UP kuna nini kinachotisha tofauti na Vyama vikongwe Mungu ni Mwema wakati wore!
  4. JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya awasha moto Tanga. Ataka watu wajiunge CHADEMA ili kuondoa mifumo mibovu

    Baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama wa Chama cha Wananchi CUF, Abdul Kambaya, na wanachama 384 kutangaza kujiunga na Chadema. Sasa wawasha moto. Tarehe 23 Februari 2023, Kambaya na wenzake walitangaza kujivua uanachama CUF kwa madai kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajawahi kuupinga mahakamani Uchaguzi wa wabunge 2020, hivyo ni halali kupokea ruzuku

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17% ya kura hizo na wakaqualify kupewa ruzuku Sasa ikumbukwe hapa Baada ya Uchaguzi hakuna Mbunge...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ukaribu na ushirikiano uliopo kati ya CCM na CHADEMA kwa sasa unanifanya nifikiri ni nani walihusika na matukio ovu awamu ya TANO

    Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi. Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika. Je, hizi...
  8. JamiiForums Tanzania Hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM

    Hatutasahau Wananchi kusalitiwa na CHADEMA mchana kweupe, hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM. Hatusahau CHADEMA kuikataa hoja ya Wananchi kuhusu mchele kupanda toka Tsh. 1,500 hadi 4,000 kilo moja, Maharage toka Tsh. 1,200 hadi 3,800 kilo moja, Unga kilo toka Tsh. 800 hadi...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa Magufuli mlilazimisha nchi iambiwe anaumwa nini ila kwa mwasisi wa chama chenu mnaheshimu haki ya usiri wa mgonjwa

    Mnyika amesema mzee Masinde pamoja na kutambua kuwa anaumwa ugonjwa huo lakini hakutaka ufahamike kwa familia na ndugu wa karibu ili kutozua taharuki na kuwafanya wakate tamaa. =========== Akitoa salamu za rambirambi mbele ya familia ya marehemu, Mnyika amesema Masinde alifariki kwa ugonjwa wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Serengeti arejea CHADEMA. Aeleza kilichomsibu na kuomba msamaha

    Ni mbunge wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi. Kwa maana nyingune kunguru Mwoga hukimbiza ubawa wake. Mbunge akiwa chadema 2015 hadi 2018 alipoamua kuunga juhudi. Aomba msamaha...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

    Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli. Kuna baadhi ya mambo ambayo hata Magufuli angekuwepo naamini asingebadili...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Silvester Masinde, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA afariki Dunia

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia. Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia. Silvester Masinde alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema. Apumzike kwa Amani .
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA na Godbless Lema jibuni kuhusu hili

    Lema Toa Elimu Badala ya kutukana! Ndugu Godbless Lema ambae ni Muishiwa Mbunge wa Arusha zamani. (sio mheshimiwa) maana hana huo ubunge kwa sasa. Anaendelea kuzunguka nchini akitukana makundi mbalimbali ya kijamii hususan Bodaboda kama kawaida yake. Na sasa ameirudia tena kauli yake safari hii...
  14. JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: CHADEMA ilipanga kuua vyama vingine kupitia UKAWA. Hatuwezi kurudia tena makosa ya kuungana nao

    "Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale" Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi. Chanzo: Jambo TV
  15. JamiiForums Tanzania Jedwali hili linaeleza kinachoitwa maridhiano yanayoimbwa na Mbowe na CHADEMA yake

  16. JamiiForums Tanzania Ni nani analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA?

    Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi. Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi. Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
  17. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa awaasa watanzania kuenzi mazuri ya Hayati John Pombe Magufuli

    "Pamoja na mapungufu ya Hayati Magufuli lakini kuna mazuri pia tulipaswa kuyaendeleza mfano nidhamu kazini, uoga kwa mali ya umma na kuheshimu wananchi" Mchungaji Peter Msigwa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Chanzo: Jambo TV
  18. J

    JamiiForums Tanzania Selasini asema CHADEMA iliviua vyama vingine 2015, Zitto asema ACT Wazalendo haifanyi siasa za kuachiana Majimbo

    Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe kusema chama chake hakihitaji ushirikiano au muungano na vyama vingine vya upinzani baadhi ya viongozi wa upinzani wamemshukia kama mwewe. Selasini wa NCCR mageuzi amesema 2015 CHADEMA kupitia UKAWA ulikuwa na mkakati wa kuviuwa vyama vingine vya upinzani na...
  19. JamiiForums Tanzania Nyamagana: CHADEMA kufanya Mkutano wa Hadhara leo tarehe 13/03/202, Lema atakuwepo

    Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana. Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania. Wote...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA oneni aibu basi kwa huu uwanja wa makoa makuu ya chama

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…