chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Hii Chadema imeshindikana ndo maana akina Heche wana jeuri

    Mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Karatu Mjini umevutia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kusikiliza viongozi wa chama hicho wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na maendeleo ya nchi.
  2. JamiiForums Tanzania Mwenzenu Idu nipo kijiwe fulani Igunga nagonga balimi baridiiiii. Huku nikifuatilia CHADEMA namna wanavyoibagaza CCM

    Haya sio mashambulizi bali ni nia thabiti ya Chadema kuchukua dola. Mungu si Athumani. Maana Mungu hana ubaguzi wala choyo. Watanzania wamepata uelewa mkubwa sana. Hawaitaki CCM kwa namna yoyote ile. Leo hii Chadema wanaibagaza CCM kam vile wanakaanga samaki. Kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa...
  3. JamiiForums Tanzania CCM Ni utamaduni, ukilelewa kwenye vyama vya upinzani hutapaweza!

    Kama kunaeneo methali ya "samaki mkunje angali mbichi" inaishi, basi eneo hilo ni eneo la siasa. Juzi tumemsikia Alli Happy, katibu wa jumuia ya wazazi CCM, kufuatia kurudi kwa Msigwa CHADEMA, akisema kwa jinsi alivyomfahamu Msigwa alijua hawezi kukaa CCM. Jambo hili ni dhahiri sio kwa Msigwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Said Issa Mohamed aliyeishtaki CHADEMA atimuliwa rasmi Uanachama kwenye chama hicho

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pemba kinaujanisha umma na wanachama wake kuwa Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba iliketi katika kikao chake cha dharura tarehe 06 Juni 2026 katika Ukumbi wa Pride ya Zamani, Chake Chake, Pemba. Kikao hicho kiliongozwa na...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Kihongosi acha kuvamia vijiwe vya CHADEMA huku umeficha mapanga mgongoni

    Baada ya kuwaua kwa risasi sasa mnarudi kwao kama mbwamwitu huku mmejifunika ngozi ya kondoo. Mchana unasema Tanzania ni moja na ndugu tusibaguane usiku mnawateka na kuwakata vichwa. Elewa hao vijana unaowatembelea bado wanamajonzi ya wapendwa wao huku Mwenyekiti wao hawajamuona leo ni zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Ally Hapi hauna ubavu wa kupambana na Chadema hii hii ni zaidi ya nguvu za umma, bora urudi kwenu ukalime nyanya hoho

    Kwanza jiulize wewe binafsi unaushawishi gani kwenye taifa letu kisiasa? Chama chako kina ushawishi gani? Mwenyekiti wa chama chako? Leo hii usimame jukwaani wewe kapuku wa wa baraza la wazazi CCM kuizungumzia Chadema hii ambayo hata wanaCCM wanatambua kuwa ni chama cha ukombozi dhidi ya...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na wanaharakati, enzini mazuri ya watu kama Magufuli na Samwel Sitta

    Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki. Mfano hayati Rais Magufuli, siyo dhambi akienziwa kwa kupambana kwake kulinda rasilimali za nchi. Samwel Sitta naye ( marehemu ), naye siyo dhambi pia akienziwa kwa kuruhusu...
  8. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Mikutano ya CCM na CHADEMA kwa sasa

    Mikutano ya Chadema imejaaa watu wa rika zote, vijana akina mama na wazeee wenye bashasha na wanaotaka madiliko. Mikutano ya CCM imejaza akina mama wazee. WanaChadema wanatoa hoja za msingi wakipinga ufusadi, utekaji na upendeleo wa kisiasa wanaouoata wanaCCM wachache na familia zao. WanaCCM...
  9. JamiiForums Tanzania Itakuaje CHADEMA kikifutwa na msajili wa vyama?

    Helooooh Swali tu hilo na naomba moderator hasifute wala asibadili kichwa cha habari Chama kikifutwa na msajili wa vyama mtafanyaje? Chadema kikifutwa kwa kanuni za nchi ninyi mtafanyaje? Wanachama na viongozi wa chadema Mtasajili chama kingine au mtasusia maswala ya siasa Mkisajili chama...
  10. JamiiForums Tanzania Heche: Sauti ya CHADEMA ikifutwa, watawauzeni, tupeni nchi na nyie mnufaike na keki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, ametoa wito kwa wananchi kuunga mkono chama chake ili kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kijamii nchini. Katika hotuba yake akiwa Lindi Juni 3, 2026, Heche alikosoa vikali usimamizi wa rasilimali za nchi, akibainisha kuwa ingawa Tanzania ina utajiri...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitwaa ngome ya Act wazalendo. Kilwa yazizima. Chama cha Zitto hakikubaliki tena

    Kilwa kivinje iliyokuwa ngome kuu ya Act wazalendo sasa ni Chadema tupu. Ikumbukwe mpaka sasa kila inakoenda kufanya mikutano yake Chadema inapata uungwaji mkono na wananchi kwa asilimia mia👇
  12. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Sikujua kama Watu walikuwa wamekasirishwa sana, mimi kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM

    Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

    Mpo eeeh Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata Na...
  14. JamiiForums Tanzania Sina imani na CHADEMA, sitamani wachukue nchi

    Chei chei Viongozi hawana ushirikiano na wana vita wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama, hakuna masikilizano kila mtu yeye yupo mbele tu hakuna anayetaka kukaa nyuma ya mwenzake Acha tu CCM waendelee kushikilia nchi maana sioni dalili yeyote kwa CHADEMA kuingia madarakani Msimamo wangu upo pale...
  15. JamiiForums Tanzania Walidhani wakiimaliza CHADEMA watabaki salama

    Wameshindwa kuimaliza CHADEMA.. CDM Imeibuka na kuwa Chama bora zaidi Chenye nguvu zaidi Chenye ushawishi zaidi Chenye kupendwa zaidi Wao wameguekana sasa.. Wanafitiana uwani na kuhitilafiana wazi wazi kabisa! UTAWALA DHALIMU UMEFITINIKA🗑
  16. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: CHADEMA ya sasa ndiyo chama cha upinzani kweli kweli, CHADEMA iliyopita tulikuwa tunapiga fix tu

    Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema; "Chadema ya kwanza ambayo nilitoka wakati ule, ilikuwa compromised. Iliondoka katika misingi ya malengo na makusudi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Na sababu niliziweka bayana. Tulikuwa tunahubiri (preach) demokrasia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Msajili wa vyama vya siasa awaibukia CHADEMA Ofisini kwao

  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA mjiulize swali la msingi. Kama Mch Msigwa angesginda uchaguzi kupitia CCM angejiuzulu ubunge sababu ya mauaji ya Oktoba 29?

    Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025. Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge? Wajinga ndio...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nimeona mama mmoja analia kwa uchungu mbele ya Mwigulu Nchemba kuwa mtoto wake alitekwa na polisi. Je haya ni maigizo yanayofanywa na Chadema?

    Mama huyu amelia kwa uchungu sana. Tena Waziri mkuu ameona kwa kauli yake kwa kusema kuwa wanaChadema wanajiteka akimaanisha hakuna utekaji. Mama amelia kwa uchungu sana maana anadai polisi walifika nyumbani wakijifanya wamachinga na kumteka mtoto wake tangia mwezi wa nne. My take; hata kama...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa za kiunaharakati wanazozifanya CHADEMA ni zipi? Ebu tuelezeni tuelewe. Maana wanapinga uovu na ufisadi na wanataka kusaidia taifa lao.

    Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati. Harakati hizo ni zipi? Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki? Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…