chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Chadema chukueni ushauri huu, ni muhimu na wa muhimu na wa bure!

    Kwanza nawapongeza sana kwa kupitisha, kuratibu na kufanya maandamano yaliyotikisa nchi na kufikisha ujumbe masafa ya mbali. Hongereni sana. Mtafanya makosa kama mtapoa. CCM wana akili sana katika mambo haya. Wanajifanya hawakuona maandamano hayo. Kwa Sasa Kituo kinachofuata kiwe Mwanza. Na...
  2. JamiiForums Tanzania Kama maandamano Chadema yamewezekana chini yake. Ni uthibitisho wa uwezo wake KTK kutenda haki. Hata ile haki kuu pia ataitenda. Tuvute tu subra!

    Wanabodi, Kitu chanye nguvu kuliko kitu chochote duniani ni imani!, faith, ukiamini unafungulia milango ya nguvu fulani zilizoko ndani yako zinazoitwa "will power" ni nguvu za nafsi ambazo zina uwezo wa kufanya kila kitu. Wengi imani zetu tuezielekeza kwenye imani za dini kwa kuamini Mungu...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna mgawanyiko unaochochewa na uwepo wa makundi mawili ambayo yote yanataka kumuweka Mwenyekiti wa Chama hicho...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema, pesa za mafuta ya bodaboda na posho kwenye maandamano mngewapa mtaji Bavicha

    Wanaukumbi. Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje. Nani analipa hizo pesa za mafuta...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mwanasiasa anaona wivu ujenzi wa ofisi kama Makao Makuu ya CHADEMA kwa naye mbali anaweza kukupa hata sumu

    Kuna watu wamezaliwa na roho mbaya, wana roho na wataendelea na roho mbaya. Kuna watu niwakatili na wataendelea kuwa wakatili. Ukiona kiongozi anasimama adharani analalamika chama cha siasa kujenga ofisi basi tambua huyo mtu akipata upenyo anaweza kuchoma moto hata nyumba ya jirani yake ambaye...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi vile vyama 13 vya upinzani, vilivyoamua kuungana na CCM, kuwapinga Chadema, wanajisikiaje hivi sasa baada ya kuona maandamano hayo yamefanikiwa?

    Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kuutangazia Umma kuwa chama chake kinategemea kufanya maandamano ya amani jijini Dar tarehe 24 mwezi huu, kama kawaida viliibuka baadhi ya vyama, wakiongozwa na CCM kuyapinga maandamano hayo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti Freeman Mbowe, maandamano hayo ya amani...
  7. JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA ni jitihada zisizo na majibu

    WAKATI niliposikia tangazo la maandamano lililotolewa na uongozi wa CHADEMA,Binafsi nilipata tumaini kuwa sasa ni ule muda uliosubiriwa na Watanzania kwa ajili ya kusimama,kupigana na kutetea haki zao za msingi kwa kupaza sauti kwa viongozi wao na kuwakumbusha juu ya wajibu na majukumu...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA mna machaguo mawili tu, kuhakikisha Makonda hapati watu wengi kwenye ziara zake au mmshitaki, la sivyo mtapata tabu sana!

    Kuwa na mvuto wa watu, hahitaji kuwa na madigere na au PhD ili ukubalike na watu Ukiniuliza mimi, kwa yale tuliyoyasikia miaka hiyo ya utawala ya JPM hasa kumhusu Makonda, namna vyomba vya habari vilivyokuwa vikimwandama, kumchafua na kubezwa karibu na kila mtu, kwa akili yanfu naliamini kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Tutawapa kila kitu CHADEMA lakini kura hawatopata

    "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata. Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea...
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

    Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Suluhu kwenye hili la kuruhusu maandamano anahitaji sana pongezi

    Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania anayeishi marekani sahivi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania We CHADEMA, umepiga pigaje hapo?

    Humu jamvini kimya ; unajua kwanini? Chadema wamecheza kama Pele katika angle zote 1. Viongozi wakuu wote wameshiriki akiwemo Lisu tuliyeambiwa ana ugomvi na Mbowe 2. Tuliambiwa watoto wao nao washiriki maandamo; Mbowe kuchukua watoto wote kuwapeleka front 3. Tuliambiwa maandamano ni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mwenezi wasiposoma Mwenyekiti wao anataka na kuwaza nini wataishia kuijadili CHADEMA badala ya kusukuma agenda za CCM

    Tumeona namna viongozi wa CCM waivyotofautiana kwenye majukwaa kuhusu maandamano. Finally Chadema wamefanikiwa lengo lao na hivyo yawezekana kabisa kamati Kuu ya chadema ina mikakati mingi isiyo wazi katika kutekeleza siasa na viongozi wake wanasomana. Ukija CCM utaona Mkuu wa Mkoa,, Katibu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania The Flop of Tanzania's Chadema Party Public Demonstrations: A Detailed Assessment of the Political Landscape

    The Flop of Tanzania's Chadema Party Public Demonstrations: A Detailed Assessment of the Political Landscape Mmusi Mosimane Nthuli Today January 24th 2024, a pivotal political episode unfolded in Tanzania when Chadema, a significant opposition party, staged public demonstrations. Intended as a...
  15. JamiiForums Tanzania Kuruhusu maandamano ya amani ya Chadema, je Rais Samia ameshawachoka wahafidhina wa CCM wasiotaka mabadiliko nchini?

    Kwa kweli leo tarehe 24, inabidi iingie katika historia kwa nchi hii, kwa kuwa ni kwa mara ya kwanza, tokea tupate uhuru kwa serikali yetu kuruhusu maandamano ya amani ya chama cha upinzani! Ingawa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) na 18(2)...
  16. JamiiForums Tanzania RC Chalamila adai Wanajeshi hawajafanya Usafi kwasababu ya Maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema sababu za vyombo vya ulinzi na usalama kutoshiriki kufanya usafi leo kama aliyoeleza awali, imetokana na Jeshi la Polisi kutoa kibali cha maandamano kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Chalamila amesema vyombo hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Joti anayapinga maandamano ya CHADEMA?

    Msanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu Joti, ameonyesha kufurahia kusua sua kwa Maandamano ya CHADEMA ambayo yanafanyika hii leo. Joti kupitia mtandao wa "X" ameonyesha kucheka na kujibu kwa maneno yanayoonekana kuwa ni kejeli kwa waandamanaji. Baada ya kuonyesha kejeli, Joti...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila akutana na Waandamanaji wa CHADEMA. Awatakia heri kwenye maandamano na kuwasihi kufikisha ujumbe walipokusudia

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na kuwataka kuulinda uwekezaji uliopo ndani ya Jiji hilo wasiuharibu na badala yake wafikishe ujumbe...
  19. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Usafi aliotangaza Chalamila kufanywa na Majeshi ya Ulinzi tar 23 na 24 Januari leo siku ya kwanza umefanyika mtaani kwako?

    Wakuu, Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24...
  20. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mwigulu ashangaa Tanzania kuishi kwa kutegemea Misaada!

    "Lazima kama Taifa tuwe na mikakati ya kujitegemea sio heshima Nchi kama Tanzania tunaishi kwa misaada ili tufikie huku lazima tulipe na kukusanya kodi ambapo bado tunapata shida katika maeneo haya." Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema hayo leo, Jumanne 23/1/2024 Jijini Dodoma wakati wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…