chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumuiya ya Kifalme ya Afrika yapongeza Tanzania kwa kuwashirikisha Majaji wa Afrika kwenye tume ya uchunguzi wa Kijinai matukio ya 29 Oktoba, 2025

    Jumuiya ya Kifalme ya Afrika imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai inayochunguza matukio ya vurugu na uhalifu yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba...
  2. JamiiForums Tanzania Tuhuma zinazomkabili John Heche, wenyeviti 15 wa CHADEMA Morogoro wasusia kikao cha mkoa

    Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola, amesema kikao cha wenyeviti wa mikoa kilichofanyika Agosti 13 kilitarajiwa kuhudhuriwa na viongozi 30, lakini waliohudhuria walikuwa 15. Amesema katika kikao hicho baadhi ya wenyeviti waliibua hoja kuhusu tuhuma za Makamu Mwenyekiti, John...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Chadema wenatengeneza bomu la nuklia la kisiasa hawataweza kuzuilika tena

    Tatizo la watu wengi hawaelewi tofauti ya Chadema ya Mbowe na Chadema ya Lissu. Chadema ya Mbowe alikuwa anapigana na CCM Kwa bunduki na mikuki. Chadema ya Lissu inatumia mbinu mpya imepeleka agenda yake moja kwa moja na watanzania na wameanza kuelewa agenda za kitaifa za muhimu. Kwa sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Je Tanzania inahitaji Chama Dola au Dola Huru?

    Habari za wakati huu; Nachokoza mjadala kidogo ambao naamini kabisa ndio mjadala unaoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu. Mara nyingi nimekuwa nikisikia tuhuma kwamba Chama Tawala CCM kimeungana na serikali sana na hivyo kinaitwa chama dola.Katika siasa tunapozungumzia Chama Dola tunazungumzia...
  5. JamiiForums Tanzania Mrema: Mnyika aliuza Account za CHADEMA za mitandao ya kijamii

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kueleza ukweli kuhusu kilichotokea kwenye akaunti za chama hicho za Instagram, X na YouTube, akimtuhumu kunufaika na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
  7. JamiiForums Tanzania Swali kwa Mwashambwa na TlaahTlaah: Yuko wapi Kada huyu na kipi kinaendelea sasa kwenye Maisha yake, alipotoka kwenye matibabu India 2011?

    2011-Kwenye Uchaguzi mdogo wa Ubunge- Jimbo la Igunga.Musa Tesha-Kada wa CCM akatolewa Mbuzi wa Kafara na wao kwa kumwagiwa Tindikali usoni ..ili tu CHADEMA ihusishwe kwa Ugaidi huo ifutwe. Uchunguzi ukawa unaelemea kwao..Kesi ikakoswa Dira na Mpango mzima uka buma: Swali: Kwa Lucas Mwashambwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna dau la milioni 1 kwa Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA kumpinga na kupiga kura ya kutokuwa na imani na Heche

    Taarifa za uhakika na za moto moto zilizotufikia Jana ni kwamba ni kweli kuna vigogo CHADEMA wamekula Pesa za CCM ili kuivuruga CHADEMA. CCM Walichofanya ni kuwanunua baadhi ya Viongozi wakubwa wa CHADEMA na kuwapa Pesa za kutosha ili kumvuruga Heche anayekwamisha Maridhiano na Samia. Rafiki...
  9. JamiiForums Tanzania Silaha ya Ushindi iliyobakia kwa CHADEMA ni moja tu, nayo ni silaha ya fedha

    CHADEMA ilishatumia silaha nyingi sana lakini zimekuwa zikiyumba au kutokuleta matokeo mazuri Silaha iliyobakia ni moja tu ambayo ni silaha ya pesa CHADEMA itakapochangiwa na Wananchi fedha nyingi matokeo yake itakuwa CHAMA hatari sana sana ambacho hakijawahi kutokea Kitakuwa ni CHAMA tajiri...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa kuungwa mkono na kanisa CHADEMA yageuka na kuwatukana Waandishi wa Habari na wasanii

    Friends and our enemies Hakika muda ni kitu pekee ambacho kinaweza kutoa majibu ya uhakika. Chadema siku zote imekuwa inakimbilia kwa kanisa kwenda kupeleka taarifa za uongo na chuki ili kutengeneza mpasuko na uvunjifu wa amani nchini. Lakini kama tujuavyo njia ya mwongo ni fupi,hila na uongo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Waitara: Mambo yalibadilika CHADEMA figisu, fitina na matumizi mabaya ya fedha

    Akizungumza katika mahojiano na M & S Podcast yaliyorushwa Agosti 12, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amefunguka kuhusu mambo yaliyokuwa yakiendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akidai mambo yalibadilika chama kikajaa fitina, figisu, usaliti na...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amewazoesha vibaya sana huu msemo huu wa kijinga CHADEMA na imewakaa kichwani

    Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili...
  13. JamiiForums Tanzania Happi awaomba TEC wawaombee Chadema wakubali maridhiano.

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kukutana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki kupitia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Ikulu. Akizungumza leo Agosti 12, 2026 na Wanachama wa CCM pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania CCM waliomba kanisa Katoliki kuwaleta CHADEMA katika meza ya maridhiano!

    This is very ridiculous.. Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..! Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya CHADEMA ikubali kukaa meza Moja na wauaji hawa ziko very clear lakini hawataki kusema kinawashinda...
  15. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wameumia Sana Mioyo yao Kuona TEC Wameonana na kufanya Mazungumzo na Rais Samia. Wababubujikwa Machozi ya Huzuni

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA Wameumia sana kuona Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameonana na kufanya Mazungumzo na Viongozi mbalimbali wa baraza la Maaskofu wa kanisa la Katoliki Tanzania. Yaani CHADEMA wamenuna na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateka Anga La Siasa Za Tanzania. Kila Sehemu ni Yeye Tu Mitandaoni. CHADEMA na Lissu Wao Hakuna Mwemye Habari Nao

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia Anakubalika ,kupendwa,kuungwa Mkono na Kufuatiliwa kila hatua apigayo . Rais Samia ndiye Habari kuu na habari ndiye yeye . Kuanzia vijiweni, mitaani, Magengeni na kila Sehemu yenye Mkusanyiko Wa watu habari Kuu ni Rais Samia tu na shughuli anazozifanya. Rais...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kesi nyingine kwa CHADEMA

    Makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamekishtaki tena chama hicho katika mahakama kuu ya Dodoma. Walalamikaji katika shauri hilo Miscellaneous Cause No. 205810F of 2026, Barnabas Okola, Joseph Mwakidasi, Mathias Cosmas, Abubakari Mashambo na Lembruce Mchome...
  18. JamiiForums Tanzania Hata huyu yumo kwenye orodha ya chadema ya waliotekwa na serikali?

    Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi...
  19. JamiiForums Tanzania Chadema kitengo cha mawasiliano ya umma kinapwaya sana

    Hivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Heche: Kosa ambalo tumewahi kulifanya CHADEMA ni kuwaamini watu wasioaminika

    John Heche anasema anasema moja ya makosa ambayo wamewahi kuyafanya ni kuwaamini watu wasioaminika, anasema waliwaamini CCM kwenye maridhiano a Mbowe na kumbe ulikuwa ni ulaghai tu na kosa lingine ni kuwaamini CCM kwenye katiba mppya wakati ule wa mchakato bungeni na baada ya hapo CCM kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…