ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tusipende kubeza kila kitu, Kwani kuna mtu alijua Daudi angeliweza kuliua jitu kama GORIATH?

    Kiburi wakati mwingine hakisaidii.2015 CCM iliponea chupuchupu kuangua kwa sababu chadema ilitumia wahuni na wanamitandao kutoka CCM . angalia hapa :Tarehe 29 Oktoba mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli alitangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kura ya rais, akifuatwa na Lowassa wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

    Declaration of Interest. Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Dk Malisa dhidi ya CCM yasogezwa hadi Agosti 19

    Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na aliyekuwa kada wa CCM, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa iliyokuwa isikilizwe Agosti 14, sasa imesogezwa hadi Agosti 19, 2025. Katika shauri hilo linalosikilizwa na jopo la mawakili watatu, Dkt Malisa anaiomba mahakama kutoa tafasri na uamuzi wa usahihi katika...
  4. Michael Dudicoff

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uhalisia ndani ya harambee ya CCM

    Habari za muda huu. Niende kwenye mada Moja kwa moja. Chama Cha Mapinduzi hakijakosa hela kiasi cha kuandaa harambee ya watu kukichangia pesa za kuendesha shughuli za uchaguzi. Miaka yote chama kimekuwa kikishiriki uchaguzi pasi na kuhitaji watu kukichangia. Lengo kuu la harambee ile ilikuwa...
  5. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaishitaki YANGA kwa barua kwenda FIFA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA Ethics Committee dhidi ya Klabu ya Young Africans SC (Yanga). Malalamiko hayo yanahusu mchango wa TZS milioni 100 uliotolewa na Yanga kwa chama cha siasa (CCM) katika hafla ya Gala Dinner iliyofanyika Mlimani...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga mpina aungwe mkono ili wahuni wa CCM wadhibitiwe kama hayati Magufuli alivyokuwa amewadhibiti

    Mpina apewe urais. Hii ndio kauli ya kila mtanzania mpinga dhuluma. Mpina ni kama hayati Magufuli. Anapigania haki za wanyonge. Akipewa nchi wahuni wa CCM watadhibitiwa na kunyooshwa. Angalia anavyopinga uhuni. Mfano serikali ya CCM kuingia mikataba 47 inayohusu rasilimali za umma bila...
  7. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

    Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni. Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu...
  8. mcTobby

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tunaposema kwamba CCM itoke madarakani, tumewahi kufikiria Hili?

    Majority uetu tunaweza kujifarijiana kwamba tuipigie kura CCM itoke kwenye kiti cha enzi. Tukiachana na vyombo vya dola kulinda Hii state party (hii ya kuipa vyombo vya dola kuishikilia ccm tusiipe 100%) Je, mchina aliyewekeza hapa Tz tokea miaka ya 60s ataweza kuhimili hasara ya kupoteza...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanin wapinzani dhaifu kiuchumi hususani Chadema masalia wanaumizwa sana na hali ya CCM kua na wanachama matajiri wa hoja, mali na fedha?

    Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu? My friends, ladies and gentleman, Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Vitendo vinofanywa na CCM na serikali yake vitazidi kuwagawa wananchi na kuvunja upendo, ari na mori kwao na vizazi vyao

    Hadi sasa CCM imefanya vitendo vya kushangaza wananchi wake khasa wale ambao hufuatilia siasa za nchi hii, lakini kwa wale ambao hata kama walikuwa na shauku ya kutaka kushiriki michakato ya kisiasa nchini kwa sasa watakuwa wamekatishwa tamaa ya yote yanoendelea kutendwa na CCM. Israel pamoja...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yapitisha wagombea 21 pekee kati ya 163 walioomba Udiwani Moshi

    Katika wagombea 163 waliotia nia kugombea udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Moshi ni 21 pekee wamepitishwa kuendelea na mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, sawa na asilimia 12.9 ya waliokuwa wakiwania nafasi hizo. Aidha, nafasi za viti maalumu zimechukuliwa na...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi aliye timkia CHAUMMA akitokea CCM afunguka kutishiwa

    Diwani mstaafu Petro lobora wa kata ya Themi mkoani Arusha kupitia chama cha Mapinduzi CCM amefunguka baada ya kuhamia CHAUMMA na kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo hiyo ya udiwani katika kata yake hiyo ya Themi.
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yakanusha matumizi ya namba feki za magari zenye alama SSH 2530

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekana kuhusika na matumizi ya namba feki za magari zenye alama SSH 2530. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, alisema chama hicho hakina mamlaka ya kutengeneza vibao vya namba za magari...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rosemary Kirigini ahamia ACT-Wazalendo Kutoka CHADEMA na CCM

    Mwanasiasa mwandamizi aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalumu CCM mkoa wa Simiyu, Mkuu wa Wilaya ya Meatu na pia Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Serengeti, Rosemary Kirigini amejiunga na chama cha ACT Wazalendo. Kirigini amejiunga na Chama hicho na kutangazwa mbele...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, azuia barua za Uteuzi wa Wagombea wa CCM , Udiwani Kata na Viti Maalum kwa Majimbo 8,isipokuwa Moshi Mjini

    Katika kikao cha hivi karibuni cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, katibu wa mkoa, Mercy, alikabiliwa na hali ya kushangaza na kusikitisha. Kikao hicho kilikuwa na jukumu la kukutana na kupitisha majina ya wagombea wa udiwani wa kata na viti maalum kwa kata mbalimbali za mkoa huo...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa diwani wa CCM kata ya Themi, lobora ahamia CHAUMMA Agosti 16

    Aliyekuwa diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Themi,Petro Lobora, ametangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 16.
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Tutaiondoa CCM katika dola

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mgombea Urais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othman Masoud Othman amesema chama hicho kimedhamiria kuiondoa CCM madarakani ili kuwakomboa watanzania na kadhia ya umaskini. Akizungumza na wananchi wa Mwandoya Jimbo la Kisesa Mkoani...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Nimekihama CCM kwa sababu kimekuwa chama cha uonevu na dhuluma

    Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema amekihama chama cha Mapinduzi (CCM ) kwa sababu kimepoteza msingi wake, muelekeo na kuwa chama cha uonevu na dhuluma kwa wananchi usiku na mchana. Soma Pia: Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM Luhaga Mpina Amezungumza...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu. Sasa ifike mwisho

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu haya wameyafanya zanzibar miaka yote lakini tuliamua kupambana nayo na tukawashinda tangu 1995. Lakini sasa tuseme iwe mwisho
  20. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mbelee kwa mbeleee, kamwe msiwasikilizi wanafiki na wazandiki wenye wivu na chuki ambao vinywa vyao vina sumu mithili ya nyoka weusi.

    Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM. Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
Back
Top Bottom