Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
Ni nani wajumbe hao?
Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani.
CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
Huu ndio ukweli wenyewe watia nia wengi wanaenda walikuwa na nia ya kupata peaa tu maana ubunge unalipa. Mshahara mnono wa mil 15, posho ya kikao laki tatu kwa siku bado madili kibao ukiwa na miradi ya maendeleo jimboni.
Hili la kusema eti ni kwa sababu CCM inakubalika sio kweli
Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Njombe wakiwa kwenye Ukumbi wa Agreement uliopo halmashauri ya mji wa Njombe kwa ajili ya kupiga kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Njombe
Chanzo: Mwananch_official
Nimesoma andiko la Askofu Bagonza. Anasema Wooote, walioshindwa/waliopenya ie walioshinda?? wote ni wale wale. Wote ni waovu., (maharamia, majambazi, wahuni ........nyongeza yangu)
WALIOSHINDWA, actually, though it looks strange, washukuru Mungu maana wameepushwa na mauti huko mbele
Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.
Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
Huyu mtu, ni mgombea hewa,kwani hajui kiongozi hata mmoja ndani ya Jimbo aliloomba kutia nia,ila ameteuliwa.
Kuanzia shina,tawi, Kata na hata Jimbo,hafahamu mtu hata mmoja na hatujui kura atazipsta kutoka wapi.
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook.
====
MKEKA WA CCM: Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini.
CCM ni kama Marekani. Uchaguzi wake unawala macho hata wasiohusika. Leo mkeka umeshangaza watu. Mimi nimejikaza na kufanikiwa kutafakari haya:
1. Waliokatwa...
Salaam
Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani.
Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
Jina: Charles Mhando Njama
Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania
Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Jimbo: Korogwe Mjini
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
Ni rahis kusema CCM inaharibu nchi,Samiah kafanya vile pia wanasiasa wanafanya bike ndio maana tumefika hapa!
Kabla samiah hajashika madaraka Tanzania ilikuwepo,kabla ccm haijaanzishwa mwaka 1977 Taifa lilikuwepo,na kabla mwingine hajawa rais was nchi atakuta Taifa liitwalo Tanzania lilisha...
Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali...
Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
Chawa wa Mama naona wanafanya ionekane CCM ni chama Kikubwa !!
La hashaa !!.
CCM ni chama kilichojifia, kilichochokwa na watanzania na Kipo kwenye Hatua ya mwisho ya Kifo chake , CCM hakuna namna yoyote Ile ya kufanya kiwe hai mioyoni Kwa Wananchi.
In fact, Watu wamechoka tu kuongozwa na...
1. January Makamba
2. Kassim Majaliwa
3. Humphrey Polepole
4. Josephat Gwajima
5. Luhaga Mpina
Tukumbuke, vigogo hawa wametemwa na CCM ubunge 2025 kutokana na misimano thabiti isiyotetereka na isiyo na uoga na mtu yeyote.
Huyu dogo BYABATO alikuwa ni kijana kichwa sana pale mjengoni.
Wana BUKOBA alikuwa na mbunge mwenye uweledi sana kuanzia maisha ya Elimu na heshima kwa jamii.
Lakini akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati.
Leo hii masikini uteuzi...
https://youtu.be/BhcymOXCtEM
Kamati kuu ya Chama wajaribu kurudia na kutazama upya mchakato wa kuteuwa wagombe wa Ubunge hususani kutoka Jimbo la Meatu ili haki itendeke zaidi.
Ambapo viongozi wa chama waje Jimbo la Meatu wasikilizeni wananchi kilichokuwa kinafanyika, ambapo viongozi wa chama...
Hawa ndiyo Wabunge waliopitishwa bila kupingwa kuwania kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa hawakuwa na wapinzani wowote kutoka ndani ya chama hicho. Wamepitishwa moja kwa moja kutokana na kukosekana kwa wagombea wengine waliotia nia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.