chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani bora CHADEMA ikafia mikononi mwa Tundu lissu kuliko Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti

    Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani . Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu...
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lissu akiondoka Chadema, hakuna Mwana-Chadema ataondoka kwenye chama kumfuata Lissu

    Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama. Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama

    Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama. Hii inakuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Iringa alipotangaza kuachia huru wanachama watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo aliyekuwa Katibu wa Jimbo George Sanga na wenzake Gudluck Mfuse...
  4. Red sky

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje Chadema Haina Pesa?

    Nimemsikia mjumbe wa kamatikuu Ya Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Na mwenyekiti wa kanda ya Victoria, Mh Ezekiel Wenje akiwa Wasafi kwenye kile kipindi kinacho muogopa Tundu Lisu, akijalibu kuhadaa wananchi kua Chadema hawana pesa zakutosha kuendesha shughuli zao za kisiasa nchi...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shinyanga: Wanachama 18 wa CHADEMA wahamia CCM

    Naona sasa mwaka wa Uchaguzi umewadia na mambo yamekuwa mengi kweli kweli. Wanasiasa wengine wanaenda kutafuta malisho ya kijana kibichi =================== Wanachama 18 wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Wakiwemo Viongozi wa jumuiya mbalimbali za chama hicho Halmashauri ya Ushetu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ijayo chini ya Lissu: Godbless Lema, Makamu upande wa Bara; John Heche, Katibu Mkuu

    Baada ya John Heche kuonyesha kumuunga mkono Lissu na Godbless Lema kuonyesha nia ya kugombea na kumuunga umakamu, huu ndio mtazamo wangu wa itavyokuwa CHADEMA chini ya Lissu iwapo Lissu atashinda. Imeisha hiyo.
  7. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tumchangie Lissu 30 Million za Mkutano Mkuu wa CHADEMA

    Heshima sana wanajamvi. CHADEMA wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa. Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini. Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh...
  8. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Wakati wowote Godbless Lemma atatangaza na kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA ili kumkabili Hezekiah Wenje ambae ameshatangaza

    Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa. Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Urathi wa siasa za 2024: Lissu ameukata mti (CHADEMA) halafu anataka aukwee wakati tayari umedondoka chini

    Huu mwaka utakumbukwa has a kwa tukio la makosa ya kisiasa aliyofanya Tundu Lissu. Kosa hilo ni kuibomoa kabisa taasisi kisha anatarajia akalale humo. Hatapata pa kulala kwa kuwa jengo amelibomoa. Lissu amekata mti, baada ya kuukata, sasa anasema anataka aukwee mti huo. Hii ni moja kati ya...
  10. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Mbowe akishindwa Uenyekiti wa CHADEMA, karibu CCM kwa Maendeleo ya Taifa

    Great Thinkers! Kwa maoni yangu binafsi, Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa CHADEMA, ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Ikiwa atashindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA, ningependa kumkaribisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  11. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Binafsi nimeijua CHADEMA kupitia Zitto Kabwe, Halima Mdee na Tundu Lissu

    Nakumbuka nikiwa mdogo umri wa miaka 14 mwaka 2008 Machachari yake zitto ya kipindi kile,halima mdee (sauti ya zege) dokta slaa na Tundu lissu hao ndio walinifanya niijue CHADEMA. So CHADEMA imejengwa na watu wengi maana hata hao wote juu walionifanya nikaijua CHADEMA lissu pekee ndio kabaki...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wenje: Lissu mpaka anamaliza bunge la 11 hajachangia hata tsh.100 CHADEMA

    Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha! Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu! Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wenje: Bajeti ya Uchaguzi mkuu wa CHADEMA ni zaidi ya milioni 700

    "Chama chetu kina ruzuku ya milioni 107, huwezi kukiendesha Chama kikubwa kama Chadema kwa kiasi hicho cha fedha. Tunaenda kwenye Uchaguzi Mkuu huu ambao yeye anagombea, bajeti yake ni zaidi ya milioni 700.
  14. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamwachia huru George Sanga na Wenzake wawili, Kada wa CHADEMA walishikiliwa kwa miaka 5 gerezani kwa tuhuma za mauaji

    BREAKING NEWS NJOMBE. George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama. Mungu ametenda haki imeshinda George sanga na wenza wameachiwa huru Mahakama Kuu - Njombe Wakili Dickson Matata, Joseph Mbilinyi wazungumza Njombe. Mahakama Kuu Kanda...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa sera zinambeba TUNDU LISSU kuchaguliwa uenyekiti chadema

    Sera za Tundu Lissu ndani ya CHADEMA zimekuwa zikijikita katika misingi ya demokrasia, uwajibikaji, utawala bora, na haki za binadamu. Hapa chini ni baadhi ya mambo makuu ambayo yameonekana kama sehemu ya msimamo na maono yake kwa chama na taifa: 1. Kuimarisha Demokrasia ya Ndani ya Chama...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza ndani ya Chadema kuelekea uchaguzi wao wa ndani

    1. Nimejifunza kuwa Chama cha Mapinduzi bado kinastahili kuendelea kuaminiwa na watanzania 2.Chadema ni chama cha siasa ambacho hakina tofauti na wacheza karata tatu 3.Wasomi wote waliokuwa wanashabikia na kuweka imani zao kwa chama hiki waliiba vyeti shule na vyuo walivyohitimu 4.Wengi wako...
  17. econonist

    JamiiForums Tanzania Wenje ana kazi maalum CHADEMA

    Huyu Wenje amejidhihirisha kuwa ana kazi Maalum ndani ya CHADEMA. Kwanza yeye ndiye kamleta Abdul CHADEMA. Mivurugano yote unayoiona kwa Sasa imeletwa na Wenje baada ya pesa za Abdul kuingia kwenye chama. Leo kiburi Cha Kambi ya Wenje ni kwamba Kuna pesa walizonazo ndizo Kinga yao. Na pesa za...
  18. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Ujinga na umasikini wa wajumbe ndio unaomfanya Mbowe aendeleee kuwa mwenyekiti wa chadema milele.

    jamani nafsi na roho yangu vinanishudia kuwa Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, nimeumia sana baada ya kuona hili jambo linaenda kutendeka, ukisoma vzr sana walaka wa marehemu "chacha wangwe" utagundua kuwa Mbowe sio rahisi kushindwa uchaguzi kwa sbb ya ujinga mkubwa, na umasikini wa...
  19. Toga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kwisha habari yao

    Chadema kilikuwa kimbilio la vijana wengi wasomi nikikumbuka vijana wengi wasomi kimbilio kilikuwa Chadema lakini kwa sasa naona Chadema inaelekea kuwa CUF ilio changamka shupazeni TU shingo ndio mtajua hamjui soft politics kwa sasa hazitakiwa kabisa mtajikuta mmebaki wawili tunamhitadi tundu...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wenje: Nasikitika kwa sababu Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya CHADEMA ameshindwa kusimamia maadili

    Mgombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti Ezekiah Wenje amesema anasikitishwa sana na kushindwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili CHADEMA (Tundu Lissu). Amesema tokea ashike nafasi hiyo hajawahi kuitisha hata kikao kimoja cha kamati hiyo ya maadili na hivi sasa kuna watovu wa nidhamu wengi...
Back
Top Bottom