Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management?
Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani?
Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi?
Alafu wahuni kama hawa...
Wakuu,
Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo.
Ngoja tuone kitachojiri
=========
Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa...
Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana.
Ilitarajiwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla angetoa taarifa ya watia nia ya ubunge na...
UKITOA RUSHWA UNAKATWA, UTEUZI WA WAGOMBEA WA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Katibu wa itikadi na uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (ccm) upande wa zanzibar Hamis Mbeto ameeleza jinsi wagombea wa chama cha mapinduzi wanavyo patikana katika mchujo wa kura za maoni na kusisitiza kuwa wagombea...
Habari nilizopata muda huu ni kwamba, Kikao hewa cha Makala kutangaza Majina feki ya wagombea feki kilikatizwa ghafla baada ya kutonywa kuwa :"Mkeka" aliokua anatakiwa KUSOMA ulikua sio wenyewe uliokuwa umeandaliwa....
Aliyeuza cheni feki kapewa pesa feki, Ngoma droo. haya majitu ni majizi proMax
Alooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili!
Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye mambo kibao mtaweza kuitekeleza kweli tufike kwenye Tanzania tunayoitaka?:KEKWlaugh::KEKWlaugh:
Sasa...
Leo nimeingia center hapa Mvuti nashangaa bodaboda karibu wote wako na barakoa zenye picha na maandishi ya mi 5 TENA.
Mmewatengeneza wajinga na wapumbavu na sasa wanaogelea kwenye bwawa la umaskini hawaoni mbele wala nyuma, option yao ya mwisho ni kufukuza upepo.
Mmeshindwa kuondoa bodaboda au...
Naibu Kamishna wa Katiba, Sheria na Utawala Bora wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tahliso Bw. Aron Mzelela Seni amewaambia waandishi wa habari leo Jumatatu Julai 28, 2025 kuwa Jumuiya hiyo inamuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Tanzania katika shughuli za maendeleo...
Ndugu zangu Watanzania,
Nashindwa niseme nini,nashindwa niwaambie nini maana Taifa limesimama na wananchi wametulia huku macho na masikio yakiwa mkoani Dodoma
.
Sasa Mwamba Mwenyewe mwenezi wa CCM Taifa Mheshimiwa sana CPA Amos Makalla anakwenda kuisimamisha nchi muda wa saa tatu usiku...
1. Kusubiri kuona CCM ikipaduka vipandevipande baada ya fitina na kuengukiwa kwa vigogo
2. Kuonesha wanaoitwa Chawa namna wanafanywa na wajumbe?
3. Kuonesha picha ya namna Bunge lao endapo watalazimisha uchaguzi kufanywa litakavyokuwa?
Wabunge wanaomaliza muda wao. Walipambania Chama Enzi za DP World. Tuwarudishe Bungeni kuendeleza 4R
OktobaTUNATIKI
Mshana Jr
Lucas Mwashambwa
Mpwayungu Village
Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025.
Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya...
Wakati vuguvugu la mchujo wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likizidi kupamba moto, mgombea ubunge wa Jimbo la Sikonge, amejikuta katika hali ngumu baada ya kufichuliwa kwa tuhuma nzito kuhusu mienendo yake, zilizotolewa na watu wa karibu.
Akizungumza na mwandishi wetu, mmoja wa...
Tokea magufuli amekufa tulisikia hiki kibwagizo kwamba CHADEMA ishakufa. Hadi sasa enzi za malkia kibwagizo ni kilekile kwamba Tanzania hakuna upinzani wa CHADEMA okay Nice nakubali.
Sasa kwa vile CCM ni chama kikongwe na kina ushawishi barani Afrika kifanye hivi, kingewaruhusu tu hao...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikushinda Jimbo la Segerea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa nguvu yake ya kisiasa, bali kwa sababu ya sintofahamu iliyokuwepo ndani ya vyama vya upinzani vilivyounda umoja wa UKAWA
Kaiza ametoa kauli...
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
Wasalaam.
Inatafakarisha sana CCM imeongoza taifa la Tanganyika tangu uhuru lakini bado barabara ni mbovu, maji safi ni mtihani, wanafunzi bado wanakaa chini huko viongozi wa CCM wakitembelea ma v8 huku wakijilipa mishahara minono na kujitajirisha.
Tujiulize tu bila kujizima data, je ni lini...
Mwanafunzi wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya msingi Mnini iliyopo kata ya Uru Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro anayefahamika kwa jina la Izack Mushi (12), amefariki dunia kwa madai kuwa amejinyonga kwa kamba muda mfupi baada ya mwalimu wake katika shule hiyo...
Kwa mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa Jana tarehe 27/07/2025 Wajumbe hawana Nguvu tena ya kumpitisha Mgombea Ubunge/diwani wanayemtaka Bali kamati Kuu Taifa ndio itaamua Nani agombee. Poleni Wana CCM wenzangu.
#Kazi na Utu.#
Lucas Mwashambwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.