ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imeshusha Heshima ya Ubunge na Uchaguzi Kwa ujumla ndio Sababu watia Nia kupitia CCM ni wengi wakiamin ni lazima washinde

    Katika Uchaguzi, Mgombea anashinda Kwa mambo mawili Ama Chama chake kinakubalika, au Yeye mwenyewe anakubalika sana Ndani ya Jamii. Kwa mfano, MTU kama MPINA, LISSU, HECHE Hawa wenyewe hata wahamie ADC wanashinda Asubuhi kweupe ilimradi tu Kuna Uchaguzi wa uhuru na Haki !!. Watia Nia...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Namrinji Mnzava, mwanamke wa shoka Ajitosa kusaka ubunge viti maalum CCM Kilimanjaro

    Kuna majina manne ya wabunge wa viti maalumu(ccm)mkoa wa Kilimanjaro ambayo wanatajwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwamba watapasua tena katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama cha mapinduzi(UWT)na kuelendelea kupeperusha bedera ya CCM kwenye bunge lijalo la...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiondoa wazee ambao wanadhani nchi bila CCM itazuka vita wengine wote ndani ya CCM wanafuata au wanalinda maslahi yao

    Hili liko wazi kabisa. Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha. Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi. Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waliohamia CCM toka upinzani hawawezi ongoza kura ya maoni CCM labda Kwa kubebwa na Rais tu hata wakishindwa.

    Hii wanapaswa kulijua mapema. Msigwa, Bulaga, Matiko n.k. Msihangaike hata kutumia pesa kwenye kampeni.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri CCM ipate wagombea kama ilivyokuwa 2020

    Wagombea kwa nafasi za ubunge na udiwani mchujo wake usizingatie nafasi ya kwanza kwenye kura za wajumbe. Kwenye udiwani tafuteni watu kama viongozi wa kiroho, watendaji, wakuu wa shule na watu mashuhuri watawapatia wagombea sahihi. Ubunge pia iwe hivyo hivyo. Hata mgombea mwenye kura chache...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Joel Biton Silungwe achukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea udiwani kata ya chipaka, Tunduma

    Joel Biton Silungwe amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kugombea udiwani kata ya chipaka halmashauri ya mji wa tunduma Mkoani songwe.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Shilole achukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na CCM kugombea ubunge wa Viti maalumu mkoa wa Tabora

    Namshukuru Mwenyezi Mungu mapema leo nimefanikiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama changu cha CCM kugombea nafasi ya UBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Tabora kupitia UWT. Nashukuru nimepokelewa na mama yangu Katibu wa UWT Mkoa wa Tabora, Bi. Rhoda John Madaha. Ndugu zangu fomu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Geofrey Timoth achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia CCM

    Wakuu Naona jimbo la Kawe watu wanalichangamkia sana. === Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Timoth amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa Vijana CCM Wilaya, Amos Richard. Jimbo hilo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Samia na ccm yako mumeamua kuziba masikio.

    Ni jambo la ajabu sana , kuona mtu anapata madaraka kwa mjibu wa katiba. Halafu hapo hapo anatumia madaraka kuivuja katiba. Huu ni ugojwa wa akili unao penda kushambulia watawala wa kiafrika. Kwetu Tanzania umeshambulia Samia kwa kiwango cha kumfanya mwendawazimu kabisa. Kibaya zaidi...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hiki ni kitu gani? CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa CCM; wanaojibu ni Polisi

    HIKI NI KITU GANI? CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa TUME; wanaojibu ni CCM. CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa CCM; wanaojibu ni Polisi. CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa Mahakama zetu; anajibu msemaji wa serikali au wa CCM. Kwa kuwa imekuwa kawaida kwa watendaji...
  11. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwitikio huu wa kuchukua fomu CCM: je CCM imeimarika au?

    Nimestushwa na utitiri huu wa Makada wa CCM ambao wanajitokeza kuchukua fomu hasa za Ubunge Majimboni katika siku ya kwanza ya Mchakato huo!Wapo ambao unaweza kusema walikuwa wamekata tamaa kabisa ya kufanya Siasa lakini this Timu wameibukwa pasipo kutarajia! Kwa upande mwingine hii inaonyesha...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CCM Masasi wajitokeza kuchukua fomu za ubunge na udiwani

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Masasi wamejitokeza kwa wingi kuchukua fomu za kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani wa Viti Maalum kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Zoezi hilo limeanza rasmi leo, tarehe 28 Juni 2025, ambapo fomu za ubunge kwa majimbo ya Masasi...
  13. JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Arusha wamtaka Comrade Dr Makonda

    Wajumbe kwa ujumla wao. Wamemuelewa RC na Mwenezi Mstaafu Comrade Dr Makonda. Isanga family
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwinshehe Adam Yange Mwenyekiti UVCCM Morogoro achukua fomu ya jimbo la Morogoro Mjini

    Ikiwa ni siku ya kwanza ya zoezi la uchukuaji fomu kwa watia nia, Mwinshehe Adam Yange Mwenyekiti Wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa Wa Morogoro amechukua fomu ya jimbo la Morogoro Mjini kupitia CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Yange anaenda kuchuana...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Hawa Wanaochukua Fomu za Ubunge Kupitia CCM Wanaelewa Hata Maana ya Uwakilishi au Ni Wapiga Kambi tu wa Madaraka Bila Dira?

    Ni jambo la kusikitisha kuona wimbi la watu wanaokimbilia kuchukua fomu za ubunge kupitia CCM—wengi wao ni wasio na uelewa, hawajui hata msingi wa majukumu ya mbunge katika representative democracy. Wamejazana kwa imani kwamba chama kitawapitisha hata bila ushindani, kwa sababu mfumo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zoezi la uchukuaji fomu limedhihirisha pasipo shaka kuwa CCM ni chama kinachopendwa, chenye mvuto na itikadi ya kweli

    Leo mitandao yote imezima, CCM imezima takataka zote za uhaini, za no reform no election, hakuna cha Heche wala mamake Heche leo, leo ni mwanzo mwisho CCM. Hivi kwa mziki huu wa watu wenye majina makubwa na mvuto kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama unawezaje kuzuia uchaguzi wewe? CCM ni chama...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deusdedith Katwale amechukua fomu ya kugombea ubunge Chato Kusini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora Manispaa Deusdedith Katwale amechukua fomu ya kugombea ubunge Chato Kusini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Source: Clouds TV
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Nakuomba Sana, Majina Matatu Kura za Maoni Hayatoshi, Napendekeza Wagombea Sita Waingie Kwenye Mpambano Badala 3

    Kumekuwa na mambo mkubwa sana wa makada kujitokeza kuchukua fomu leo, nna wasiwasi sana wajumbe wa kamati za siasa za kata na wilaya huenda zikafanya upendeleo kwa wajumbe kwa kuwapa maksi wale wanaowapenda ili washike nafasi 3 za juu na kisha majina yao yaende Dodoma yarudi hayo, najua fomu...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Mafuriko ya uchukuaji fomu ni kipimo cha nguvu ya CCM

    Nimepitia mitandao ya kijamii leo, na habari zilizotamalaki ni makada wa CCM kuchukua fomu. Ni wazi sasa wimbo wa "Tunazima zote, tunawasha kijani" leo umepata maana halisi. Mwitikio huu mkubwa unatoa uthibitisho wa ukweli wa takwimu kuwa hiki ndicho chama chenye wanachama wengi zaidi nchini...
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Mkenda aitaka Rombo tena, achukua fomu kupitia CCM

    Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Massoud MeliMeli
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…