ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Niliwambia hili siku si nyingi "Usomi, Mapenzi kwa Chama, Uadilifu na Michango yako haitakupa ubunge, CCM ina wenyewe" nafikiri tumeelewana

    Wasalaam Poleni wazee mliotia nia hivi karibuni... Nafikiri mnakumbuka niliwatahadharisha ila uzoefu mmeupata. CCM ina wenyewe. Tukazane kufanya kazi tutunze familia zetu mambo ya uongozi inji hii tusubiri siku nyingine labda Hali ibadilike..... Usiku mwema
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huku makada wa CCM wakihonga mamilion ya Tsh mtoto akinyonga kwa kukosa Tsh 1500 ya mtihani.

    Hii inasikitisha
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je CCM ya sasa ni genge la biashara za kifisadi?

    Tujiulize ni watu wangapi wanagombea kwa kujitolea kwao kwa jamii na wangapi wanagombea kwa kujinufaisha!! Tofauti ya Chadema ya Lissu na CCM ni hapo
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM ampigia kampeni mgombea mmoja kabla ya kura za maoni

    Wakuu Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe. Kupitia video...
  5. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Mlikataa Katiba Mpya Ingelikuwa Na Mgombea Binafsi Ikawa Dawa Ya Kelele Nyakati Kama Hizi

    Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale wanaokatwa kugombea. Ni hali inayorudiwa kila wakati watu wanasema wameonewa, wameenguliwa kwa...
  6. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kumburu ateuliwa kugombea ubunge Viti Maalumu Wasomi Vyuo Vikuu na jimbo Moshi Mjini

    CCM Ina wenyewe kwa kweli. Mtu mmoja, kateuliwa: 1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini 2. Kateuliwa kugombea ubunge viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro 3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake. Vituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka. Uliza ana umri Gani na watoto wako...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Makalla: Wagombea wote wa udiwani CCM wapigiwe kura za maoni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa agizo kwa makatibu wa mikoa wote nchini kuhakikisha wagombea wote wa nafasi za udiwani waliokuwa kwenye orodha ya awali wanarejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Taarifa hiyo imetolewa siku ya Ijumaa na CPA Amos...
  9. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Mimi Raia wa kawaida najiuliza, kamati kuu ya CCM ndio inateua wagombea wa ubunge, lakini kamati hiyo hiyo ndio inatakiwa kuhojiwa na Bunge

    Kama kichwa cha habari kisemavyo, hata kama wewe una IQ ndogo utajiuliza. CCM ndio chama tawala tangu uhuru, bila shaka kwa namna wanavyowapiga rungu wapinzani, ni wazi kuwa wabunge walioteuliwa na watawala ndio watarudi bungeni kwa wingi. Moja ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuihoji...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Inasikitisha CCM kinachoangaliwa zaidi ni kujuana, wanaachwa watu wenye maono mazuri na kupitisha watu bila kupingwa

    Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili uchaguliwe ni lazima uwe unajuana na mtu au uwe mtoto wa waziri ndipo uchaguliwe Pia amehusia baadhi...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM ndio watakaozuia Uchaguzi Mkuu na kuusogeza mbele

    No Reforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni CHADEMA. Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mchakato wao kurudiwa na Uchaguzi Mkuu kusogezwa mbele, hivyo lengo la No...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM hata hawajishitukii

    UCHAGUZI UWT MKOA WA LINDI Tarehe 30-Julai-2025, Umoja wa Wanawake Tanzania- Chama Cha Mapinduzi- UWT Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kuchagua Wabunge wa Viti Maalum- kuwakilisha Mkoa wa Lindi- katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jumla ya Kura zilizopigwa- 1192 Kura...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Although it’s too late, Polepole ana hoja. Ni wazi ipo CCM malifedha, na wale wa CCM itikadi!

    Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya CCM, labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri CCM hii ni CCM malifedha, wale wenzangu na miye wa CCM itikati hakika inatutatiza kweli kweli. Namaanisha siye tuliyecheza kwata, kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kelele hazijawahi kuwastua CCM

    Kelele tu hizi za mitandaoni hazijawah kuwastua ccm. Wanaharakat uchwara endeleen kuteseka
  15. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Polepole asiendelee kupuuzwa na CCM, nati kichwani mwake zilishafyatuka, atimuliwa kwenye chama haraka

    Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking logic capacity ya anayoyaongelea mtu yeyote mwenye werevu wa psychology, psychology and psychiatry...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Sasa Tunaanza upyaa alisema Mbunge Bwege alikua Mbunge drama za CCM kwisha

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , Rejea mada tajwa . Mh aliekua Mbunge wa bunge la JMT ,tulipenda sana tumia jina la mh Bwege, kuna kipindi ndani ya Bunge aliwambia wabunge wa ccm na serikali kwamba tunaanza upyaaa. Sasa msemo huu leo nawambia pia ccm kwamba tunaanza upya ,drama zao...
  17. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya :Viongozi wa Ccm Wilaya ya Rungwe acheni kuwapambani baadhi ya wagombea

    Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi. Baada ya kukatwa Anarudishwa Kwa kutumia mlango Wa nyuma Kwa Kuhonga kisa eti yeye anajinasibu...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe CCM amuuliza Peter Msigwa kama atahama chama andapo atashindwa kura za maoni, Msigwa asema kuhama sio kosa la jinai, inategemeana na mazingira

    Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, leo 31 Julai 2025 amemjibu moja ya mjumbe aaliyemuuliza swali "endapo akishindwa atahama chama?" Msigwa amejibu swali hilo wakati akiomba kura za maoni kutola kwa wajumbe wa Kata ya Mtwivila.
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM wanaolalamika majina kukatwa ni wajinga wa kupuuzwa

    Mwanachama wa CCM anayelalamika kukatwa kwa jina lake au majina ya watu aliokuwa anawataka kugombea ni mtu mjinga wa kupuuzwa na asiyejielewa. Kama ulikubali kupitishwa kwa majina ya wagombea ni jambo la siri la vikao na kamati za chama zina mamlaka ya kufanya teuzi kwa vigezo wanavyovijua wao...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Mchakato wa kuteuwa wagombea CCM wangeachiwa wanachama wamchague wanayemtaka

    Mchakato wa kuteuwa wagombea CCM wangeachiwa wanachama wamchague wanayemtaka, baada hapo wanachama ndio wawapeleke kamati za chama taifa ambapo watakwenda kuangalia vigezo kwenye kamati kuu baada ya hapo wakamrudisha mgombea wao
Back
Top Bottom