Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma.
Mambo hayo sita ni...
Utangulizi.
Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, ambapo vyombo vya dola hutumika kudhibiti maandamano, vyombo vya habari vinakandamizwa, na wanasiasa wa upinzani hukumbwa na vitisho, utekaji na hata mauaji—ni muhimu sana kwa vyama vya upinzani, hasa CHADEMA, kuangalia upya mbinu...
Wakuu hali si.......hali!!
Kutokana vuta nikuvute iliyopo katika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwa sasa ni zao la uchaguzi mkuu uliofanyika hikaribuni ndani ya CHADEMA na Antipas Tundu Lisu kuibuka mshindi kwa kishindo na mbwaga mpinzani wake Ndugu Aikaeli Freeman Mboe kwa kishindo kikubwa...
Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga.
Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present Moment and realistic:
Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wapo kwenye DENIAL ya kukubali kuwa Lissu ndio...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la chama hicho yaliyofanyika kwenye kikao cha Baraza Kuu kilichofanyika Januari 22, 2025 kwa kuwa kilikuwa na kasoro...
Wakuu,
CCM B mfitufanye wajinga bana, mnakataa wenyewe makubaliano yenu utafikiri sio nyinyi mlioshiriki kuyaweka halafu mnasema hakuna aliye nyuma yenu, na hao wauza majimbo pembeni hapo? :BearLaugh: :BearLaugh:
=====
"G55 ni kundi la wagombea ubunge wa mwaka 2020 na watia nia wa mwaka 2025...
Wakuu,
"Serikali na Bunge wamepaka rangi sheria ya uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa tume huru ya Taifa ya uchaguzi na ndio maana sisi tunaunga mkono No reforms ili kuwe na chaguzi huru, za haki na za amani ili kila mmoja akigombea aone anaweza kushinda.
Sisi hatupingani na chama...
Wanabodi
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe.
Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana...
CHADEMA, hiki alichokifanya Lembrus Mchome mbele ya vyombo vya habari kwa kumuita Mwenyekiti wake wa chama dikteita uchwara, sidhani kama mwanachama yeyote wa CCM au vyama vingine anaweza kusimama hadharani na kumuita kiongozi wake dikteita tena mbele ya vyombo vya habari na kubaki salama.
Huyu...
Familia ya NEEMA inaendelea kusisitiza, Nurse Kwa mara ya Kwanza alimletea NEEMA mtoto akiwa kwenye Kanga nyingine ( Hapa Mtoto anaweza kua alikua ndie ila tu Kanga zilichanganywa).
Baada ya NEEMA kuhoji Kanga si zake, mtoto huyu Ndani ya kanga zisizo za NEEMA, akarudishwa Kwa Mzazi mwingine...
Ni wazi kwamba mambo si shwari ndani ya Chadema. Hiyo ni kutokana na kuibuka kwa kundi la G55 linalohusisha makada wa chama hicho wakipinga kampeni ya No Reforms No Election inayoendelea.
Kwa mujibu wa msemaji wa kundi hilo linalojiita la watia wa kugombea ubunge na udiwani, John Mrema amesema...
Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document)
Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba kundi la watu 55 liliandika barua hiyo kwenda kwa Katibu baada ya kuingia hofu kwamba maoni yao...
Naam.
Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha.
===
Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55 ilizaliwa kutokana na kikao kilichoitishwa na Katibu wa Chama. Wakati huo mimi bado nilikuwa Katibu wa...
Reform inajumuisha mabadiliko ya kimfumo ambapo sheria,kanuni,utaratibu,watendaji,itikadi na taasisi muundo na vyeo kwa ujumla.
Moja ya sababu ya reform ni kutokuwepo kwa usawa wa mfumo na utendekaji kazi,reform mara nyingi inahisisha Changes katika itikadi na imani.
Tunaambieni wadau...
"Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA"
"Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha...
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza kupitia Clouds FM, Mwita amesema;
"G- 55 haiwavurugi watu ila watu ndio wanajivuruga, sisi...
Hellow!
Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.
Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.
Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa...
Huyu Mwamba alipaswa kutopewa nafasi ya kushinda Uenyekiti CHADEMA. Ni hatari zaidi ya hatari yenyewe. Kichwa kibovu kile kitaleta amsha amsha kuelekea uchaguzi ambayo Sisi Mbogamboga hatuitakagi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.