certificate

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kati ya hizi

    Wapendwa, Ukiwa 2mil unaweza anzisha biashara ya uwakala/miamala ya cm Na je inalipa ?? Nahitaji kufahamu faida na changamoto zake
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Certificate ya Clearing and forwarding inayotolewa TRA

    Habari Wakuu! Naulizia kuhusu hii certificate ya clearing and forwarding hii ya kupractise ya East Africa inayotolewa na chuo Cha TRA pale Mwenge. Nahitaji kuisoma kozi hiyo Ili niingie kwenye field ya kuagiza bidhaa au mizigo kutoka nje. Pia mtu aliyesoma hiyo kozi uwanja wake katika Ajira...
  3. JamiiForums Tanzania HESLB; Uzinduzi wa Maombi ya Mkopo kwa Vyuo vya kati (Certificate & Diploma)

    Habarini Wakuu, Hatimaye Mama kaupiga mwingi tena. Kwa Maelezo zaidi pitia pdf mimi nitagusia Vipaumbele tu. 6.0 MAENEO NA PROGRAMU ZA KIPAUMBELE KATIKA UTOAJI WA MIKOPO 6.1 Maeneo ya Kipaumbele Mkopo utatolewa katika maeneo makuu sita yakiakisi vipaumbele vya Taifa kama ilivyoainishwa katika...
  4. JamiiForums Tanzania Vyuo Ulaya au America vinavyotoa certificate kwa ada nafuu

    Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc. Nataka nipambane nikasome majuu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Certificate verification number RITA

    Habari za mchana wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata certificate verification namba baada ya cheti kuhakikiwa RITA. Nimehakiki tayari na nimeendelea na maombi ya mkopo ila sehemu ya demographics inataka verification number ambayo kwenye vyeti...
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kusajili chuo ngazi ya certificate

    Naomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuanzisha na kumiliki chuo kinachotoa certificates program. Pa kuanzia, unavyohitaji kuwa navyo, idadi ya waalimu na elimu yao na mamlaka zinazo husika na utaratibu wote. Shukran
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hivi NTA Level 3 Ndio ipi? Diploma au Certificate?

    Habari wanaJF Naomba mwenye kuelewa kuhusu NTA LEVEL 3, au NTA LEVEL 2 na NTA LEVEL 1 inapatikanaje? maana nimeona baadhi ya vyuo unaruhusiwa kuomba kusoma certificate ukiwa na kigezo cha Pass mbili yaani D mbili kwa matokeo ya kidato cha nne na pia ukiwa na hiyo NTA level 3. Sasa sijajua hiyo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania First Tanzanian gets Certificate of Origin to trade under AfCFTA

    First Tanzanian gets Certificate of Origin to trade under AfCFTA First Tanzanian gets Certificate of Origin to trade under AfCFTA The first Tanzanian received a certificate of origin yesterday to trade in the African Continental Free Trade Area (AfCFTA). Presenting the certificate yesterday...
  9. JamiiForums Tanzania TMDA CERTIFICATE: Yakazi gani dukani?

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TMDA wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  10. JamiiForums Tanzania TBS CERTIFICATE: Yakazi gani dukani wakati duka sio kiwanda au mali ya kiwanda.

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  11. JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri nisome kozi gani Certificate niweze kuwa Afisa Mtendaji wa Kata

    Mm ni mwanafunzi wa chuo X kada ya ualimu mwaka wa pili (degree) lakini pia nazitamani sana hizi kazi za uafisa utendaji wa kata ikitokea ajira katika ualimu ikiwa ni changamoto kupata. Sasa nataka kujiendeleza kielimu nikiwa hapahapa chuo kuna kozi nyingi tu zinatolewa sasa naomba mrejesho ni...
  12. JamiiForums Tanzania Ajira Portal: Verification Certificate Shidaa

    Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria. Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Virgin Certificate

    Binti huyo hapo mpyaaa. Kuleni Kwa macho.
  14. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye ajira portal: Verification certificate ni nini?

    Wenye kujua tafadhali
  15. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kwa NECTA kutoa certificate za O-level

    Kama mada inavyojieleza hapo naomba kujua wastani wa muda ambao NECTA wanachukua KUTOA certificate kwa mwanafunzi ambaye anastahili kupata?
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumwombea ajira mwalimu wa certificate ku-add taarifa za chuo

    Nisaidie
  17. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha Nne na Certificate ya Secretarial Courses

    Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial. Natafuta kazi kati ya hizi:- Secretary Stationary Reception Costumer care Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 katika computer full na stationary service. Nimewahi kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kusoma certificate in business management au accounting

    Asalam Aleykum wanajukwaa! Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu katika masomo ya Sayansi (Bachelor of education in Science). Nimetafakari kuhusu kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya masters degree nikaona hakuna ulazima wa kufanya hivyo kwa sasa. Nmeamua kujiendeleza katika maeneo tofauti ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nafanikishaje kupata travel insurance certificate, flight reservation, hotel reservation?

    Hello thinkers Salaam wakuu! Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION. Hizi ni uambatanisho wakupata viza/Visa ya kusafiria kwa mda. Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba mtu mwenye ujuzi wa kupata Travel insurance certificate, flight reservation, hotel reservation

    Hello, thinkers Salaam wakuu! Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION. Hizi ni uambatanisho wakupata viza/Visa ya kusafiria kwa mda. Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…