chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CHADEMA na CCM yaonesha tobo la kisheria, hayafai hata kidogo

    Katika mjadala wa leo kuhusiana na bandari baadhi ya wachangiaji wengi, kuanzia wa kwanza professor Kitila Mkumbo walionyesha kutoridhishwa na kauli ya muheshimiwa Mbowe ,mwenyekiti wa Chadema taifa,japo hakumtaja jina. Hali Iliendelea kwa wachangiaji mpaka ikafikia kutajwa hadharani kwamba...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa??!!! Hayana haya majizi haya. Kwahiyo wao wanavyoiba hapo bandarini ndiyo uzalendo? Kinachonishangaza ni...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA inapinga uwekezaji wakati wao wanafundishwa kila kitu na KAS ya Ujerumani

    Leaders’ Capacity Building: Workshop in cooperation with CHADEMA CHADEMA: 2011/2016 Strategic Plan From 01/09 until 05/09/2011, KAS Tanzania will hold a workshop for national trainers in order to prepare the implementation of CHADEMA's training programme.
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA jitathiminini suala la Muungano

    Ifike Mahali Chadema waitimize hamu ya Watanganyika, kwa kupigania maslahi ya Watanganyika pia. ukweli mchungu ni kwamba, kura zote mnaweza kupata ni za bara, Zanzibar hawaipendi chadema, na hawatakuja kuipenda kwasababu huwa wanaamini ni chama cha wakristo. siongelei udini, ila ukweli ni kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA itumie sera za Magufulification kwenye mazuri yake ili ikamate dola

     Tunakubali Magufuli hakuwa mwema sana lakini hakuwa muovu kwa Kila kitu. Kama ilivyo Kila mwanadam anayo mabaya na mazuri katika amatendo yake. Zile zama za kuungana na Mafisadi ya CCM kumtukana Magufuli Sasa imetosha. Tunahitaji Sasa kugeukia Yale mazuri ambayo aliyasamia. Mnaweza kuyasema...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA waenda Mapumzikoni Ulaya baada ya ziara ya +255

    Salaam Wakuu Viongozi wakuu wa CHADEMA wameanda zao Italy na Ujerumani baada ya kuhitimisha Ziara ya +255. Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hivi kilizindua kampeni maalumu ya kudai katiba mpya ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Rais Samia Suluhu wa nchi hiyo kutangaza azma ya kuufufua...
  7. JamiiForums Tanzania TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  8. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kutoa Msimamo wa CHADEMA kuhusu Sakata la Bandari ya Dar es Salaam, leo Juni 7, 2023

    Baada ya mashauriano ya viongozi waku waliopo safarini nje ya nchi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Makamu Mwenvekiti Bara Mheshimiwa Tundu Lissu a Katibu Mkuu Mheshimiwa John Mnyika kwamba, kwa sababu ya unyeti na uharaka wa suala hili la makubaliano kati ya Tanzania na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za serikali kuichagua kampuni kutoka Dubai kufanya kazi bandari ya Dar es Salaam

    Bunge la Jamhuri ya Tanzania mwaka huu linatarajia kujadili na kupitisha mkataba wa Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam, Hili litaweka mazingira ya kufanyika kwa taratibu nyingine, ikiwamo mkataba wa makubaliano, kabla ya kuanza kwa sura mpya ya...
  10. JamiiForums Tanzania James Mbowe ameonesha ana kipaji kikubwa cha uongozi, achukue fomu kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa akaiva, na amekuwa mstari wa mbele katika harakati za chama. Nashauri CHADEMA wafikirie kumpa Uenyekiti...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Nchi yetu Wanahabari wote ni CCM na sasa sekta imetekwa na Waigizaji. Chadema anzisheni Media yenu mtufikie kiuhakika

    Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wana-CCM. Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni...
  12. JamiiForums Tanzania Chadema jibuni hizi hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Raia (MMKR)

    Mwaka 2015 mhesmiwa Mbowe ilichukua na kufufua magari matatu chakavu na spika tatu chakavu kutoka vyomba vya muziki vilivyokuwa vinamilikiwa na Birricana Club na kuvigeuza kuwa PA kwa thamani ya shs 100,000,000/= akifanya jumla ya shs 300,000,000/=. PA hizi alizitumia kwenye kamepeni jimboni...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa CHADEMA na ACT kuungana kupambana na mkoloni

    Habari ya wakati huu ndugu zangu, karibuni tena kwenye mawazo ya kibeberu na Beberu J Katika mizahania ya siasa Tz kuna vyama viwili vya upinzani ambavyo navyo unaweza sema vinapigania kuwa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA ya bwana Mbowe na ACT wazalendo ya kwake Zitto, mifarakano ya hawa...
  14. JamiiForums Tanzania Chama tawala kinaagiza wakati CHADEMA Mbowe anasema anachukua kero na atampelekea SAMIA

    Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
  15. JamiiForums Tanzania Heche: Chadema Mwenyekiti wake ni Mbowe, akanusha kuwepo kambi ya Lissu na Mwenyekiti

    John Heche Akiwa kwenye mjadala wasafi fm, John Heche amekanusha uvumi aliolizwa na mwandishi kuhusu kuwepo kambi mbili ndani ya Chadema huku yeye Heche akiwa kambi ya Tundu Lissu. Heche amesema mara ya kwanza kuingia kikao cha kamati kuu ilikuwa 2011 na alikuta mjadala wa fedha unajadiliwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitongoji wa CCM ni sawa na Mkutano wa Mkoa wa CHADEMA

    Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia! Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10. CHADEMA wao wanafanya Mkutano wa mkoa mzima na helkopita juu lakini Mkutano wa Kijiji wa CCM ni balaa...
  17. JamiiForums Tanzania Mbowe anapigiwa saluti kama nani? Kwani akipigiwa saluti ndio CHADEMA mnapaishwa kisiasa?

    Alafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mikutano ya Act wazalendo sio kama ya Chadema na vyama vingine. Sisi tunaeleza kero na namna ya kutatua.

  19. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na kauli za watu tunazotaka kuzisikia

    Hapa ni kauli tokea katika kile chama ambacho wapuuzi hawapendi kusikia kwamba ni tegemeo la wengi: Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi tunyamaze milele Ameyatamka TAL rais wa wapenda haki hapa nchini. Katiba mpya ni sasa tuunganishe nguvu zetu. "Tunahitaji kupambana na...
  20. JamiiForums Tanzania Kuendelea kuimba na kusifu maridhiano wakati viti maalumu waliojiweka wakiendelea kuwa bungeni. Anayewaelewa CHADEMA aje apa afafanue

    Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM. Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…