chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na kujichanganya kwao kama watu wasiojielewa

    Nimemsikia msemaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa miongoni mwa agenda za kamati kuu wanayokutana ni pamoja na kujadili ripoti ya tume ya Jaji Mstaafu Chande, nimeshangaa sana kwa hoja zifuatazo 1. CDM mpaka leo hawatambui kama kuna uchaguzi ulifanyika Tanzania 2. CDM...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA inakosea sana kufanya ushirikiano na Act Wazalendo chama ambacho ni kibaraka wa CCM. Naanza kuwa na mashaka na John Heche

    Watanzania wengi wamesikitika sana kuona kuwa eti Act Wazalendo inaungana na Chadema kupinga ripoti ya kada wa CCM Chande Othman. Act Wazalendo ilikuwa pamoja na CCM mtandao. Chama cha mafisadi kwenye uchaguzi feki wa Oktoba 29, 2025 mwaka 2025. Ambao umeshuhudia watu wakipigwa risasi wakiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mkakati kamambe uanzishwe kuandikisha wanachama wa CHADEMA. Ziundwe timu maalumu kupita nyumba hadi nyumba. Gen Z wawe kipaumbele

    Nyumba kwa nyumba wanachama washawishiwe kujiandikisha. Iundwe timu maalumu kushughulikia hili. Ndani ya miezi sita Chadema itakuwa na wanachama wengi. Gen Z iwe kipaumbele. .Baada ya hapo maandamano ya kuipinga serikali ambayo haikuchaguliwa na wanannchi yaandaliwe.
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Heche na Golugwa wapiga mamilion CHADEMA yashituka dakika za jioni

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la machapisho mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa Heche na Golugwa wamejihusisha na ubadhirifu wa fedha ndani ya Chadema. Chapisho hilo, ambalo limesambazwa katika vikundi na kurasa mbalimbali za...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Samia na CCM yake ni Vita ya 'Mamlaka', Kwa Watanzania kupitia CHADEMA ni Vita ya ku 'survive', CDM ya sasa si Chama tu, ni Imani

    Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi kupenzika na CHADEMA. Yaan CHADEMA ya sasa, ni IMANI AMBAYO IMEZAA FALSAFA kwa WATANZANIA. Je, ni nani wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii sio ile ya kina Dkt. Slaa, hii ya sasa inavizia kufanya mikutano kwenye mikusanyiko kama masokoni na stendi

    Siasa ni kama biashara ,ni ngumu sana kama haujajipanga vema kukabiliana na mazingira ya ushindani na mshindani wako ukitambua ni Chama chenye nguvu. Nasema haya kwa sababu siku za karibuni siioni CHADEMA Ile ya kina Dkt. Slaa ambayo ilikuwa msingi wa kujenga Chama imara, siioni Ile CHADEMA...
  7. JamiiForums Tanzania Kifo chenye utata cha Hayati Magufuli ndio chanzo cha CHADEMA kupata nguvu na kupendwa na Watanganyika

    Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata. Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM. Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali...
  8. JamiiForums Tanzania Chadema ni wa MOTO Balaa CCM kazi wanayo uwanja wa uchaguzi ukiwa huru

    Guys guys Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania. Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100 times kabla ya kufungiwa na baadhi wa wa mbunge wa CCM waanze kujitafakari mapema kama wataendelea...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Mamia ya Wananchi wamsimamisha Heche Magufuli bus Stand. Huu ni upendo mkubwa kwa CHADEMA. Watu wanahitaji ukombozi

    Upendo kwa Chadema
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Odero avuliwa uanachama CHADEMA. Alikuwa akipigia chapuo maridhiano!

    Wakuu, Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29! ====== Mwanachama na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa 2015, Odero Charles...
  11. JamiiForums Tanzania Chadema ni Chama cha neglected society

    Ukifanya utafiti mdogo utagungua kuwa kumbe Chadema kimejaa watu ambao wamekataliwa na jamii mfano, wezi, ma single mothers, waliokimbia shule, matapeli, nk. Watu wakiona mfuasi wa Chadema wanakimbia wanajua usalama wao haupo Inshort huwezi ukawa unaheshima ndan ya jamii halafu ukawa Chadema.
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira, Maridhiono siyo na CHADEMA ni Maridhiano ya Kitaifa na kuliponya taifa

    Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari...
  13. JamiiForums Tanzania BAADA YA RIPOTI YA CHANDE, UPO UWEZEKANO WA CHADEMA KUFUTWA.

    Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa. Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani. Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya. Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA wakisusia maridhiano watasusia na vikao vya kuandika Katiba Mpya?

    Nilimsikia Rais Samia akisema ataunda tume ya maridhiano nchini ya kuwaleta watanzania pamoja kabla ya kuanza mchakato wa kuandika Katiba mpya. Nimewasikia chadema wakisema hawatahusika wala kushiriki kwenye maridhiano. Kwa maoni yangu sioni namna chadema itakavyoshirikishwa kwenye kuandika...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Chadema unda team ya Kufanya SWOAT analysis ya Ripoti ya Chande

    Tafuteni wataalamu ndani na nje wafanye SWOAT ANALYSIS ya ripoti ya mchongo ya Chande et al. Msiache ikapita bila kuonesha STRENGTHS( kama zipo anyway),BUT za kuwasaidia ku impeach serikali zipo; WEAKNESS ( hapa ndipo pa kuichimbia), OPPORTUNITY seize this opportunity to expose the brutality of...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yaikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, yadai ni njama za kuficha ukweli, yataka uchunguzi wa kimataifa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla wake ripoti iliyowasilishwa leo tarehe 23 April 2026 na Tume hiyo chini ya Jaji Mohamed Chande...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA nao waunde tume Yao ya uchunguzi

    CHADEMA nao waunde tume yao ya kuchunguza kilichotokea Oktoba29 na kuendelea kisha watoe majibu yake.
  18. JamiiForums Tanzania Natamani kusikia CHADEMA imefutwa nchini

    Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati leo ikibidi msilale majumbani kwenu

    Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo usiku hivi inabidi mkae kwa rada sana !!! Najiuliza kwani kumbe report haikuwa ya maana yeyote ni...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA imeharibu maadili ya Taifa letu. Siasa zao zimejikita kwenye matusi, upotoshaji, vurugu na ufitinishaji; kama Taifa tuseme NO

    Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema. Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema. Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…