chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko na mpasuko ndani ya CHADEMA, sasa wadhihirika bayana na unaelekea pabaya usipodhibitiwa mapema kisiasa

    Mwanzoni viongozi waandamizi wa chadema hususani ngazi ya taifa walikua wakijipiga kifua sana hadaharani kwamba hakuna mgawanyiko wala mpasuko wowote ndani ya chadema, ispokua kilichokua kinajitokeza ni uhuru wa viongozi na wanachama wa chadema kutoa maoni na mitazamo yao dhidi ya waliyo kua...
  2. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Nina mawazo tofauti sana na ninyi nyote juu ya hii saga ya Mbowe/ Lissu na uongozi ndani ya CHADEMA

    Heshima kwenu Wakuu, Nimetafakari kama raia wa kawaida tu, na raia namba 53,398,487 wa Jamhuri yetu. Kuna hii saga au mvutano unaoendelea ndani ya Chadema katika madhira ya kugombea uongozi baina ya timu ya Mwenyekiti wa sasa Ndugu FREEMAN AIKAEL MBOWE (STU) na Makamu wake Ndugu TUNDU ANTIPAS...
  3. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Hakuna kanuni ndani ya CHADEMA zinazotaka ukiwa kiongozi uchangie pesa za mkutano

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema hakuna kanuni ndani ya chama hicho inayosema ukiwa kiongozi unatakiwa uchangie pesa kwa ajili ya mkutano hivyo hata akishindwa kuchangisha milioni 30 kwa ajili ya mkutano huo hatakuwa na kosa. Amesema kuhusu habari ya mamilioni yaliyochangishwa na wengine ni...
  4. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Siku ya upatanisho inakuja

    Haya ni maono baada ya tarehe 21 ya siku ya uchaguzi. Ni tarehe 25 na kuendelea. Kipindi hiki tayari Mwenyekiti ameshafahamika, naye ni FAM. Kwa kuwa huyu mwamba ni injinia wa siasa za bongo, hasa za upinzani, kwake yeye kinyongo sio tija. Kamati kuu ya Halmashauri Kuu itakaa na kuitisha...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mara: Mbowe akikataa ushauri tutakutana kwenye Sanduku la Kura, waenda na Lissu na Heche

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa wa Mara wamejitokeza hadharani na kueleza msimamo wao kuwa kwenye mchakato wa kinyang'anyiro cha kutafuta viongozi wa Kitaifa wa chama hicho wao wanaenda na Tundu Lissu kwa nafasi ya Mwenyekiti na John Heche kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini hasa lengo la harakati hizi za kumuondoa Mbowe madarakani?

    Waswahili wanasema "Akili ni nywele kila mtu ana zake" Najiuliza hii timing ya Mgogoro wa Chadema inaashiria nini wakati kumebakia miezi 10 tu kufikia Uchaguzi Mkuu wa Taifa? Nini hasa lengo la harakati hizi za kumuondoa Mbowe madarakani wakati ambao Chama kinatakiwa kuwa pamoja wakipanga...
  7. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Impact ya Heche kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kwa chama chake

    Uamuzi wa Heche wa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kukisaidia sana chama chake kwa sababu zifuatazo: 1. Hotuba yake imeonekana level heade. Kuingia kwa Heche katika kinyang'anyiro hiki kinafungua milango kwa kuwapa watu option ya kuwapigia kura Mbowe na Heche. Hii ina...
  8. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA Taifa: Hawa hapa wapiga kura na wamaliza utata siku ya uchaguzi

    Ijulikane mwanzoni kabisa kuwa Mkutano Mkuu wa CHADEMA ndiyo, kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho, chombo mahsusi cha kumchagua Mwenyekiti na Makamu wake wawili-wa Tanzania Bara na yule wa Zanzibar. Mkutano huu mkuu wa CHADEMA hufanyika mara moja katika miaka mitano. Lakini, mikutano mikuu ya...
  9. WOWOWO

    JamiiForums Tanzania Kwa Heche humuoni Tundu Lissu, tofauti ni kubwa. Siioni Chadema ya Lissu/Heche ikidumu

    Nimetenga muda sana kufuatilia hotuba ya John Heche akıtangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA. Nimemsikiliza kwa makini Tundu Antipas Lisu (TAL) na kisha Ezeckiel Dibojo Wenje kabla ya Heche kuna mambo kadhaa yanahitaji jicho na fikra tunduizi. Mosi, ukimsikiliza Heche, mbali na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi anawapa 'mafunzo' gani Makamanda wa CHADEMA huko Nairobi?

    Habari Wanajamvi? Huu uchaguzi wa nafasi za juu CHADEMA, unaibua mambo mbalimbali ya kushangaza na kufurahisha kutoka kwa MACHAWA wa ngome mbili tofauti zilizotangaza nia ya kugombea uongozi ndani ya CHADEMA. Kuna Kamanda wa CHADEMA kule kwenye mtandao wa X anayefahamika kwa jina la Freddie...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamtupa Wenje, sasa wanajadiliana ni nani Kati ya Mbowe na Lissu atafanya Kazi kiushirikiano zaidi na Heche

    Hizo ndio hesabu zinapigwa Chadema kwa sababu Nyota ya John Heche inang'aa Sana Hivyo anaangaliwa nani ni Pacha wa Heche Kati ya Mbowe au Lissu Wenje na Mahela yake Mfumo umemtupa nje bila kutarajiwa Ahsanteni Sana 😂
  12. Lasway.Jr

    JamiiForums Tanzania Balance of power, CHADEMA wajifunze kutoka kwa chama kikubwa kama ANC la sivyo watapotea

    Power Balance, kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake ukiachana na ANC ya Afrika Kusini. Transformation iliyotokea kuanzia mwaka 2000 mpaka 2015 , yaani miaka 15...
  13. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA: Yakitokea haya itakuwaje? Mpasuko hauepukiki

    Si vibaya, mwanzo mwanzoni, kuweka wazi kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania. Lakini, ni mfuatiliaji mkubwa wa siasa za dunia nzima, nikianza na za kwetu hapa Tanzania. Pia, ni mfuasi wa hoja na mkosoaji wa maigizo na vihoja vya kisiasa. Chama cha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nashauri Kanisa liingilie kati kuinusuru CHADEMA

    Huu ndio ushauri wangu Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani...
  15. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kipanya Cartoon: CCM wana King 3, CHADEMA 1

  16. 1

    JamiiForums Tanzania The rise of Taliban na mageuzi ya gen Z Tz kupitia CHADEMA!

    Wakuu salamu! Kwenye Ulimwengu huu unaobadilika ni vigumu sana kupanga mpango na ukaenda vyema kama ulivyotarajia.Nchi nyingi kubwa zenye taasisi serious za kiusalama hazijawah kuwa 100% correct mara zote!Mathalani CIA ili kuiumiza Usovieti iliwafadhili mujahdeen Afghanstan na kwakweli...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawapa alama 0/100 washiriki wote wa mdahalo StarTv kuhusu uchaguzi wa CHADEMA. Tazama video.

    Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa...
  18. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Hakuna mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa nje ya Tarime anaweza kumpigia kura John Heche nafasi ya Makamu Mwenyekiti

    Heche anajulikana kwa ubinafsi, huku hekima na busara vikimpitia pembeni kama ilivyo kwa Lissu. Lakini pia ni Heche ni muoga sana field ukilinganisha na majigambo yake kwenye mikutano au press. Ana maadui wengi zaidi chadema sambamba na Tundu Lissu anaeona kila mjumbe wa mkutano mkuu chadema au...
  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania Madhara ya uchaguzi wa Chadema January 2025 na Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025.

    Katika hali ya kisiasa nchini Tanzania, chama cha Chadema kinakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kosa la kiufundi lililofanywa na uongozi wake. Chama hiki kimeamua kuitisha uchaguzi wa ndani wa chama katika mwaka ambao kuna uchaguzi mkuu wa kitaifa, ambao unahusisha uchaguzi wa Rais...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA, Je chama hicho kinaelekea njia ya TLP?

    Kwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA, Je chama hicho kinaelekea njia ya TLP? Na Thomas Joel Kibwana Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), ambacho kilikuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania, kilififia na kupoteza umaarufu wake kutokana na changamoto za uongozi, mgawanyiko wa...
Back
Top Bottom