chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Jebra Kambole: Hatma ya CHADEMA sasa mikononi mwa wajumbe

    Hii ni baada ya mwamba kukomaa ki Yoweri Kaguta Museveni: Kwamba wajumbe hawa, ambao wengi wao nao ni watia nia kwenye ubunge na udiwani uchaguzi mkuu 2025, wajue bila watu, kura zao zinabeba hatima zao wenyewe. Maneno mazito kabisa haya kutokea kwake wakili msomi Jebra Kambole.
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mimi na Mbowe tutapishana January 21, 2025. Kwaheri CHADEMA ya Mbowe

    Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo. Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza kwa jicho la ndani utagundua ya kwamba matumizi ya ruzuku ndani ya CHADEMA tangu zamani yana harufu ya ufisadi

    Haya mambo yalianza muda mrefu sana. Hapa chini ni sehemu ya taarifa kutoka waraka uliowahi kuandikwa na Makamu Mwenyekiti aliyewahi kuhudumu ndani ya CHADEMA baada ya kuonja sumu. Taarifa hii inasema kuwa, "Kati ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya...
  5. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu makini mlioko CHADEMA mchukulieni Heche fomu ya Makamu M/Kiti Taifa aungane Lissu kwa mabadiliko ndai

    INGAwa Mwenye kiti Mbowe amejitahidi kuzima watu makini kwa muda mrefu ili abaki yeye peke yake lakini bado naamini wapo watu makini Nashauri wajitokeze watu makini NDANI ya chadema wamchukulie Heche fomu ya makamu Mbowe bila aibu anataka kutuaminisha kwamba Chadema inamtegemea yeye peke yake...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Jicho la kijasusi: Watanzania tunasubiri kushiriki mazishi rasmi ya CHADEMA mwezi Januari 2025 baada ya msiba uliotokea mwezi huu wa Disemba 2024

    Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM. Kama ni mgonjwa naweza...
  7. mshale21

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi ndizo hoja zitakazotumika kuizika CHADEMA endapo Mbowe akiibuka mshindi wa kiti cha uenyekiti Taifa, Ongezea nyingine

    Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini? Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wajumbe hawatakubali CHADEMA iwe CCM B kwa kumchagua Mbowe. CCM wanamuunga Mkono Mbowe hadharani alafu Wajumbe nao wamchague Mbowe labda wawe Nyumbu

    Kwema Wakuu! Kadiri siku ziendavyo mioyo ya watu waliobakia kwa Mbowe inazidi Kufa na wanaamua kujisalimisha kwa kuamua kumpumzisha Mwenyekiti ili kukinusuru chama. Kila siku lazima atoke mwanachama wa CHADEMA aliyekuwa na wadhifa kumuunga Mkono Lisu. Jambo hilo linazidi kuwakatisha tamaa Team...
  9. jamal9090

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu akiri Chadema kupoteza maelfu ya Wanachama kwa mpigo

    𝐋𝐈𝐒𝐒𝐔 𝐀𝐊𝐈𝐑𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐎𝐓𝐄𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐄𝐋𝐅𝐔 𝐘𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐏𝐈𝐆𝐎. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameonesha mfadhaiko mkubwa, baada ya kukiri hadharani kuwa chama chake kimepoteza zaidi ya wanachama 50,000 kwa mpigo. Ushuhuda huo umetolewa na Lissu baada ya kuonekana kuna kundi kubwa la...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anafaa sana kuwa mbunge au hata rais lakini sio kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM. Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Endapo Tundu Lissu atashindwa kupata fursa ya kuwa mwenyekiti CHADEMA taifa. Plan B, atangombea Ubunge Singida, na kujipanga kugombea Urais 2030

    Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake, Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Ikiwezekana Mkutano Mkuu utoke na jina la mgombea Urais

    Ingewezekana Mkutano Mkuu wa Chama chetu utakaofanyika Mwezi January utoke na jina la Mgombea Urais na pia utoe mamlaka kwa Kamati Kuu/Baraza Kuu kutafuta mgombea mwenza na kumthibitisha kwa niaba ya mkutano mkuu ili chama kitoke na jina la mgombea sambamba na viongozi wakuu wa Chama. Jambo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fahamu maana ya propaganda kuelekea uchaguzi wa CHADEMA na namna ya kujilinda

    Propaganda ni mbinu ya mawasiliano inayolenga kushawishi watu kuamini, kukubaliana, au kutenda kwa namna fulani kwa kutumia taarifa zilizochaguliwa, zilizopotoshwa, au zenye mwelekeo wa upande mmoja. Inalenga kuathiri maoni, mitazamo, au tabia ya watu, mara nyingi kwa manufaa ya mtoa propaganda...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuondoka kwa Lissu CHADEMA baada ya kushindwa Uenyekiti kwa fedheha kutakifanya chama kuwa imara zaidi

    Infact, Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla. Itakua ni mwanzo wa chadema mpya, moja na yenye ushawishi wa hoja badala ya makelele, kujipa umuhimu na kuzushiana...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The Voices From Within: Warning kwa Chadema, Be Very Careful, Msifanye Ujinga Wowote!, Mkileta Tuu Ujinga!, Tarehe 21 Jan. Kutakuwa Hakuna Uchaguzi!.

    Wanabodi Mzee wa masauti, Nimesikia sauti ikiniambia niwaonye Chadema mapema tuu, kwenye huu uchaguzi wao wa mwenyekiti, this time around, wasithubutu au wasifanye ujinga wowote au janja janja yoyote!, wafuate tuu katiba yao, sheria taratibu na kanuni, uchaguzi upite salama. Wakileta ujinga...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Chadema haijawahi kuwa na M.kiti, nje ya Familia ya Mbowe, Hawezi kuvunja mwiko

    Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema. Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya...
  17. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mdahalo wa Wagombea Uwenyekiti Chadema Taifa

    Utangulizi Mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa unatarajiwa kufanyika tarehe 18/01/2025, na ni tukio muhimu linalohitaji maandalizi makini ili kuhakikisha kwamba wagombea wanajitambulisha vyema kwa wajumbe na wapiga kura. Katika muktadha huu, tunatoa ushauri kwa Chief Odemba ili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA umedhihirisha Lissu ni Mwanaharakati Mbowe ni Mwanasiasa

    Kwa wanaofuatilia Uchaguzi huu watakubaliana na mimi kwamba ukimsikiliza Mbowe unaona picha ya Mwanasiasa imara na Kiongozi na ukimsikiliza Lissu unaona Picha ya ya Mwanaharakati aliyekomaa ila Mwanasiasa dhaifu sana. Ukiangalia kwa undani zaidi utaona Hotuba nyingi za Lissu zinaiumiza sana...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Madeleka: Kama Lissu hafai, CHADEMA haifai kuaminiwa pia

    "Unaposema leo kuwa Lissu hafai, mtu mliyemuamini nyinyi (CHADEMA) wenyewe, kama Lissu hafai basi CHADEMA haifai. Kama Tundu Lissu wanamuona hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, CHADEMA haifai kuendelea kuaminiwa na Watanzania" Soma, Pia: • Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Madeleka: Wanasema ukitaka kugombana na Mbowe, gombea Uenyekiti wa CHADEMA

    Wakili msomi Peter Madeleka afunguka mambo mazito kuhusu uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unatarajiwa kufanyika Januari 2025. "Wako watu ambao wanasema, na sidhani kama wako sahihi sana, lakini inawezekana ni nadharia tu ambazo zinapaswa kuthibitishwa vinginevyo na...
Back
Top Bottom