chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Inakuwaje CHADEMA wanakuwa smart zaidi ya CCM?

    Kuna Mambo ukiangalia utagundua Chadema ni werevu zaidi ya CCM. Masikitiko ni kwamba CCM ni chama kikongwe kina wataalamu wa kila aina lakini mipango yao ni ya hovyo sana. Je wataalamu na wanazuoni hawataki kukiambia ukweli hiki chama. Au wenye chama hawataki kusikiliza ushauri wa wataalamu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wakishiriki Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi basi CCM itashinda kirahisi na Wasiposhiriki basi CCM itashinda kiubwete kabisa!

    Muundo wa sasa wa Tume ya Uchaguzi ni sawa na Mtego wa Panya hunaswa wahusika na wasiohusika Angalizo: Chadema wakishiriki Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi ni Wazi CCM itashinda kirahisi lakini Wao Chadema watapata Wabunge na Madiwani Wawili Watatu Ikiwa Chadema hawatashiriki itakuwa ni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM

    Nani asiyezijua ghiliba na faulo za CCM? Hii ikiwa tokea kwenye kucheza visivyo na taasisi za umma? Kununua wapinzani na ikibidi hata kukimbia na masanduku ya kura mchana mchana? Wananchi kote nchini wamechoshwa na uhuni wao huu. Kinachokosekana ni mbadala wa waliodhamiria kufanya kweli kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

    Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee CLEOPA DAVID MSUYA akihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 amesema CHADEMA ni wazuri na mahiri wa kuchambua mambo kwa kina na lazima tujifunze kwao. - Hawa CHADEMA ni wachambuzi wa mambo kwa kina na ni lazima tujifunze kwao, kwamba wao kwanini wanajifunza hivi na...
  5. JamiiForums Tanzania Chadema acheni kusomba watoto waje kwenye mikutano yenu

    CHADEMA CHADEMA CHADEMA Mmeishiwa sasa mnakusanya watoto? Yaani wakati mama anafanikisha ujenzi wa madarasa na kuwatengenezea mazingira mazuri ya kupata elimu, nyie mnawatoa watoto mashuleni maana huu ni muda wa kuwa darasani mnawapelekea kwenye mikutano yenu. Hii si sawa kabisa. Acheni hii tabia.
  6. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa CHADEMA wameikataa ofa ya kupewa wabunge wa mezani walioahidiwa na CCM. Maana sasa wamechachamaa

    Kauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima. Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka...
  7. JamiiForums Tanzania Haileti picha nzuri kwa CHADEMA kutomtumia msanii Ney wa Mitego kwenye mikutano yenu

    Nimesikitishwa na kitendo cha BASATA kumzuia msanii Ney wa Mitego kuandaa show huko Njombe hii sio mara ya kwanza na naona kuna kila dalili Ney wa Mitego akazuiliwa kualikwa kwenye matamasha yote ya muziki yanayofanyika nchini tayari kazi zake hazichezwi kwenye vituo vya habari Kama kijana...
  8. JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego aanza kulialia kwa kuzuiwa kufanya show, akafanye show kwenye mikutano ya CHADEMA

    Kwa kuwa yeye ni mwamba na amechagua kushindana na Serikali basi aache kulia Lia Bali ale My Take Namshauri Bwana Nay awe anapiga Show zake Kwa kutumia majukwaa ya chadomo atakuja kunishukuru. https://www.instagram.com/p/CwvGRWYKxqk/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng== Ney wa mitego amewataka Baraza la...
  9. JamiiForums Tanzania Vuguvugu la kurudisha kadi za CCM watatumbuliwa ma-DC wangapi?

    Hayati mwendazake aliifahamu vema nguvu ya uma, kuchokwa kwa chama chake na kutopendwa kwa viongozi wa chama chake ndio maana aliamua kibabe sana kukataza mikutano ya kisiasa na mijadala huru ya wananchi... NGUVU ya uma ni kitu chenye nguvu sana maana ni muunganiko wa roho nyingi zenye nishati...
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA saidieni wananchi wa Nyatwali mahakamani kwa dhuluma wanayotendewa na Serikali

    Wananchi wa Kata ya Nyatwali wapatao 15,800 wanahamishwa na Serikali kupisha ongezeko la Hifadhi ya Serengeti bila sababu za msingi. Tayari makadirio ya fidia zao zimekwishakamilika bado tu malipo. Wananchi walitishwa kwa kuweka saini zao kwenye majedwali ya fidia na hawakuwa na namna...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA inaimarika huku CCM ikiporomoka kwa kasi 2024/2025 hapatatosha

    umofia kwenu Misimamo na utahibiti katika kujenga hoja ni eneo ambalo limeifanya CHADEMA kuinuka kwa kasi kubwa baada ya kujeruhiwa vibaya na dola kipindi cha jiwe. Mbeleko na kupoteza mwelekeo kwa makada na viongozi wa CCM kumepelekea jahazi kuzama kungali mapema Mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Lissu: Habari ya Maridhiano kati ya CHADEMA na CCM ilishakufa baada ya CCM kukataa mapendekezo yote ya Katiba Mpya

    Akizungumza kupitia mjadala kwenye mtandao wa kijamii, Tundu Lissu amesema CCM wamekataa maridhiano, kwasababu CHADEMA ilipeleka mapendekezo mazuri juu ya kila kitu kinachohitajika kufanyika ili kupatikana kwa katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025, mapendekezo ambayo yalikataliwa yote kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ile dhana kuwa CHADEMA ni waganga njaa na walamba asali imeyeyuka ghafla. Wanaonekana wanauchungu na rasilimali za taifa lao. Wanaamika japo sio sana

    Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha. Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice. Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi Wamerejesha imani...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ina la kuwaambia wananchi juu ya kutokupatikana kwa mtandao kipindi cha Uchaguzi 2020?

    Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini serikali haijatoa ufafanuzi juu ya kupotea kwa internet kipindi cha uchaguzi mwaka 2020 kama serikali hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Meatu: Aliyekuwa Mbunge wa CCM ahamia CHADEMA

    Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA. Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu . TOA MAONI YAKO
  16. JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa. Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa? Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
  17. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msilete longolongo - Dai dume ni KATIBA mpya na Tume Mpya ya Uchaguzi

    Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la kisigino. Bila ya madai dume ya kudai katiba mpya na tume mpya iliyo huru ya uchaguzi itakuwa haya...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaohudhuria mikutano ya +255 ya CHADEMA nusu ni CCM, wanawachora tu

    Mzee Kishimba yupo zake kwenye mkutano wa Lissu, kasimama na wana anakula zake Muhindi. Safi sana Mzee anamiliki Dar Free market, zile supermarket za Imalaseko, utitiri wa nyumba za kupangisha, magorofa kibao, mbunge wa muda tu, lakini yupo simple, anaishi na watu wake.
  19. JamiiForums Tanzania Picha: James Lembeli, kada wa CCM anayeungana na CHADEMA kupinga ufisadi wa CCM

  20. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kahama mjini ndugu Kishimba ahudhuria mkutano wa Tundu Lissu (CHADEMA) uliofanyika kata ya Isaka

    Huyu umwonaye hapo☝️☝️☝️katikati ya umati (mwenye kapelo) ni mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini [CCM] maarufu kama Prof. Jumanne Kishimba.. Leo (kama anavyoonekana pichani alikuwa miongoni mwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa mwisho siku ya leo wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…