chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuna mgombea uongozi wa CHADEMA ngazi ya Taifa anaweza kuenguliwa kabla ya Uchaguzi asipojirekebisha

    Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mnyika: Nawaonya team Lissu kuacha mpango wa kutaka kufanya fujo siku ya uchaguzi

    Watakaoanzisha fujo uchaguzi wa chadema watashughulikiwa - Mnyika
  3. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kama uchaguzi unaoendelea CHADEMA sio drama huu ni mtazamo wangu kwenye Lissu vs Mbowe

    Kuna kila dalili na ishara kwamba minyukano inayoendelea ndani ya CHADEMA imeratibiwa na kupenyezwa kwa mbinu za siri ili kukivuruga chama hiki ambacho kimsingi ndicho chama kikuu cha upinzani. Baada ya hali ya chama tawala kuonekana tete kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hususan baada ya dalili zote...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Wajumbe watakaopiga kura kwenye Mkutano Mkuu ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi, wa 2019 siyo halali

    Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika anesema Wajumbe halali watakaopiga Kura Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa na makamu wake ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi kabla ya huo mkutano mkuu wa 21 January Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA anaongea na wanahabari

    https://youtube.com/live/D0mJfxf3wXE?si=c7girWLBjKbOhiyH Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika yupo live akiongea na wanahabari kueleza mambo mbalimbali ya uchaguzi wa ndani wa Chadema na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Baada ya wagombea kuchukua fomu inafuata hatua ya usaili na uteuzi wa wagombea...
  6. Immortal Techniques

    JamiiForums Tanzania Ni Rahisi kuwaza MWISHO WA DUNIA ni Lini kuliko kuwaza Chadema bila Tundu Lissu nini hatima yake.

    with Due respect, Mbowe kubali kukaa pembeni ni kweli wewe ni mpambanaji hutakatai, muda wako umetosha,
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior. Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone. Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya CHADEMA Lissu anawezana na Chama gani?

    1. Chauma: chama kichanga na mwenyekiti ni Alhaj. Jee lissu atakiweza? 2. NCCR mwenyekiti ni Selasini, anamjua vizuri Lissu kwamba friji , jee atafanya nae kazi? 3. CCM. CCM ni chama kikubwa chenye dola. Lissu akienda huko atapewa cheo apate kiyoyozi, mafauili ya chama wala hayakaribii 4. ACT...
  9. Tman Clever

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Huku Freeman Mbowe kule Tundu Lissu strength & weaknesses

    Kwenye Uchaguzi huu wa CHADEMA Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kuhusu Hawa wagombea wa uenyekiti. Freeman Mbowe STRENGTH 1. Hekima zake,mikakati,kujitoa kwake hata kiuchumi bado zinahitajika kwa CHADEMA na siasa za nchi hii 2. Uhakika wa kuto kununulika kwake kunafanya awe muhimu kuendelea...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  11. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bapance of power, CHADEMA wajifunze kutoka kwa chama kikubwa kama ANC, La sivyo watapotea

    Power Balance , Kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa . Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake ukiachana na ANC ya Afrika Kusini . Transformation iliyotokea kuanzia mwaka 2000 mpaka 2015 , yaani miaka...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yericko Nyerere: Lissu akipewa chama kitakufa ndani ya miezi sita, ametumwa na dola kuiua CHADEMA

    Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia. Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Chadema: Mbowe anasema wapigaji kura watahojiwa mmoja baada ya Mwingine

    Akihojiwa na Kikeke nimemsikia Mbowe akisisitiza kwamba wapiga kura wataitwa mmoja mmoja na kuhojiwa hadharani (live) katika Kumchagua Mwenyekiti Mpya. Binafsi nadhan hiyo sio sawa, wangepiga kura za Siri na baada ya hapo ndio kura zihesabiwe live, hili kuepuka intimidation kwa wapiga kura...
  14. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Adv Levino: CHADEMA Sio kituo cha kulelea Wazee kufikia miaka 68

    Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO, == Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:* KWAHIYO....... 1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu...
  15. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kalenda za uchaguzi wa ndani wa Chadema ni hatari. CHADEMA itaendelea kutokufanikiwa na haitashika dola milele!

    Chadema ilitakiwa kufanya uchaguzi wa chama mwaka 2022 kama sehemu ya mkakati wa kujiandaa kwa chaguzi muhimu zinazokuja. Uchaguzi huu ungekuwa na umuhimu mkubwa kwa sababu ungewapa nafasi wanachama wa chama kuweka msingi imara kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024, ambao ni...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Generation Mwinyi katika CHADEMA VS Chairman Mbowe

    Natoa uzoefu kwa mambo nayoyakumbuka katika siasa za upinzani tangu nikiwa sekondari. Soma mpaka mwisho maana suala la Mbowe lipo mwisho mwisho. Binafsi nimezaliwa enzi za Mwinyi. Hii generation ndio ambayo ilitarajiwa kukuza upinzani katika siasa za mfumo wa vyama vingi kwa sababu mbalimbali...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni Mpango wa CCM CHADEMA kisiwe chama cha kitaifa, Ndio maana Mbowe kwao ni Chaguo Sahihi

    Mpo salama! Ninachowakubali CCM wanajua kusukuma Kete zao kwa AKILI Sana na pale inapohitajika nguvu kidogo wanatumia CCM KAMWE haitaruhusu Chama chochote cha upinzani kiwe chama cha siasa cha kitaifa. CCM hawaoni shida wala haiwashughulishi chama cha upinzani kutawala kanda Fulani au Mkoa...
  18. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Msikie kwenye hii video:-
  19. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA nilimpa gari yangu akafanyie kampeni. Nyumba ya Dodoma nilipewa na Serikali, nikampa yeye

    Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliiweka Chadema rehani kwa Samia. Sisi tulimuuliza kwani kuna shida gani mzee? Mbona uwezo tunao huku ukituweka rehani?

    Watu hamjui tu ila hili sekeseke la Chadema na Samia tulianza nalo mwaka 2022 mwishoni. Ilikuwa ghafla sana mwenyekiti wetu alibadili "jia" angani. Aliyosema Lissu leo ni ukweli mtupu. Ndani ya Chadema kulikuwa na vuguvugu sii la kitoto. Mnyika ni shahidi. Mwenyekiti alikuja na mapendekezo...
Back
Top Bottom