chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Hakuna mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa nje ya Tarime anaweza kumpigia kura John Heche nafasi ya Makamu Mwenyekiti

    Heche anajulikana kwa ubinafsi, huku hekima na busara vikimpitia pembeni kama ilivyo kwa Lissu. Lakini pia ni Heche ni muoga sana field ukilinganisha na majigambo yake kwenye mikutano au press. Ana maadui wengi zaidi chadema sambamba na Tundu Lissu anaeona kila mjumbe wa mkutano mkuu chadema au...
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania Madhara ya uchaguzi wa Chadema January 2025 na Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025.

    Katika hali ya kisiasa nchini Tanzania, chama cha Chadema kinakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kosa la kiufundi lililofanywa na uongozi wake. Chama hiki kimeamua kuitisha uchaguzi wa ndani wa chama katika mwaka ambao kuna uchaguzi mkuu wa kitaifa, ambao unahusisha uchaguzi wa Rais...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA, Je chama hicho kinaelekea njia ya TLP?

    Kwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA, Je chama hicho kinaelekea njia ya TLP? Na Thomas Joel Kibwana Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), ambacho kilikuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania, kilififia na kupoteza umaarufu wake kutokana na changamoto za uongozi, mgawanyiko wa...
  4. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Kuwa CHADEMA haioneshI dalili ya kushika dola leo wala kesho, nafasi ndani ya chama ndo zimekuwa dili

    Mimi niko pale na popcorn zangu kama kawaida yangu, jina la Series silijui ila niliposoma majina ya actor na actress, director na producer nika_press play, Episode ya pili sasa.
  5. vnn

    JamiiForums Tanzania Matokeo yoyote ya Uwenyekiti CHADEMA, Hayatamnufaisha Mbowe, ni wakati sahihi wa yeye kujitoa kulinda heshima yake!

    Kwa Ninachokiona hapa Mbowe hawezi kushinda kihalali kamwe, Na akishindwa kwa njia ya Kura atakua amedhalilika na ametoka kwa aibu ya kukataliwa na wanachama, na endapo atalazimisha ushindi wa bao la mkono au vyovyote vile basi Chama kitapoteza ushawishi sana kwa wananchi na wanachama wa...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mdau amuuliza John Heche: Unataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

    Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani? Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
  7. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Ipi hatima ya CHADEMA baada ya minyukano inayoendelea?

    Chadema kinashuhudia minyukano ya wazi na hatarishi mno tokea kianzishwe. Unaweza kusema pasi na shaka, sasa kuna Chadema mbili. Mosi, Chadema ya Mbowe. Na pili, Chadema ya Lisu. Chadema hizo mbili zinanyukana isivyo kawaida! Je, ni rasmi anguko la Chadema linaenda kutukia? Ipi hatima ya...
  8. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA na kutawala siasa za Tanzania

    Bila kujali nani atashinda ama kushindwa na nini kitatokea baada ya uchaguzi, nimeona ukubwa wa CDM katika siasa za Tz. Uchaguzi wa Mwenyekiti CDM Taifa umetawala siasa za Tanzania kwa wiki kadhaa. Hakuna Chama tawala wala vyama vingine vya upinzani ambavyo vina-trend kwa sasa. Hili ni jambo...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu, Uwezo wao na Madhaifu yao

    Copy & Paste from Twitter. MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO SIFA ZA MBOWE 1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii. 2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu 3. Ana uwezo wa kuwalea na kuwakuza vijana japo baadae wengi humgeuka na kukimbilia chama tawala. 4...
  10. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Nitamuunga Mkono Tundu Lissu, na nitagombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama. Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu...
  11. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, John Wegesa Heche achukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa'

    == https://www.youtube.com/live/N5uOf6VW-OA?si=oguOArFN95aS-bTR Hatimaye Mwamba mwingine wa siasa toka CHADEMA Mhe John Wegesa Heche anaunguruma muda huu kupitia wanahabari wa nje na ndani ya Tanzania, Huenda Mhe John Heche akatangaza kumkabili vikali Ezekiel Wenje kwani tayari...
  12. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na jicho la mwewe miezi mitatu nyuma alisema huko ndani kwao Chadema kunawaka moto haya sasa tunayashudia!

    Miezi mitatu na ushee pale Raisi Samia alipokuwa akitoa hotuba ,kati ya maneno aliyosema ni kuhusu wanasiasa haswa lissu kuropoka sana kuhusu CCM na Serikali . Alisema huko ndani Chadema kunawaka moto wengi walichukulia labda ni kauli za vijembe vya kawaida katika siasa kumbe Raisi Samia ana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Republican, Democrats (USA), Conservative, Liberal na Liberal Democrats (Uingereza) havina ukomo wa uongozi sawa na Chadema

    Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi. Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema. Msikilize Ansbert ngurumo https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
  14. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Je chadema kutoweka ukomo wa kugombea nafasi ya uongozi walikosea?

    Salaam wana Jamvi,ninavwatakieni jumapili njema yenye baraka tele.baada ya kusema hivo,hebu nirudi kwenye mada yangu.kumekuwa na shinikizo kubwa sana la watu kutaka chadema wa badilishe kifungu kwenye katiba Yao kina cho ruhusu mtu kugombea nafasi yoyote bila ukomo mpaka wanachama watakaposema...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa: Minyukano ya kambi za uchaguzi wa Mwenyekiti (Mbowe & Lissu) CHADEMA, sababu ni Mbowe anataka kugombea Urais 2025

    Fuatilia kwa umakini minyukano ya siasa za uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa utakaofanyika tarehe 21/01/2025 inayoendelea ndani ya chama hiki kisha husianisha na matukio haya👇.. TUKIO #1: Tundu Lissu atangaza nia ya kugombea u - Rais wa JMT 2025 iwapo chama chake kitampa ridhaa. Asema...
  16. Even MOre

    JamiiForums Tanzania MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

    Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa. 1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe wakili Jebra ni Act Wazalendo damu? Kwanini anaingilia CHADEMA?

    Kumbe wakili Jebra ni Act wazalendo dam dam? Kwanini anaingilia Chadema?
  18. L

    JamiiForums Tanzania Chadema hakina ukomavu kimejivua nguo Aibu.

    kwa yanayoendelea sasa ndani ya chadema kuna ombwe la uongozi na kutokuwepo kwa nidhamu, ustahimilivu na kuheshimiana. uchaguzi wa kidemokrasia huwa una sura ya ustaarabu. vyama vidogo visivyokuwa na succession plan ndiyo tatizo lake. Chama kilichotegemewa na wananchi kinaporomoka kama uyoga
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mwenezi wa CHADEMA Njombe atimkia CCM

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Njombe Mjini Emmanuel Kayombo na wenzake saba wamehama Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi CCM Mwaka 2020 Kayombo aligombea udiwani Kata ya Njombe Mjini, Kupitia lakini hakufanikiwa kushinda. Na mwaka 2024 aligombea...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Rais wa JMT ni Taasisi ila sisi kama Chadema ni Kikundi tu Cha Watu tunaojitolea hatuhitaji Term Limit!

    Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe ameahidi kuheshimu Ukomo wa Madaraka pindi Chadema ikiingia Ikulu Source: Crown media
Back
Top Bottom