chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. comte

    JamiiForums Tanzania CHOPA wanayotumia CHADEMA haina leseni

  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya chedema taifa kuhamishiwa Arusha

    lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile. hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie.. alidokeza mnyetisha wa...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanafanya wanayo yapinga, Badala ya kuweka nembo ya chama wameweka Picha ya Mbowe kwenye Chopa

    Hiyo Picha ya Chairman kwenye Chopa ya Mchongo inamaanisha Nini? Au yeye ndio Kiongozi wa milele?? Chopa ilitakiwa iwe na jina la Chama sio sura ya Mtu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wenzako mnapoteza fedha za Chadema kwa kufanya mikutano isiyokuwa na tija

    Nimekusikiliza leo ukiponda nafasi ya ma DC na unapendekeza vyeo hivyo vifutwe, niliposikia ukisema maneno hayo tu sikutaka tena kukusikiliza. Huko mawilayani Wakuu wa Wilaya wana msaada mkubwa kwa wananchi, wananchi wana imani sana na wakuu wa wilaya, wao ndio wanaotuliza mambo ndani ya...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Karatu: CCM yakata Tamaa, yakubali kuachia Jimbo, Chopa ya Chadema yatikisa

    Makubaliano ya kuachia Jimbo yamefikiwa leo baada ya Chadema kuvurumisha mikutano ya hadhara isiyo na idadi (Tunatafuta calculator isaidie kujumlisha), ambayo wananchi wameielewa kabisa, Hakika kisicho ridhiki hakiliki! Lissu ametoa Elimu ya Haki kwa Raia na kwamba hawapaswi kutishwa na yeyote...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Helicopter ya CHADEMA Imeisha muda wake kutumika

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimeona comments ya mdau katika post ya Lema inasomeka hivi. Mangi naomba kukumbusha usajili wa hii chopa umeshaexpire. Fanyeni renewal yasije kutokea majanga mkalaumu watu. Halafu hii chopa ilipata usajili kubeba wagonjwa. Mmebadili? Then kwa nini kila biashara...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Huyo ndiye msomi CHADEMA yote

  8. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Baada ya kelele nyingi za rushwa nda ya CHADEMA Lissu afungwa mdomo na Mbowe!

    Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye na kupanda punda tu, Sasa kapandishwa chopa anacheeka hatutosikia tena pesa za mama Abduli...
  9. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yazuia CHADEMA kufanya mikutano Tarafa ya Ngorongoro kutokana na sababu za Kiintelejensia!

    Jeshi la Polisi limesema taarifa za kiintelejensia zinaonesha Tarafa ya Ngorongoro si salama sana Kwa sasa hivyo Chadema hawataruhusiwa kufanya mkutano kwenye Operesheni yao itakayoanza kesho Chadema wameafiki na kufuta mikutano ya Tarafa ya Ngorongoro --- Siku moja kabla ya Chama cha...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania UVCCM Mwanza: Hakuna anayefaa kuwa Rais Tanzania zaidi ya Rais Samia

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa kauli za kutaka kukigombanisha chama hicho tawala na wananchi, asema CHADEMA hawana hoja zaidi ya...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kufanya Mikutano 105 kwa siku 21 tu Kanda ya Kaskazini, Lissu na Mbowe kuongoza Mashambulizi

    Hii ndiyo Taarifa Mpya ya sasa kutoka kwa Viongozi wa Kanda hiyo Zaidi soma hapa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kufanya mikutano 105 katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini katika Operesheni yake ya kukijenga chama huku wakitarajia kutumia ndege ‘chopa’ katika...
  12. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Hatutazungumza mageuzi Mkoa wa Kilimanjaro bila kumtaja Ndesamburo

    Mbowe mwenyewe kasema chadema imelegea! "Pamoja na mapungufu yote ambayo tutaelezana hapa, inawezekana tusiwe wepesi sana kutekeleza mipango ya mikakati mingi, lakini ukweli ni kwamba mageuzi ni nia ya watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na tukizungumza nia ya mageuzi tunamzungumzia mzee Ndesamburo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaletewa Mpina kuwamaliza

    1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati. 2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu. 3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mchukueni Luhaga Mpina haraka

    Luhaga Mpina ni mtu nondo kweli. Ni mbunge mjenga hoja na mwana mapinduzi kweli kweli Hata alivokuwa waziri wa uvuvi na mifugo alikuwa Nondo na alifanya vyema kuzidi huyu wa Sasa. Alikomesha uvuvi haramu, alikomesha uharamia ziwa Victoria ambapo wavuvi walikuwa sana na kuibiwa engine za boat ⛵...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nilitoa rai kwa wanaharakati na chadema kuwa waambie ulimwengu hivi kuhusu kupewa rasilimali zetu na Watawala kama walivyofanya wakenya. Soma bango

    na kwetu hili linatufaa kuimbia dunia, kesho tukiwafukuza wasione tunavunja sheria za mikataba ya kimataifa!
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mtaenda kwenye uchaguzi Tena ili mje kulalamikia Tume?

    1. Nitashangaa kama CHADEMA watashiriki tena uchaguzi ili waje kulalamikia tena Tume na Wasimamizi wa uchaguzi (Wakurugenzi wa Halmashauri). 2. Hivi hamna strategy ya kufanya mchakato wa Katiba Mpya uendelee ili uchaguzi uwe huru? Chama cha upinzani mmepoa kama SACCOS. Pia soma: Je, CHADEMA...
  17. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Wala rushwa au wapokea rushwa hawafai kua viongozi, wawe CCM au CHADEMA, watauza nchi

    Lissu ameendelea kurusha jiwe gizani. Safari hii ameikemea rushwa wazi wazi hata iliyo ndani ya chama chake CHADEMA. Lissu hajapepesa macho wala kuangalia sura ya mramba asali. Wataalam wa mambo ya siasa za kusini mwa jangwa la sahara wanasema huu ni muendelezo wa kukosoa tuhuma za rushwa na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Ofisi hii inakidhalilisha Chama

    CHADEMA ni Chama kikuu Cha upinzani Tanzania, ndio mbadala wa CCM kwa Sasa, Ofisi kama hii hapa chini inashusha hadhi hii adhimu ya Chama. Kama Ofisi imebidi itumike kama genge la biashara, basi maneno ya Chama yaondolewe.
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

    Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia. Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi. === Pia soma uzi huu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Kuna Watu wanasema Nina mgogoro na Tundu Lissu nawaambia Watasubiri sana, Chopa inaanza operation Karatu na Nitakuwa na Tundu Lissu!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana. Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu. Mlale Unono 😃😃🔥 ====== Freeman Mbowe akikanusha...
Back
Top Bottom