chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaweza omba magari wakapewa pia?

  2. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Tumechanga kiasi gani kwaajili ya gari ya Tundu Lissu? Mbona kimya kingi?

    Wakuu, Mwananchi wa kawaida kutoka fyengelezya niliyejitolea kuchanga kiasi kidogo cha pesa ili kufanikisha kununuliwa gari jipya aina ya V8 la kutembelea mheshimiwa Tundu Lissu kwa gharama ya Tsh 300m nina haya ya kuuliza; ° Mpaka sasa imekusanywa kiasi gani? ° Kwanini hatupewi taarifa ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni ubaguzi, Lissu anachangisha hela apate gari hamhamasishani, dogo kafungwa kule Mbeya familia ya Mbowe inachangisha

    Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya. Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja...
  4. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Je, mfumo wa kuwachangia hela waliokosea sio njia mpya ya mapato ya CHADEMA?

    Wakuu kwema, Huu mtindo mpya wa CHADEMA kuchangia hela watu wenye kesi mbalimbali unaenda kuota mizizi Huyu kijana kwa mfano aliyechoma picha ya Raisi, , awali huyu dogo me nilikuwa nifatilia video zake za tictock akimtukana Rais na kuchoma picha zake, hio sio shida. Kilichonipa attention...
  5. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Msigwa aingizwe kwenye kamati ya maridhiano aiwakilishe CCM kuridhiana na CHADEMA

    Mh Tundu Lissu amekuwa akinyooshea kidole kitendo cha Mwenyekiti wake kushiriki katika maridhiano na CCM. Amekuwa akisema kuwa CCM hawaaminiki. Kwakuwa Lissu anakiri kuwa anamwamini Mchungaji Msigwa na ndiye aliyeshika chupa ya damu toka Dodoma hadi Nairobi, basi CCM impe jukumu mchungaji...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siri ya CHADEMA kukubalika Tanga yatajwa

    Inaelezwa kwamba kwa sasa Chadema ndio Chama ambacho kinazungumzwa Tanga nzima, Wakazi karibu wote wa Mkoa huo wameamua kuachana na vyama vingine vyote na kuunga mkono Chadema, Ajabu kabisa! Bali wachambuzi wa siasa wanadai kwamba sababu kuu ya jambo hili kutokea ghafla ni hoja zinazohubiriwa...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaendelea kuiteketeza CCM Tanga, Hii hapa ni kata ya Makuyuni

    Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, Nanukuu "KILA LENYE MWANZO HALIKOSI MWISHO" Kwa Taarifa za Uhakika nilizonazo ni kwamba muda wa ccm kuwatumia wakazi wa Tanga kama Tambala la kudekia umekwisha Huu hapa ni Mkutano wa Chadema kwenye Kata ya Makuyuni ulioongozwa na Freeman Mbowe leo 04/07/2024
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni mwaka huu wa 2024 zitakuwa ngumu sana

    Kampeni ya mwaka huu itakuwa ngumu kwa sababu vyama pinzani vitakuwa na uelekeo wa kuungana mfano ACT itaungana na Chadema, CUF itajitegemea tuna vyama vingi tunatarajia watakuwa na mfumo wa chama kimoja ACT Wazalendo watakuwa na nguvu sana kutimiza dhumuni Lao kuirudisha CCM chini. Ni swala...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameijenga CHADEMA kwa jasho Damu tangu ujana, ni Mali yake hawezi kuichia kirahisi Bora isambaratike mikononi mwake

    Hili ndilo naloliano kwa Mbowe kuachilia kitu ambacho umekipigania kwa jasho na Damu tangu ujana ni ngumu Ni Bora aimiliki Kama kampuni yake BINAFSI ambayo mkurugenzi wake ni wa maisha Kwa miaka zaidi ya 20 Hakuona sababu ya kuandaa viongozi mwingine kwani bado gharama alizozitumia kwenye chama...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Tunazungumza na Watanzania wote wa Maramba Tanga na sio CCM pekee

    BALAA! TAMKO LA CHADEMA LIMETIKISA VICHWA CCM MBOWE ALIPUKA NA WAKE LEO
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wana-CHADEMA waliokula teuzi ndani ya CCM huku UVCCM wakibaki midomo wazi

    Hapa Tanzania kuna watu wamefanya siasa kwa miaka mingi hasa kupitia vyama vya Upinzani. Kiukweli kufanya siasa za upinzani Tanzania na maeneo mengine kama Afrika sio kazi rahisi Hata Hivyo pamoja na changamoto hizo bado Vijana wa Upinzani wanaonekana kuwa bora na wanafaa ktk ngazi mbali mbali...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema yazidi kuifungua Tanga, huu hapa ni Mkutano wa Mwakijembe

    Kwa mara ya Kwanza ninashuhudia Wakazi wa Tanga wakidhamiria kabisa sasa kuiondoa ccm madarakani, sijawahi kuona hamasa kama hii tangu niijue Tanga. Taarifa Zinaeleza kwamba kumbe hata hii Mikutano ambayo inahutubiwa na Mbowe wanairatibu Wanatanga wenyewe na wanaandaa kila kitu! Huu ni Mkutano...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Chama cha Siasa kilikuwa NCCR Mageuzi sio CHADEMA

    NCCR Mageuzi yaani National Convention for Reconstruction and Reform- Mageuzi ndio kilikuwa chama strong na chenye siasa za ukweli, kiliweza kuipa changamoto CCM sana. Kilikuwa na wasomi waliobobea, akina Dkt Masumbuko Lamwai, Prof Abdulrahman Babu, Mabere Nyaucho Marando, Prince Bagenda, Dkt...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA, Wajiandae kumpoteza Rose Mayemba

    Salaam Wakuu, Natoa tahadhari kwa Wafusi wa Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA kama walivyofanya kwa Mchungaji Msigwa, Wajiandae kumpoteza Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe Rose Mayemba. Mheshimiwa Rose Mayemba...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya siasa vinavyojipiga kifua mitandaoni huwa vinaumbuka sana wakienda kuonana na wananchi ana kwa ana

    Huwa vina kutana na hali ya kushangaza sana, ngumu na tofauti kabisa na majivuno, majigambo na ujasiri wa mitandaoni.. Field huwa vinakuwa vidogo zaidi ya piritoni, dhaifu sana, vimenyong'onyea mno, havina watu wala hamasa hata kidogo. Wao hushangaa wananchi na wananchi huwashangaa wao...
  16. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo ichunguze. Vijana wa viatamizi waliomaliza Mafunzo wanatupwa maporini utafikiri wao ndo wananenepeshwa na siyo ngombe

    Kuna uwezekano Mama yetu Samia anahujumiwa. Serikali ichunguze wasimamizi wa Mradi wa vijana BBT- Mifugo. Kuna haya mambo yanayotia kinyaa; 1. Vijana waliahidiwa kukaa mwaka mmoja kambini wakipata mafunzo ya unenepeshaji mifugo. Kinyume, wamekaa mwaka mmoja na nusu kwa mahangaiko yasiyo ya...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kila nikiangalia hizi picha nabaki kuwangaa CHADEMA lia lia kuhusu suala la Msigwa

    Wanasiasa ni ngumu sana kuwaamini na wanashangaza
  18. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna kundi limeibuka linapinga Freeman Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Habari wana JF Kama mtakuwa wafuatiliaji wa mambo ya siasa mtandaoni kuanzia Insta, x (zamani twitter) facebook na hapa Jamiiforums Mtagundua kuna kundi kubwa limeibuka kumpinga Mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe kupitia posits na comments. Hoja zao kuu ni Mbowe aachie uenyekiti wa...
  19. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Apewe maua yake kabla hajafa, Mbowe ni Mkufunzi, CHADEMA ni chuo cha wanasiasa

    Ukweli ni lazima usemwe Mbowe ni jabali la siasa pamoja na mapungufu yake kama mwanadamu, Dhahiri CHADEMA chini ya ukufunzi wa Mbowe amekuwa ni mpishi muhimu kwa wanasiasa wa Tanzania, na wanafunzi wa Mbowe wengi wao wamekuwa wakishahitimu CHADEMA huchukuliwa na CCM moja kwa moja na kupewa...
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Namba mbili CHADEMA anakaribia kujiunga na CCM, huyo aliyeenda ametangulizwa tu na Kila kitu kipo tayari. Ni sUala la muda tu

    Tetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa 12:20, kulikuwa na mazungumzo nyeti yakimhusisha namba mbili, jamaa wa Iringa pamoja na mwenyekiti mkuu...
Back
Top Bottom