ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM mnaposema kazi na utu mnamaanisha nini?

    Kama sielewi kabisa... Kazi na Utu ndiyo nini? CCM huwa mnakuja na kauli mbiu, lakini hii ni ya kiwango cha chini?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya kina ya No Reforms, No Election

    Habari watanzania Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea. Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu, Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
  3. JamiiForums Tanzania Sababu kwanini mikutano ya CCM imejaa watu nyomi

    Wasalaam. CCM wakiamua jambo lao hufanya kila linalowezekana ili kulifanikisha Siri ya nyomi la CCM kila mkoa ni kwamba wanasafiri na watu wao kwenye jumla ya mabasi 20 na kisha wakifika mkoa husika huwapata watu wenye dhiki kali na njaa na muwapa buku 5 kila mmoja na kuwasafirisha kwa maroli...
  4. JamiiForums Tanzania Pamoja na kukosa upinzani madhubuti toka kwa CHADEMA ya Lissu, mbona CCM wanangaika sana?

    Kampeni zao zimedorola hazina mvuto. Na hawafuatilii kampeni zao kabisa ila labda kama kuna tukio kama ile ajali ya Lori na wafuasi wao Morogoro. Kwa ujumla hakuna upinzani. Swali la msingi ni kwa nini wanatapatapa?
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kenani Kihongosi: Kusafirisha watu ni hoja dhaifu hatuna muda kuijibu

    Hapa inaonekana hakuna proper communication flow kati ya wana kampeni. Ina maana huwa hawafanyi briefing kuambiana nini cha kujibu na nini siyo cha kujibu!
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mapokezi ya mgombea mwenza wa Urais CCM, Mbogwe

    MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA MBOGWE Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya...
  7. JamiiForums Tanzania Unabii mzito kwa nchi

    Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inaogopa kufunga mtandao wa instagram sababu wasanii wao wapo huko

    Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi. Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF. Sasa siasa imeamia instagram na facebook na huko ndio kuna wasanii wao 😂. Karma karma sasa fungeni wawa geuke
  9. JamiiForums Tanzania Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

    Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !! Kwanza hawana stend! Hawana soko! Barababara kuu imekwama na pesa wamekula! Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango Britanicca
  10. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za CCM Mbalizi mkoa wa Mbeya 2025-2030

    Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Hatembei na Mume wake? CCM Haina washauri wa maadili?

    Miaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili? Kwanini anamtenga mume wake? Je, anatoa picha gani kwa umma? Kikwete aliwahi kumlazimisha Magufuli kumtambulisha mke wake kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Sabaya onyesha kuwa na njaa na dhiki za kisiasa. Atamka hadharani kuwq hata akipelekwa gerezani kwa uonevu CCM ni dude kubwa

    Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha. Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMMA katika kata ya Songambele kasema CCM oye

    Katika Hali ya kushangaza Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMA katika kata ya Songambele aliposimamishwa kumuombea Kura mumewe badala ya kusema CHAUMA OYE badala yake akasema CCM OYEEEE!!!! Ilikuwa ni úzinduzi wa kampení ya mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM inahitaji vyama shirika vya upinzani kuliko chochote. Tishieni kujitoa kuwa hamuwezi mudu tena ghalama za kampeni. Mtanishukuru

    CCM wana 100b na zaidi. Hawajazipeleka mikoani kusaidia kampeni za wabunge. Zinatumika kwenye timu ya Nchimbi na Samia tu. Kupewa magari, mafuta na posho za madereva haitoshi si unaona hata majukwa ya mbao yamewashinda. Tengeneze umoja wa vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi. Itisheni...
  15. JamiiForums Tanzania Japo kwenye uchaguzi ujao CCM inapambana na CCM B, itakuwaje kama Samia atabwagwa?

    Japo hii ni hypothesis, mambo hubadilika na visivyotegemewa hutokea. Hivi itakuwaje kama Samia atabwagwa na vibaraka wake aliowaweka ili kuhalallsha uchafuzi wa demokrasia uitwao uchaguzi?
  16. JamiiForums Tanzania Nimemuona muuza miwa kwenye kampeni za CCM Mbeya nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu!🤣

    Nimeangalia kampeni za CCM kipande kidogo leo. Wakati watu wanaruka ruka na kuimba kabla ya Kabudi kuongea mara paap kuna mtu akapita na ndoo yake ya miwa pale mbele basi mimi moja kwa moja nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: Hakuna Chama chenye uwezo wa kuiangusha CCM

    Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud, amesema hakuna chama cha siasa chenye uwezo wa kuiondosha Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani kutokana na uimara na umoja wa chama hicho. Soud alibainisha kuwa AAFP ipo tayari kushirikiana na CCM na kumuunga mkono mgombea...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakimaliza kutumbuiza wanapewa bahasha zao halafu wanakuja kutukana mitandaoni kuwa hatufanyi kazi

    Wasanii Diamond Platinum, Rayvany na Ommy Dimpoz wamekuwa kivutio katika mkutano wa kampeni za chama cha Mapinduzi (CCM) zinazofanyika mkoani Mbeya. Soma pia: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'? Hata hivyo, wakati mastaa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe na 'Tyson' kawekwa na mtu kusaidia kiti? Kweli hapo hakuna Chama kuna genge la watu.

    Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata hivyo Mdunguaji hakumtaja kwa jina. Kama ilivyo ada, tangu mdunguaji aanze kuwapopoa Kunguru...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Wananchi Tarime waandamana hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani, Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe

    Wakuu Wanachama wa CCM wameandamana huko Sirari Tarime hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani wao Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe. Soma > SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…