Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.
Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya...
...tunaendelea
Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa mambo ya madini mwaka 2002 miaka 22 iliyopita, na za Kikwete ngapi sijui za Magufuli ndiyo usiseme...
Mbalizi, Tunduma Road
Tanzania
VITUKO MSIBANI CHADEMA NA CCM WASHIKANA PABAYA KILA MMOJA AONYESHA UWEZO WAKE
https://m.youtube.com/watch?v=IIW7fpPFuj8
Kufuatia msiba mzito wa aliyekuwa mwanachama kindakindaki kamanda wa CHADEMA aliyegusa maisha ya wakaazi wa Tunduma Road Mbalizi, viongozi wa...
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka".
Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa CHADEMA katika masuala na hoja zote zinazogusu na kuhusu Uchumi.Ndio maana CHADEMA mpaka sasa huwezi...
Mfano G. Malisa, Mwanamapinduzi Singida, kifupi polisi wameshapewa order toka juu kukamata wanaharakati wote ambao wanachipukia na wakosoaji wa serikali.
Hali hii itarudi kwa kasi kabla ya Uchaguzi wa Mkuu 2025 lengo ni kuwatoa watu kwenye mstari. Hivyo basi watu wawe makini katika shughuli za...
chadema
godlisten malisa
kuelekea 2025
kuelekea uchaguzi mkuu
siasa tanzania
upinzani tanzania
usalama wa wanaharakati
vyama vya upinzani tanzania
wanaharakati
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Huko Singida Mjini kumepangwa kufanyika Mkutano wa Hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu 8/6/2024, kwenye viwanja vya Stendi ya Zamani.
Taratibu zote zimekamilishwa na kwamba Polisi wameahidi kutoa ulinzi , lakini cha ajabu Mkurugenzi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo huwa anakimbilia kutafuta majibu mepesi na rahisi, kama ambavyo amewahi kusema Baba wa Taifa Hayati...
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi.
Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu
---
Jeshi la Polisi mkoani Singida usiku huu limemuita kwa mahojiani Askofu Maxmillian Machumu (Mwanamapinduzi) kwa...
Pipoooooooooooozi
Moja kwa moja kwenye mada. Katika kipindi hiki ambacho Main stream nyingi na Online media zimeamua kuwa Tawi la CCM nafikiri ni wakati sahihi wa chadema sasa Munatakiwa kuwa wabunifu kwa kuboresha Mitandao yenu ya Kijamii kwa kuwafikishia wananchi taarifa zaidi.
Leo hii...
Wasalaam, JF.
Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla ya kuanza harakati Tanzania nzima.
Tayari baadhi ya watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof...
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake kupinga ushindi huo wa Sugu, bado haijajulikana kama Kamati Kuu...
Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.
Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka...
Pamoja na yote yanayo semwa juu ya CHADEMA bado Peter Msigwa ni mnufaika kinara wa CHADEMA Jimbo la Iringa ( T )
Huenda Mch Peter Msingwa ndio mwanasiasa toka Upinzani atakayetangazwa mapema zaidi katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Oct 2025.
Duru za siasa za Upinzani zinamtaja Peter Msigwa kuwa...
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.
Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.
1...
Swali maalum kwa makamanda.
Wanachadema naomba muongozo wa katiba yenu, je vipindi vya uongozi hasa mwenyekiti ni miaka mitano, kumi, ishirini, thelathini au ni milele hadi kifo?
Tuelewesheni ili tuelewe huko uongozi ukoje maana vyama vingine tumeona mtu kapiga miaka kumi anastaafu sasa kwenu...
Hata Mbunge Jon Ndugai Spika wa zamani nadhani anashangaa namna Demokrasia ndani ya Chadema imekomaa kiasi cha kuvumiliana kwenye mawazo na hoja binafsi. Jambo ambalo kwake yeye binafsi lilimgarimu Uspika wa Bunge tukio ambalo lilikua la ajabu na la kwanza kutokea Duniani.
Hata hivyo Wataalam...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa
kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na kufikiri vyema anaona wazi kabisa kuwa chama hiki kilichopata kujizolea umaarufu na kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.