Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Sinzo Khamis Mgeja, mtoto wa Mwanasiasa maarufu nchini, Khamis Mgeja ni mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), walioteuliwa na Kamati Kuu (CC), kuwania Ubunge wa Viti Maalum kupitia (Umoja wa Wanawake (UWT), Kundi la Wazazi Bara.
Mgeja amepata kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga na...
Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM.
Yule aliyetuweka kwenye mgawo wa umeme mwaka 2023 huku akijitengenezea mabilioni ya shilingi kupitia kandarasi...
Siku moja tu baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuondoa jina lake miongoni mwa watia nia wa Jimbo la Ubunge Ukonga jijini Dar, aliyetia nia, Alex Msama ametoa neno zito.
Msama ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions & Dira Media ametoa neno...
Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.
Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Mimi nimezaliwa babangu mzazi akiwa Katibu Tarafa, alikuwa akifanya kazi pale Shirika la Ugawaji la Taifa - KIUTA, enzi hizo magazeti ni Uhuru, Mfanyakazi, Daily News na Sunday News.Sasa hivi Mfanyakazi halipo.
Babangu ambaye ss hivi ni marehemu alikuwa kada lia lia wa CCM, hata hivyo amebakia...
Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
Ni nani wajumbe hao?
Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani.
CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
Huu ndio ukweli wenyewe watia nia wengi wanaenda walikuwa na nia ya kupata peaa tu maana ubunge unalipa. Mshahara mnono wa mil 15, posho ya kikao laki tatu kwa siku bado madili kibao ukiwa na miradi ya maendeleo jimboni.
Hili la kusema eti ni kwa sababu CCM inakubalika sio kweli
Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Njombe wakiwa kwenye Ukumbi wa Agreement uliopo halmashauri ya mji wa Njombe kwa ajili ya kupiga kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Njombe
Chanzo: Mwananch_official
Nimesoma andiko la Askofu Bagonza. Anasema Wooote, walioshindwa/waliopenya ie walioshinda?? wote ni wale wale. Wote ni waovu., (maharamia, majambazi, wahuni ........nyongeza yangu)
WALIOSHINDWA, actually, though it looks strange, washukuru Mungu maana wameepushwa na mauti huko mbele
Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.
Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
Huyu mtu, ni mgombea hewa,kwani hajui kiongozi hata mmoja ndani ya Jimbo aliloomba kutia nia,ila ameteuliwa.
Kuanzia shina,tawi, Kata na hata Jimbo,hafahamu mtu hata mmoja na hatujui kura atazipsta kutoka wapi.
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook.
====
MKEKA WA CCM: Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini.
CCM ni kama Marekani. Uchaguzi wake unawala macho hata wasiohusika. Leo mkeka umeshangaza watu. Mimi nimejikaza na kufanikiwa kutafakari haya:
1. Waliokatwa...
Salaam
Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani.
Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
Jina: Charles Mhando Njama
Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania
Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Jimbo: Korogwe Mjini
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
Wakuu,
Nimeona Kamati Kuu ya CCM imewakata hawa wabunge wawili ambao ni kutokea Arusha
Wabunge hao ni Emmanuel Ole Shangai kutokea Ngorongoro pamoja na Christopher Ole Sendeka kutokea Simanjiro
Ukiangalia hawa wabunge walikuwa very efficient kwenye ile issue ya Ngorongoro na namna ambavyo...
Ni rahis kusema CCM inaharibu nchi,Samiah kafanya vile pia wanasiasa wanafanya bike ndio maana tumefika hapa!
Kabla samiah hajashika madaraka Tanzania ilikuwepo,kabla ccm haijaanzishwa mwaka 1977 Taifa lilikuwepo,na kabla mwingine hajawa rais was nchi atakuta Taifa liitwalo Tanzania lilisha...
Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.