chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Chadema Harakati vs Chadema Maridhiano vs Chadema asili na Chadema Sauti ya Watanzanis

    Mimi nimetafakari sana kuhusu falsafa gani inaongoza Chadema hivi nikisema Chadema ina makundi na mikakati minne ya kimtazamo nitakosea. makundi hayo ni kundi la akina Lissu na Heche wanaoamini katika nguvu ya uanaharakati kuiondoa CCM madarakani,kundi la kina Mbowe,Mrema na Mnyika nk...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 CHADEMA yapinga uchaguzi wa serikali za mitaa kusimamiwa na Tamisemi

    Wanataka uchaguzi huo usimamiwe na Tume ya Uchaguzi. Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika hii hapa . ====== Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimependekeza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa usogezwe mbele ili upatikane muda wa kutosha wa kufanya maandalizi ya kuwezesha...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu uchawa umezidi: Ahmed Kombo adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia

    Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea! Ndio tunaelekea huku na Rais Samia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama Chadema wanahongwa ili kupanga safu za chama Je wakipewa nchi si watatuuza kabisa hawa?

    Makamu Mwenyekiti wa chama Tundu Lissu anasema Kuna watu ndani ya Chadema wamenunuliwa. Pesa zimemwagwa ili kupanga safu ndani ya chama ambayo ni nafuu kisiasa kwa wahongaji. Hili jambo limenifanya nifikirie sana kuhusu uwezo wa CHADEMA kuongoza nchi. Kama hiki chama kinanuliwa na watu ambao...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe kuongoza Vikao vya Mashauriano Mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuanzia 15-19 June, 2024

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ataongoza mikutano ya Mashauriano kwenye Mikoa ya Kanda ya Mashariki kama ifuatavyo: Tanga tarehe 15 June Arusha 16 June Manyara 18 June Kilimanjaro 19 June Credit: Twaha Mwaipaya X My take; Mcheza kwao hutunzwa
  6. Etwege

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mafanikio ya SGR na Bwawa la Umeme ni aibu kwa Lissu na CHADEMA yote

    Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda...
  7. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nini maana ya huu mchoro wa Kipanya wenye bendera ya CHADEMA?

    Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake. Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu kuwa Watanzania wote mmeshajiandaa Kuzipokea hizi CHADEMA mbili zijazo Moja Original na nyingine Academia

    CHADEMA ORIGINAL Freeman Mbowe Godbless Lema Joseph Mbilinyi CHADEMA ACADEMIA Tundu Lissu Peter Msigwa John Heche Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtifuano wazidi kushika kasi ndani ya CHADEMA

    UCHAGUZI wa kumtafuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa umeacha mtikisiko mkubwa ndani ya chama hicho kiasi cha viongozi wa chama hicho kutumiana meseji zenye maneno makali kupitia kundi lao la WhatssAp. Kinyang'anyiro hicho kilikuwa baina ya aliyekuwa...
  10. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba JF ina watu wengi kutoka vyama pinzani au ni watu kwa ujumla kuichoka CCM?

    Wakuu Heshima mbele. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, huwa nafatilia mijadala mingi sana ya siasa. Lakini kuna kitu nimekigundua itakapotokea mtu ameandika kitu kuhusu kuisfia serikali ya CCM basi watakuja watu wengi sana kupinga kwa nguvu Wengine hupinga kwa hoja, wengine hujibu...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!

    Wanabodi Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo ainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba, uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowote wakati wa...
  12. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, CHADEMA Inapaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Bila Tume Huru Ya Uchaguzi na Katiba Mpya?

    CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali. Hoja za Kushiriki 1...
  13. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Mbowe mdogo afunguka - Chadema kimebeba 'future' ya Watanzania

    "Hiki chama kimebeba 'future' na Watanzania wamekiamini kwamba ndiyo chama pekee ambacho kinaweza kui-transform nchi kwa sasa," - JamesMbowe mwanachama wa Chadema ambaye mpaka sasa haijulikani ana cheo gani kwenye chama japo duru zinasema anaandaliwa kurithi mikoba ya mwenyekiti.
  14. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini CHADEMA Wanamuogopa sana David Kafulila?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimefuatilia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali, iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na wana-CHADEMA wanamuogopa sana Mheshimiwa David Kafulila linapokuja suala la kushindanisha na kujenga...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Chadema hawajui kula na kipofu sijui shida ni elimu ndogo au?

    Rais Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa Magufuli wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no katiba lazima ifuatwe. Badala ya CHADEMA kuona sasa mwanga umeonekana mana siasa ni ajira...
  16. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mheshimuni Mbowe pamoja na udhaifu wake

    Msimtukane Mbowe Mzee Mbowe ameifanyia makubwa chadema Mbowe anamadhaifu mengi tu ila karba yake uko kwenu chadema sioni kiongozi anayemkaribia Mbowe hata nusu. Wengi wanalilia uenyekiti chadema lkn wakipewa uenyekiti chadema haichukui mwaka inasambaratika Hamuoni zito alilia uenyekiti wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpasuko wa CHADEMA tatizo ni Asali, Ukabila na Uenyekiti Taifa

    Kwa muda mrefu sana, CHADEMA wamekuwa wakilaumu kukwama kwa maridhiano kwa sababu ya CCM kutokukubaliana na madai yao mengi. Jambo hili liliwashangaza Watanzania wengi wanaofuatilia siasa, kwani ni CHADEMA wenyewe waliotamka kuwa moja ya masharti ya kuanza maridhiano ilikuwa ni kuachiliwa kwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema: Fanyeni uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wake baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Msiwape fursa machawa wa CCM nafasi ya hujuma

    Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki. Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA inaangamia vibaya na kwa uchungu sana

    Haifahamiki inatetea nini kwa sasa, na kiongozi wake ni nani kwa sasa. Haijulikani mikutano inayoendelea kwa sasa ina baraka na inagharamiwa na chama au ni mikutano ya mtu binafsi tu. Uelekeo wala dhima ya mikutano yenyewe haifahamiki ni nini, maana ni story na porojo tu za pata potea mwanzo...
  20. 12STONE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM yapanga kufanya mkutano eneo ambalo CHADEMA walipanga kufanya mkutano huko Singida Magharibi

    Serikali inajipiga kifua kwamba katika Uongozi wa MAMA SAMIA RAIS WA JMT ,Demokrasia imestawi. Kiukweli usawa wa uendeshaji wa shughuli za kisiasa unabinywa chini kwa chini karibia kila Kona ya Nchi yetu. Kesho Jumanne Tarehe 11/6/2024 kutakuwa na Mkutano wa MHESHIMIWA TUNDU LISSU (MAKAMU/KITI...
Back
Top Bottom