chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KATAVI: Wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA Taifa watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu

    Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha, Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuiokoa CHADEMA ni Lissu kumuunga mkono Mbowe baada ya uchaguzi wao

    Nimetafakari sana nimeona namna pekee ya kukinusuru chama rafiki CHADEMA ni Lissu kukubali matokeo na kumuunga mkono mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe mara baada ya uchaguzi wao. Kinyume na hapo CHADEMA haitasalimika. Itavunjika vipande baada ya muda mfupi. Lissu na genge lake...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuleta maridhiano na amani CHADEMA, 4rs za Dr. Samia Suluhu Hassan zitumike kutuliza joto la siasa kuelekea uchaguzi wake wa ndani ngazi ya taifa

    Kwa ushahidi wa mahojiano ya viongozi waandamizi wa Chadema Taifa hususani Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Taifa, ni wazi hekima na busara inahitajika ili kuinusuru Chadema kwenye kupasuka na kwakweli kusambaratika kabisa kwasababu za ubinafsi uliokithiri baina ya viongozi hao, uchu na tamaa ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kasri la Kikeke: mahojiano na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, mwelekeo wa vyama vya siasa 2025

    Sikiliza https://youtu.be/PjKQHmASvCM
  5. U

    JamiiForums Tanzania Naitazama CHADEMA katika pande hizi

    CHADEMA imejengwa na kujengeka lakini kwa upande wangu naona kuna matatizo haya. Wagombea wanaopendwa hawana fedha kitu ambacho huwanyima wagombea wazuri kupata nafasi na hatimaye kumpa nafasi hiyo mwenye pesa hata kama hakubaliki. Hili hutokea kwenye chaguzi zote za serikali. Pia tatizo...
  6. dr namugari

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdul amefanikiwa kwa asilimia 80 kuipasua chadema

    Abdul aliona mama yake anakosolewa vikali na upinzani ameamua naye kuingia kwenye michezo michafu mbaya Sana zaidi hata ya Hayati Magufuli kuipasua CHADEMA Hadi sasa amefanikiwa kuivuruga chadema vipande viwili. Kwa kutupa shilingia ndani ya chama hiki kikongwe cha upinzani sasa hv viongozi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    "Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kaka yake Tundu Lissu: Atakayechaguliwa CHADEMA arekebishe Katiba ya Chama

    Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama. Pia, Soma: Sijawahi kumsikia Mbowe akizungumzia Katiba Mpya ya JMT, Nadhani hicho siyo Kipaumbele chake bali ni Kipaumbele Cha Chama...
  9. 4

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu kachukua pesa za watu huko CHADEMA uchaguzi umeisha kwisha rudisha .

    Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu, kila mmoja kwa imani yake. Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule, utazitapika, uchaguzi umeishaisha . Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma. Mtajua hamjui.
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Songwe: Tumekaa tumeona tusimame na Tundu Lissu na siyo kama tunampuuza Mbowe

    Wakuu Uchaguzi unapamba moto == Ni siku chache zimepita toka Wenyeviti wa CHADEMA kujikusanya na kumshawishi Freeman Mbowe kugombea nafasi ya uenyekiti kwa mara nyingine Hali imekuwa tofauti kwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe baada ya kusema Wamejirisha watu wanachama...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza. Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Athari za kutokuwa na kaba ya ulimi, kuongea kwa Lissu bila kuangalia ni kwa kiasi gani unakipasua chama chako CHADEMA/unawagawa wanachama na wapenzi

    MAONI YANGU Tuna uzoefu mkubwa wa watu kuitikia michango inayoitishwa na Chadema katika kushghulikia wanachama/wapenzi wanaopata madhira kwa sababu ya kuwa upinzani. Tumeona ushirikiano mkubwa kutoka watu kufikisha kiasi fedha kinachihitajika kumlipia fine wanaokuwa wamebambikiwa kesi na...
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuwa mpinzani sio ujanja na kuwa CCM sio ujinga , bila fair political battle ground chuki itatumaliza

    CCM , CHADEMA,NCCR MAGEUZI na vyama vingine vyote vinaundwa na watanzania ingawa hawa watanzania wanakuwa na mitazamo tofauti kulingana na sera za vyama vyao . Kipindi nakua nlikuwa naichukia sana CCM na kuwaona wale walio upinzani ndio wa maana sana ,nlikuja gundua yale ndio yalikuwa mawazo ya...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA taifa msikilizeni na mawaidha muhimu sana ya mzee Azaveli Lwaitama

    CHADEMA inapoelekea kwenye uchaguzi wake ngazi ya Taifa, ni muhimu sana kusikiliza kwa makini, kuzingatia, kuyashika na kuyafuata mawaidha na nasaha za mzee Azaveli Lwaitama kuhusu demokrasia ya uchaguzi wa kihistoria ndani ya chama chenu. Ni muhimu sana, ushauri wa mzee Azaveli Lwaitama...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA nayo naona ina mfumo wa kulindana. "Kunya anye Kuku akinya bata Kaharisha"

    Hamjambo wote Bila Shaka. Lissu amezidi Kuonyesha rangi halisi za CHADEMA. Kwa kweli Watanzania wengi hawakutegemea haya wanayoyaona kwenye Chama hiki. Lissu hacheki na wowote. Lisu hana mawe mawili ya Kupimia. Yeye Mla Rushwa na CHADEMA ni sawasawa na mla Rushwa wa CCM. Wote ni wla Rushwa...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Endapo kama chadema haina fedha kwa sasa hakuna ubaya uchaguzi wao ukahairishwa mpaka mwakani!

    Hii ni kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa chadema, tulimsikia akidai chadema kwa sasa haina fedha, hata za uchaguzi. -Hekima ni uhairishwe ili pia bwana mbowe anusurike 😁😁😁 #savembowe #helpmbowe #rescuembowe
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wenje: Chadema wapo watu wa aina mbili, wenye vyeo na kama huna cheo basi ni mkunja ngumi

    Ezekiah Wenje ambae anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema taifa na ambae ni mfuasi wa Mbowe anasema "ndani ya Chadema huwa tunasema kama huna cheo basi utakuwa mkunja ngumi tu" Kwenu makamanda mtakaoambiwa na Mbowe "Kunja ngumi kamanda" mjue hiyo ni kazi yenu kama huna cheo.
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani bora CHADEMA ikafia mikononi mwa Tundu lissu kuliko Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti

    Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani . Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lissu akiondoka Chadema, hakuna Mwana-Chadema ataondoka kwenye chama kumfuata Lissu

    Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama. Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama

    Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama. Hii inakuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Iringa alipotangaza kuachia huru wanachama watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo aliyekuwa Katibu wa Jimbo George Sanga na wenzake Gudluck Mfuse...
Back
Top Bottom