chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Chadema kimekuwa chama cha kutetea majambazi, inasikitisha sana

    Kwa sasa kero kubwa kwa wananchi imekuwa kukithili kwa ujambazi na majambazi yamekuwa tishio. Jeshi la police linajitahidi kupambana na majambazi kwa kila namna ili kuifanya nchi kuwa sehemu salama ya kuishi. Kwa bahati mbaya chama cha chadema (zamani CHADEPA) wao wamesimama kutetea majambazi...
  2. N

    'Chadema ni mpango wa Mungu', 'Mungu ibariki Chadema'; ndo kauli pekee zilizobaki za kujifariji wanachadema! Hakuna jingine teeena!

    Ndo ukweli! Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu. Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango wa mungu' Ukiuliza ilikuaje lowassa akagombea kupitia cdm? Utasikia, 'chadema mpango wa Mungu'...
  3. Chadema yashuku mauaji majambazi Serengeti

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshuku mauaji yaliyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya majambazi wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara, kikitoa hoja nne kuthibitisha mashaka yake. Mashaka hayo yanaibuka ikiwa ni karibu wiki moja tangu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mara, Longinus...
  4. Kigogo CHADEMA awalipua Polisi, ni kuhusu tuhuma za kuua

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Jumanne Septemba 27, 2022.
  5. J

    Wazanzibari Umakamu mwenyekiti CCM hakuna kuachiana hadi uchaguzi ufike, hawataki unafiki tofauti na Chadema!

    Kwa mfano Dr Shein ndiye Makamu mwenyekiti wa CCM upande wa Zanzibar hadi sasa Dr Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar atapokea kijiti wakati wa Uchaguzi mkuu wa chama Mungu wa mbinguni ibariki CCM
  6. Polisi wathibitisha kumkata Catherine Ruge wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Ruge amekamatwa leo Jumamosi, Septemba 24, 2022, muda mfupi baada ya kufika Mjini Musoma, Mkoa wa Mara kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari. Lengo la...
  7. Serengeti: Catherine Ruge wa BAWACHA akamatwa na polisi

    Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la...
  8. Mdude Chadema: Wanafunzi wanaolipa kodi ya VAT wakinunua madaftali wanasoma kwenye mapagala!

  9. Mdude Chadema: Familia masikini ndio zinaumia kwa tozo za serikali ya Rais Samia

  10. Chadema Msituangushe vijana 2025. Bungeni njia ni nyeupee pee.

    Kila mmoja anaona mwenendo mbovu w serikali na Bunge letu. Mijadala haieleweki. Serikali haina msimamizi kabisa Kwa ninavyoona upinzani msilambe asali mkatusaliti 2025 naomba mtupe nafasi tuende bungeni. Najua mmepigwa stop mikutano ya hadhara lakini tunawasubiri Kwa hamu 2025 mkiliamsha...
  11. M

    Nyerere aliwahi sema “Nilitegemea majitu yenye nguvu ndani ya CCM yangehamia upinzani ili kupambania mabadiliko ya nguvu”

    1. RIP kwa wote waliotangulia, miongoni mwa watu maarufu na wenye ushawishi / mvuto Mrema alihamia upinzani kwa shinikizo la Mwl Nyerere Sumaye alihamia upinzani kutafuta umaarufu alioukuwa akiendelea kuutamani Lowasa alienda kwa kusukumwa na tamaa yake ya Urais Kingunge alihamia huko kufukuzia...
  12. Mdude Chadema: Mijitu inawaza tozo ili ilipwe posho tu

    Dah 👇 Huwa nasisitiza mara zote kuwa tunahitaji #KatibaMpya hata kwa njia za mkato, fikiria hili jitu linafananisha tozo za nchi maskini Tz na Ulaya. Halitaki kufananisha demokrasia Tz na Ulaya lenyewe linawaza tozo tu ili lilipwe posho. Kwanza linapotosha Ulaya ni Kodi tu hakuna tozo...
  13. Inakuwaje CCM waliokuwa hawawataki wapinzani Bungeni, leo hii wawakumbatie Wabunge 19 wa Chadema?

    Ni dhahiri kutokana na maneno na vitendo vyake, Hayati Magufuli, hakutaka vyama vya upinzani, hususani Chadema, viendelee kuwepo hapa nchini. Huyo Mwendazake, aliwahi kusikika akitamka hadharani Katika sherehe za kuazimisha, kuzaliwa kwa CCM, huko Singida, akijiapiza kuwa ifikapo 2020, atakuwa...
  14. R

    Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

    Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali. Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala. Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo...
  15. Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania. Serikali ije na mpango madhubuti...
  16. L

    Hakuna mtu mwenye kujitambua na mwenye Akili Timamu anayeweza kuishabikia au kuiunga mkono CHADEMA kwa Sasa

    Ndugu zangu huo ndio ukweli japo Ni mchungu lakini ndio uhalisia wenyewe wa mambo, kwa Sasa hakuna mtu mwenye Akili Timamu na anayejiheshimu anayeweza akaanza kuiunga mkono Chadema Kwa Sasa Ni chama kilichokosa dira na muelekeo, Ni chama kilichokosa uongozi wenye kufanya maamuzi ya mwisho na...
  17. Tundu Lissu na CHADEMA endeleeni kulamba asali, msijifiche kwenye jina la Magufuli

    Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani. Inaonekana magwiji wa siasa nchi hii viongozi wa CCM wamewazidi ujanja kwenye discussion. Mbaya zaidi...
  18. CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 20, 2022

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimeitisha Mkutano na Waandishi wa Habari, tarehe 20/09/2022 , Saa 5 Asubuhi kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, zilizoko nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni, Mtaa wa Ufipa. Wote Mnakaribishwa.
  19. J

    Chadema wanamfananisha Ruto na Tundu Lissu wakati Wakenya wenyewe wanadai Ruto ni Magufuli mwingine!

    Chadema walijipendekeza kwa Dr Ruto wakati wa kampeni wakijinasibu kwamba anafanana sana na Tundu Lissu. Lakini Wakenya wenyewe wanadai wamemchagua Ruto kwa sababu ni Mkweli tena ana hofu ya Mungu kama hayati Magufuli. Ufipa st sasa wamepigwa butwaa
  20. Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…