ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote

    Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote Wengi ambao tunawapigania tuna maisha mazuri ambayo wengi wetu hamtakaa kupata hasa mkiendelea kuunda mkono rushwa, upendeleo wa viongozi mambo mengi ya kuteka wananchi. Fungueni macho
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kinachowaogopesha CCM siyo katiba mpya bali ni maneno mapya yatakayokumbukwa kwa uharaka zaidi

    Hata katiba ya sasa ni nzuri sana, changamoto ni namna maneno yaliyopo ni old fashioned na no body cares about it. Sasa CCM wanajiuliza kama watakubali katiba mpya means ujumbe na maelekezo yake yatakuwa mapya na marahisi kukumbukwa. Kwa sasa wanakiuka misingi mingi ya katiba mpaka wanadiriki...
  3. Dream big

    JamiiForums Tanzania Ccm Ubwabwa vs Ccm Utundu

    Mimi sio politician,sisubiri tume ichunguzwe.......(Roma mkatoliki) Kinachoendelea kwenye siasa za ccm ni makundi mawili. Moja halitaki reforms sababu kuu ni kuwa Lina mgombea dhaifu ambaye ili ashinde 1.Awe na mpinzani dhaifu (chaubwabwa) 2.Awe na upinzani wenye kutugawa kidini (kigoma cha...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama. Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Baada ya madaftari sasa ni Sendo Za Mama. Haya ndo maandalizi ya CCM kwenye Uchaguzi?

    Wakuu, Baada ya madaftari ya mama kutrend na mitungi sasa ni muda sendo za mama. Soma pia: Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto wetu! Haya mambo ya uchawa yamefikia kwenye kiwango cha ajabu sana
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hii ni kweli wamepitishwa na CCM tayari au ni speculatins za mitandao

  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Afande muliro kusema `No reforms No election` ipo kwa sheria gani?, Inaonyesha unajibu mambo ya siasa na sio kazi yako

    Hapa afande muriro kama unasoma JF umekosea sana kujibu kitu ambacho sio sehemu yako sababu polisi kazi yake kusimamia usalama pamoja na raia na mali zao.Sasa inakuwaje mambo ya siasa ukaweza kuyajadili ambayo maneno wanayotumia CCM na wewe ndio unatumia hayo hayo. Siku mabadiliko yakija...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  9. maiko sultan

    JamiiForums Tanzania Kipindi ambacho hakukuwa na uchawa wala utekaji watu walikuwa wakiburudika na nyimbo za kuponda CCM

  10. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Hii ni CCM tunayoijua kweli?

    Polepole hajamshambulia mtu, yeye ametoa hoja kuwa mchakato wa upatikanaji wa mgombea wa CCM ulikosewa Haukufuata katiba na taratibu za chama, lkn badala yake watu wanaomjibu wamejikita kumzungumzia mtoa hoja Kwa Gwajima vile vile alitoa hoja kuhusu utekwaji wa watu, watu wanapotea lkn...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

    Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen, Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Yoyote anayejaribu kuiyumbisha CCM ni msaliti wa Taifa

    Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana. Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania. Tunao wajibu wa kuilinda CCM kwa nguvu zote pale inapokuja suala la kutaka kumbagaza Mwenyekiti...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaacha upande mmoja wa Muungano kujitenga zaidi?

    Kadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali. Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga 1. Ajira zao zao za Tanganyika zetu sote 2. Ardhi yao yao ya Tanganyika yetu sote 3. Bodi ya mkopo yao yao...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: CCM hakuna makundi

    “Nguvu yetu ndani ya CCM ni umoja, na umoja tunao, CCM iko sawa sawa kabisa, kuna mshikamano wa kutosha, …ndani ya CCM hakuna makundi…”-Makamu Mwenyekiti wa CCM-Stephen Wasira.
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania CCM tusiruhusu majina matatu Urais, sio utamaduni wa Chama

    Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu. NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Chadema walipigania kumpata mgombea "weak" wa CCM ili wamsumbue kwenye kampeni

    Ni ukweli na uwazi usiopingika wafuasi wa chadema walijaribu kwa kila hali na mbinu zote kulilia CCM ipate mgombea ambaye ni "weak" ili waweze kuinanga CCM wakati wa kampeni. Samia asingepitishwa wangesema CCM imepasuka na kuuaminisha umma kuwa Samia hakufanya kitu. CCM isingempitisha Rais...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanadamu awezaye Kubadilisha au kupinga Maamuzi ya CCM. Rais Samia ndiye Mgombea wa CCM na itabakia kuwa hivyo

    Ndugu zangu Watanzania, Liwake jua au inyeshe mvua, Dunia isimame au Dunia izunguke katika mhimili wake. Kamwe na katu maamuzi ya CCM ya kumpitisha na kumuidhinisha Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama yetu Mpendwa kuwa Mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM hayatabadilika wala kubadilishwa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Anayetaka kulisaidia Taifa ahakikishe Sheria zinazoipendelea ccm zinafutwa

    Taifa litapona endapo zitasimikwa sheria za haki nchini ambazo hazionei chama chochote,,, Rais asiwe m/kiti wa chama cha siasa,,, Mahakama zihakikishiwe Uhuru kwa kupewa vyanzo vya fedha kikatiba na bunge vilevile, hii ndiyo kansa inayosumbua Nchi , mahakama na bunge kutwa kucha kuipigia...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ndani ya UWT umethibitisha kuwa CCM hii haifai. Rushwa kila kona ya Tanzania mithili ya mvua ya mawe

    Wamehongana mchana kweupe kuanzia nje ya ukumbi mpaka ndani ya ukumbi. My take kama wanaCCM wanahonga namna hii kupata udiwani tu. Je kwenye ubunge na urais? Kwa ujumla hawapo kwa ajili ya kutumikia umma wa Watanzania. Wapo kwq ajili ya matumbo yao.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kosa juu ya kosa: Kusogeza mkutano mbele, ni kuwapa nafasi ya kujipanga wapinzani wako.Bora tu ujitoe umeshakosea

    Huu ndio ukweli na Mr. Slow Slow alikulia timing vizuri sana na ukaingia kwenye mtego. Kama ulishindwa kukaza kutokana na pressure iliokuwepo au kutokana na dalili mbaya ulioiona, basi ujue kuahirisha ndio lilikuwa kosa kubwa zaidi na salama yako ni kuachia ngazi tu. NB: Mungu wa Lissu...
Back
Top Bottom