chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mazingira ya Siasa ni Magumu, Sarakasi za Msajili na CHADEMA hazina Afya, Kuna Ukandamizwaji

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
  2. JamiiForums Tanzania Nilichooneshwa: Hatima ya TAL na wasaliti wanaorejea

    Wasalaam, I declare interest, haya ni maono, yaan ni ndoto ilinichukua mchana ghafla nikipoteza ufahamu wa kawaida kwa muda nnao kadiria dakika moja na nusu. Katika hali ya kustaajabisha kabisa nikaoneshwa namna vikao vya siri wakuu wakilaumiana kwanini kila pigo walilopiga Chadema limekua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lissu kashindikana na mafisadi Asiamini hata watu ndani ya Chadema

    Lissu kashindikana mafisadi watajaribu kila njia . Asiamini hata watu ndani ya Chadema. Hawawezi kumshinda kwa hoja, kukubalika kwenye jamii, akili, kutokuwa fisadi, na kujitoa muhanga. Hivyo wanajaribu kumuuwa mtu ambaye maisha yake yote anapigania haki
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA ianze kuanda viongozi watakaounda serikali maana njia ni nyeupe kuchukua dola kwa njia ya box la kura

    CHADEMA ianze kuandaa mkakati wa kuandaa viongozi ambao watakuja kuwatikia wananchi wa Tanganyika na kulinda rasilimali za Watanganyika. Vita vya namna yoyote ile huwa vinapiganwa in the field not on desk. Kwenye field sasa hivi Chadema ni chama cha ukombozi na wananchi wanataka kikae...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamzuia kwa muda Msajili wa Vyama kuisimamisha au kuitoza faini CHADEMA

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Babati mkoani Manyara, imetoa zuio la muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua zozote kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amri ya zuio hilo la upande mmoja (ex parte temporary prohibitory) limetolewa Jumatatu Mei 25, 2026 na Jaji...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamzuia kwa muda Msajili wa Vyama kuisimamisha au kuitoza faini CHADEMA

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Babati mkoani Manyara, imetoa zuio la muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua zozote kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amri ya zuio hilo la upande mmoja (ex parte temporary prohibitory) limetolewa Jumatatu Mei 25, 2026 na Jaji...
  7. JamiiForums Tanzania Mtego kwa Chadema

    Kuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti. Wapo wanaoanzisha kumsifia John Heche kuwa ni jembe kweli kweli na anacheleshwa na Lissu kuwa pale juu, ndugu zangu...
  8. JamiiForums Tanzania Ni Africa tu ambapo mwenyekiti wa Chama yupo gerezani kwa makosa ya uhaini lakini bado anaendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA hii ni aibUu

    Africa Kuna maajabu sana, mtu yupo gerezani lakini bado anaendelea kuwa kiongozi na watu wanamuona Bado kiongozi sasa mkiambiwa ni misukule au manyumbu mtalaumu? Mtu anakesi ya uhaini huyo ni shetani kwa Mujibu wa makosa kwa Taifa lolote lile Duniani, amepoteza uzalendo kwa Taifa lake lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere adai yeye ni mkubwa kuliko Chadema, Je amerukwa na akili?

    Akihojiwa na vyombo vya habari mitandaoni, Mamluki huyo ametamba kwamba yeye ni Taasisi na ni Mkubwa kuliko Chadema. Ikumbukwe kwamba Yericko hana Cheo chochote CHAUMA Bali ni mbeba begi wa Salum Mwalimu Kwa kauli yake hiyo mnadhani ana akili timamu au ni kichaa kamili?
  10. JamiiForums Tanzania Waacheni Warudi Lakini Wasitutoe Kwenye Reli: Je, Hii ni Mkakati wa CCM Kudhoofisha CHADEMA?

    Wimbi kubwa la hivi karibuni la wanachama na viongozi wanaorejea CHADEMA linapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa ya kisiasa. Ingawa hatua hii inaongeza idadi ya wanachama, kuna uwezekano mkubwa ikawa ni mpango mkakati uliosukwa na CCM ili kupandikiza mamluki, kukusanya siri za ndani, na...
  11. JamiiForums Tanzania Waacheni Warudi Lakini Wasitutoe Kwenye Reli: Je, Hii ni Mkakati wa CCM Kudhoofisha CHADEMA?

    Wimbi kubwa la hivi karibuni la wanachama na viongozi wanaorejea CHADEMA linapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa ya kisiasa. Ingawa hatua hii inaongeza idadi ya wanachama, kuna uwezekano mkubwa ikawa ni mpango mkakati uliosukwa na CCM ili kupandikiza mamluki, kukusanya siri za ndani, na...
  12. JamiiForums Tanzania Patrick Assenga arejea CHADEMA akitokea CHAUMMA

    Aliyekuwa Kada wa CHAUMMA, Patrick Assenga ametangaza kukihama chama hicho na kurejea Chama CHADEMA ambacho kimsingi ni chama alichokitumikia kwa miaka mingi kabla ya kuhama hapo Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Jumanne Mei 26.2026, Assenga amesema maamuzi ya kurejea CHADEMA yamekuja...
  13. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mdee aomba wasamehewe CHADEMA? Na kama kuna adhabu wapewe waitumikie?

    Wakuu NImekutana na huu ujumbe unaodaiwa kuchapishwa na Halima Mdee kupitia ukurasa wake wa X ingawa sijaiona je uhalisia ni upi? "tulifanya makosa wengine kwa kujua wengine kwa bahati mbaya, wengine waliondoka kwa sababu ya mifumo iliyo kuwa inalalamikiwa.,,msituhukumu kwa mapito yetu Bali...
  14. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwake Chadema imekua ikichochea migawanyiko, matusi na mmomonyoko wa maadili kwa vijana wake badala ya maendeleo?

    Ni kwasababu ya kukosa agenda mahususi, kuokosa hoja au ni kwasababu ya ombwe la uongozi bora ndani ya chama hicho kilichopoteza uelekeo wa kisiasa nchini? Maana chama kimegubikwa na uropkaji na utovu wa kimaadili kupindukia na kila moja anaropoka lake, haijulikani nani kiongozi nani...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA wafikiria kuingia Msituni endapo Msajili wa vyama atakifuta

    Sasa hivi kila neno la CHADEMA ni Sheria kwa Wananchi. Na huu ujumbe umfikie msajili wa Vyama vya siasa Nchi, Nyahoza na Mtungi. Maamuzi ya Msajili wa vyama ni kumfurahisha Samia na Genge lake. Kutokana na kilichotokea 29.10.2025, nipo tayari kulipiza kisasi.. Nasubiri Mtungi ajichanganye...
  16. JamiiForums Tanzania Ama kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu. Ona hili vibe la Ndato Rungwe CCM wakasome

    Hii ni hatari CCM lazima wapaniku CDM ipo mioyoni wa Watanzania.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rachel Dangwa anaomba: Free Polepole ijumuishe kwenye slogan ya Chadema ya Free Tundu Lisu

    Ni ombi lake ingawa Polepole was an accomplice to whatever cruelty done during Magufuli era! Tunafanyaje. Weka maoni yako.
  18. JamiiForums Tanzania Ni wakati gani hasa utakua muafaka zaidi kwa Joseph Selasini kuanza kupewa heshima na kutambuliwa kama mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa?

    Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani? Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa? haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote...
  19. JamiiForums Tanzania Je Wanaorudi CHADEMA Kutokea CCM , waliwahi kuhusika kwenye Kuteka? kuua? Kufungia CHADEMA ? Kumfunga Lissu??. Wan CHADEMA ni lazima tutumie Akili !!

    Adui yetu ni Genge la Samia , Genge la MAFWELE, Genge la Msoga. Adui yetu ni Mtanzania yoyote ambaye ama kwa Nafasi yake ametumika Kushabikia, Kutekeleza au kufunika Matukio ya Utekaji, Uuaji, Kumfunga Lissu Jelaz Kufungia CHADEMA, Wanaozuia KATIBA Mpya, Wanaosababisha Maisha magumu kwa...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA, chagua Moja kukumbatia wasaliti au Wananchi!

    Always msaliti ni msaliti tu hakuna siku atakuja kua malaika usaliti always uko kwenye damu ya mtu bora mara 100 Mdee lakini sio wakina Msigwa ambao walizunguka kwenye majukwaa wakikibagaza chama. Wakina msigwa na Wenje walishakosa credibility ya kuhaminiwa na wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…