ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Polepole ni CCM na CCM ni Polepole hakuna jipya

    Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu. Polepole hana jipya labda kama lakini kwa mdomo mtu kama Lissu,Silaa,Rungwe,nk t
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Msafara wa mabasi ya CCM takribani 20 yatinga Chamwino kumsindikiza Rais Samia, sio kodi zetu kweli hizi?

    Nimeuona msafara ambao wa mabasi takribani 20 yakimsindikiza Rais Samia akienda kuchukua fomu ya urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC). Aloooo, kweli kodi za wananchi zimewafaidisha sana hawa CCM! Naandika haya nikibubujikwa na machozi ya huzuni:catJAMCRY::catJAMCRY:
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Hata Chadema ilianza kama CHAUMMA na ilipandishwa na makapi ya CCM

    Wapo wanaojaribu kuvibeza vyama vidogo vya upinzani mfano CHAUMMA wakisahau kuwa walianza kinyonge na walipata umaarufu wao kupitia makada waliohama CCM. 29 OKTOBA Saa kuminambili asubuhi nitakuwa kwenye mstari tayari kabisa kuipiga kura yangu.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusipoikataa CCM kwa nguvu zote tutaendelea kuchezewa na kutwezwa

    Watanzania tumefika mahali pa kuonekana hatuna akili nzuri na majirani zetu. Juzi nimekutana na mtu kutoka taifa jirani anashangaa sana kwa jinsi siasa za Tanzania zinavyoendeshwa kibabe huku Watanzania wakiwa hawana la kufanya mbele ya kikundi kidogo cha wanasiasa. Kwa kweli tuliongea mengi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 John Mongella: Uteuzi wa mgombea Urais CCM haukukiuka katiba

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella amesema mchakato wa kumteua mgombea wa urais wa Tanzania ulizingatia Katiba ya chama hicho.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kufanya kampeni ni lazima,kwa nini CCM wasisubiri tu mpaka siku ya uchaguzi watu wakawapigie kura

    Niseme kwanza sitoshiriki kupiga kura,lakini naona ni jinsi gani viongozi wanamatumizi mabaya ya pesa,hii gharama ya kuzunguka inchi nzima kwa msafara wa viongozi na wapambe CCM wanashindwa kukaa nyumbani kuokoa gharama halafu wajitokeze tu siku ya kupigiwa na kupiga kura,maana kwa hayo...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa

    Rais Samia amesema Mbio za kuelekea Oktoba zimeanza rasmi, CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa.
  8. JamiiForums Tanzania Moto wazidi kuwaka UWT K'njaro.walioenguliwa kura za maoni watishia kurejesha kadi za CCM

    MOTO WAZIDI KUWAKA UWT K'NJARO,WANACHAMA WATISHIA KUREJESHA KADI ZA CCM HALI bado si swari ndani ya Jumuiya ya wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake na wale walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kutishia kurejesha kadi za Umoja huo endapo mamlaka za juu za...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC mmejishtukia kuitwa Tume ya CCM hadi mkaamua kuondoa live ya tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu?

    Wakuu, Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana. Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala ya Uchaguzi mlipotangaza tarehe ya kupiga kura, leo mmefuta live ya tukio mlilokuwa mrushe. Mnazidi...
  10. JamiiForums Tanzania Ngoma (wimbo) wa "wembe kupita ule.... ushindi" ni kali balaa, niko hapa nasikiliza, nambari one ni CCM

    Kula chuma hicho ndugu mtanzania. Miezi miwili ya burudani
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

    Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Msafara wa Magari...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Polepole amesema ACT ni mali CCM na CHAUMMA inafadhiliwa na CCM

    Wakuu ni kwamba mimi kuna kipande kilinipita ama vipi? Je ni kweli Humphrey Polepole alitamka maneno haya?
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CCM wajitokeza kumsindikiza Rais Samia kuchukua fomu

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiangalia video hii utagundua CCM imeundwa na genge la wahalifu kwa kiasi kikubwa

    Wasalaam, Ukisikiliza matamshi ya viongozi wa CCM wa sasa wengi utagundua kuwa hawa sio viongozi bali ni genge la wahalifu maana matamshi yao ni kuua na kupoteza watu kisa uchaguzi! ==== Maneno haya yalitolewa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM (UVCCM) Kheri James...
  15. JamiiForums Tanzania Deep State: Dhana Yake, Namna Inavyofanya Kazi

    Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
  16. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Malalamiko haya yasipo sikilizwa tegemeeni CCM Mbeya kuendelea Kuwa Ngome ya Upinzani Mpaka Kiama

    Huu Utaratibu wa Viongozi kupewa dhamana na Kukiuka dhamana waliyopewa Umeanza kuwa ni Utaratibu wa kawaida sana. Leo hii hakuna asiye fahamu Uchaguzi wa VITI MAALUMU MBEYA umeharibiwa na Wapuudhi waliopewa dhamana Ndani ya UWT MBEYA lakini cha ajabu Tuna kaliana kimyaa huku Mpasuko ukiendelea...
  17. JamiiForums Tanzania CCM kutoa form ya Urais kabla ya kumpumzisha Ndugai ni kutoka na utu na aibu

    Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Handeni yalaani kauli za uchochezi kwa viongozi

    Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Handeni mkoani Tanga kimelaani kauli zinazotolewa na baadhi ya watu wanaotumika kuwasema vibaya viongozi wa chama hicho pamoja na wagombea walioongoza kwenye uchaguzi wa kura za maoni wilayani humo, kwa madai kuwa uchaguzi huo haukufanyika kwa uhuru na haki.
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole, Kesho Rais Samia atachukua fomu, je, harakati zako zina tija CCM sasa?

    Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA mna mpango gani mbona kama siwaelewi? Mnawezaje kuendelea kumuachia Mwenyekiti chini ya mafisi wakati mna jeshi kubwa?

    Kazi ya makamo mwenyekiti badala ya mwenyekiti wetu Tundu Lissu ni kutuambia hatuna imani na majaji,mahakimu pia hatuna imani na serikali ya Samia. Kisha tuambiwe hatima ya mwenyekiti unatuachia sisi wananchi tuamue cha kufanya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…