ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Top layer leaders wanaomiliki kadi za CCM huko vyombo vya ulinzi na usalama ndio watesi wetu

    -Hao wanaomiliki kadi za ccm huko vyombo vya usalama na ulinzi hao ndio wamejifanya kuwa chama cha mapinduzi -hao ndio wanapigana kufa na kupona ccm iendelee ku exist -wengi wao ni wanachama na kadi wanazo -hao ndio wana waandama washindani wa ccm na wakosoaji
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ndio uhalisia wa maisha ya Watanzania. CCM imekataliwa na Watanzania

    Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi. Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
  3. JamiiForums Tanzania Uovu wa viongozi wa CCM aliousema Polepole ndio sababu ya CHADEMA kukubalika kama chama cha ukombozi.

    Ni viongozi waovu ambao Polepole aliweka wazi kuwa kutoa uhai wa mtu waweze kukamilisha ufisadi wao ni jambo la kawaida kama kunywa chai. Wanaona kutumia dola kunyanyasa raia wa dola huru ya Tanganyika ni umwamba wa kisiasa. CHADEMA imebadikika haitaki kuwa kibaraka wa wanaCCM waovu...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi account hapa JF zipo ikulu na ofisi ya raisi pamoja na CCM

    Imefikia mpaka wanatumia domain ya serikali kujiunga JF.Na wengine wapo ofisi ya raisi. Kuna siku kuna mmoja hataropoka kuwa kuna mtu anatumia neno " kuna watu wanajibu mavi" basi ujuwe ni mtu maarufu hapa JF
  5. JamiiForums Tanzania Kenneth Kaunda's powerful legacy proffers enduring lessons for CCM

    Chapter 1 The Righteous Shall Live Long: Zambia's Presidential Legacy, Biblical Wisdom, and Tanzania's Democratic Crossroads Abstract The political history of Zambia offers one of Africa's most compelling lessons on leadership, democratic transition, and political legacy. Kenneth Kaunda...
  6. JamiiForums Tanzania MPASUKO CCM vs UKUAJI WA CHADEMA

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejenga sifa ya kuwa na nidhamu kali ambapo maamuzi yakishafanyika kwenye vikao, sauti ya chama inakuwa moja. Hata hivyo, katika misimu ya hivi karibuni ya kisiasa, viongozi wa ngazi mbalimbali wameonekana kutoa kauli zinazongana hadharani kwenye masuala ya msingi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu Kauli ya Dr. Nchimbi (VP): Ni aidha Kuna mgogoro ndani ya serikali na CCM au mbinu ya CCM ya "jifanye uko nao, then strike hard"

    Hebu jaribu kidogo kufikiri hili; KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2... Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali.... Na siku si nyingi amekuwa Katibu Mkuu na kada mbobezi wa chama chao karibu maisha yake yote hata...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema , "Nchimbi ni CCM anaongelea akiwa mbele ya sufuria ya nyama, kwamba tupambanie chakula. Jiuzulu tukuamini."

    Katika siku za hivi karibuni, baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, kuzungumzia suala la Katiba Mpya, kumekuwa na usambazaji wa picha zenye maandishi (graphics) kwenye mitandao ya kijamii zikimdai Benson Bagonza amesema: "Nchimbi ni CCM anaongelea akiwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu: CCM ni kama laana kwa Tanzania

    Tujifikirishe kidogo kwa nini Tanzania ni nchi masikini kwa kiasi hiki kuliko hata Kenya pamoja na rasilimali zake zote hizi. Tatizo ni utaratibu mbovu wa utawala wetu aka katiba mbaya. Katiba mbaya ni kwasababu ya CCM na walarushwa! Sasa mnao unga mkono huu mfumo ni sawa na watumwa wanao...
  10. JamiiForums Tanzania Kwakweli CCM kwa miaka ya hivi karibuni mnatuletea viongozi wa hovyo na wa ajabu ajabu sana sana! Chama kimekumbwa na nini?

    Swali linajitosheleza kwenye sredi
  11. JamiiForums Tanzania Kwa CCM Katiba mpya si jambo jipya

    Ninapoona baadhi ya wana CCM wanasitasita kuhusu marekebisho ya Katiba ama kuwepo kwa katiba mpya huwa nawashangaa sana. Huwa nahisi kuwa kwa sasa CCM inaongozwa na watu ambao si CCM ama siyo makada wanaoifahamu vizuri historia ya nchi yetu na ya chama chao. Mwaka 1977 CCM iliandika Katiba...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania haawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja,kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania hawana msimamo mmoja?

    Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna wa Kumfanya lolote Mh Nchimbi ndani ya CCM , kidogo akina Mwaipopo,wahuni wengineo ndo watatumwa kumshabulia. KATOLIKI MLINDE UHAI WA NCHIMBI

    KATOLIKI niliwahi waambia, Kosa mlofanya mkapelekea MAGUFULI kuondolewa, lisijirudie . Magufuli hata kama alikosea, ila hakuligusa KANISA Wala RASIMALI ZA NCHI. Licha ya makosa yake Madogo, Bado alibaki kua MKATOLIKI. Sasa mnaye NCHIMBI, huyu ni CCM kama alivyokua MAGUFULI, hakikisheni...
  14. K

    JamiiForums Tanzania ONYO KWA CCM

    Nawapa onyo ccm na machawa wao kuwa ikifika 2030 bila katiba mpya muwe na machaguo mawili la kwanza kukimbia nchi na la pili uchaguzi usifanyike, tofauti na hapo mjiandae kuondolewa Kwa nguvu mtake msitake(mods naomba huu Uzi muutunze halafu mtaurejesha tarehe 5/11/3030).
  15. JamiiForums Tanzania Fresh air, Nchimbi kaleta dhamira mpya ya CCM baada ya kubanwa na mabeberu?

    Sina zaidi la kueleza maana mada za Nchimbi jukwaani ni nyingi. Je, kibano cha mabeberu kinafanya kazi yake na watu wanfikiri sawasawa sasa? At any rate , hata Mwalimu mwaka 1977 aliwahi kusema TUJUSAHIHISHE, kama msimamo wa TANU/CCM.
  16. JamiiForums Tanzania Maajabu: Mwaipopo kajitangaza wazi anamiliki vikundi vya kigaidi bila kuhojiwa. Wakati huo polisi wakibambikia vyama shi kesi za ugaidi

    Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera. Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake polis wako bize kubambika kesi za ugaidi kwa wakosoaji wa ccm na utendaji mbovu wa serikali iliyoko...
  17. JamiiForums Tanzania Ccm ni chama au ni jeshi la kicomunist.

    Kusema kuna democracy hapa tukatae. Hivi ushaona duniani kuna vyama vina vaa sale na kuweka vyeo vya mfano wa kijeshi.
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA tusiingie kwenye mtego wa Nchimbi na CCM yake

    Habari wakuu. Leo tarehe 24/7/2026 Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi ametoa kauli za kisiasa ambazo kwangu ni kama mtego kwa CHADEMA. Kabla CHADEMA haijaanza kufurahia kauli hiyo ijiulize maswali yafuatayo. 1. Kwanza, Kama Nchimbi anahimiza watanzania waipiganie katiba mpya, kwanini wanachama...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ukweli kuwa CCM ndiyo inayodhulumu Haki za Watanzania, Lakini ndani yake kuna Watu kama Nchimbi, Warioba, hawapendi dhuluma

    Ni kweli kuwa mateso na dhuluma kwa Watanzania, chanzo chake ni watawala wa CCM. Ila tukiwa wakweli wa nafsi, hata ndani ya CCM kuna watu hawapendi dhuluma. Mtu kama Warioba, kwa dhahiri kabisa amethibitisha kuwa hapendi dhuluma. Dr. Nchimbi, pamoja na kuwa sehemu ya Serikali dhulumati, lakini...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CCM wanakawaida ya kumsema Marehemu, Lengo letu kuu ni Katiba

    Nchimbi ametangaza vita ya Urais kwa aliyopo au Wanaotaka, kama ilivyo ada ya CCM Samia akiwa hayupo watamsema sana na matusi juu, baadaye wanarudi walipokuwa. Tusikubali ulaghai unaopikwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…