Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,234
- 20,594
Ni wazi Chama cha Mapinduzi, CCM kipo katika sintofahamu kubwa kutokana na viongozi wao wakishirikiana na machawa wao kuvunja Katiba yao!
Kelele zimekuwa nyingi hadi Chama kimeshidwa kuhimili na sasa viongozi wake madikteta wanataka kuwapa wanachama nusu mkate 🤣! Eti wanaitisha Mkutano Mkuu wa kujadili mustakabali wa uongozi wa Chama kwa njia ya mtandao! Viongozi wanaogopa kujadili hoja ana kwa ana! Viongozi wanawatisha wanachama ambao wanahoji uvunjifu wa Katiba!
Ifike wakati sasa wanachama waseme kwa sauti "UNYONGE BASI! Wanachama chukueni Chama chenu vinginevyo mtaburuzwa milele na hilo genge la walanguzi! Gomeni kabisa kufanya Mkutano Mkuu kwa njia ya mtandao kwani mnatakiwa kujadili hatma ya Chama chenu!
Wana CCM ogopeni matapeli wa kisiasa ndani ya Chama chenu!