WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.
Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .
Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi...