Wana CCM ni dhaifu kunyamazia swala la Nchimbi!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,732
Reaction score
15,394
Yaani mtu alikuwa katibu mkuu wa chama na makamu wa Rais kitendo cha kufukuzwa bila kumpa nafasi ya kujielezea na sasa sitofahamu alipo inainyesha mapungufu makubwa ya CCM .

Yaani hawana uwezo wa kuhoji tena wamekuwa woga. Sasa ni matumbo tu
 
Yaani mtu alikuwa katibu mkuu wa chama na makamu wa Raisi kitendo cha kufukuzwa bila kumpa nafasi ya kujielezea na sasa sitofahamu alipo inainyesha mapungufu makubwa ya CCM . Yaani hawana uwezo wa kuhoji tena wamekuwa woga. Sasa ni matumbo tu
CHama kilishatekwa wanapokea maelekezo tu, hawana sauti tena
 
.
 
Attachments

  • IMG-20260717-WA0001.jpg
    IMG-20260717-WA0001.jpg
    71.2 KB · Views: 5
Sasa hivi veggies wamebakiwa na wanachama aina ya Lucas na Tlaatlaah unategemea watahoji nini na njaa walizonazo..!!
acha porojo na upotoshaji jukwaani ndugu mdau wa jf, na itapendeza zaidi,

huenda ni kwasababu uko kwenye chama cha siasa ambacho hakina hata sifa ya kushiriki uchaguzi Tanzania, ndio maana umekua na mawazo mgando namna hiyo, sambamba na mtoa porojo hii mezani:pedroP:
 
acha porojo na upotoshaji jukwaani ndugu mdau wa jf, na itapendeza zaidi,

huenda ni kwasababu uko kwenye chama cha siasa ambacho hakina hata sifa ya kushiriki uchaguzi Tanzania, ndio maana umekua na mawazo mgando namna hiyo :pedroP:
Wewe ni zezeta
Nchimbi kakosea nin?
 
acha porojo na upotoshaji jukwaani ndugu mdau wa jf, na itapendeza zaidi,

huenda ni kwasababu uko kwenye chama cha siasa ambacho hakina hata sifa ya kushiriki uchaguzi Tanzania, ndio maana umekua na mawazo mgando namna hiyo :pedroP:
Umeset notification we chawa? 😹
Sijakutag tayari ushafika, hapo umedhihirisha mmeishiwa mpo kuzurura mitandaoni..!!

Haya makamu wenu yuko wapi?
 
hapana,
sijaseti notifikesheni yoyote,

ila porojo zozote zile zikija jukwaani,
ninaweza kuziditect kisayansi maramoja na kuzidisband kwa haraka sana.

so,
just relax:NoGodNo:
 
Yaani mtu alikuwa katibu mkuu wa chama na makamu wa Rais kitendo cha kufukuzwa bila kumpa nafasi ya kujielezea na sasa sitofahamu alipo inainyesha mapungufu makubwa ya CCM .

Yaani hawana uwezo wa kuhoji tena wamekuwa woga. Sasa ni matumbo tu
Wewe ndio unapata taabu hiyo. Wao wenyewe huko CCM hawana hata wasiwasi wanajua kinachoendelea....
 
CCM limebakia tu jina, jina linalotumiwa na lile genge la madhalimu kuwahadaa wananchi. Ukweli CCM ilikwishakufa, kwani wanaoitwa wanachama wake, hawana nguvu wala maamuzi yoyote. Mahalimu wanaitumia CCM kuhalalisha udhalimu wao. CCM halisia ilikuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi, lakini hiyo ambayo sasa hivi inaitwa CCM inamilikiwa na genge la familia fulani tu, ndiyo zinazoamua kila kitu, huku wanaoitwa wanaCCM wakiwa hawana mamlaka yoyote. Ndiyo maana hata kura za maoni, zinazotajwa kupigwa na wanaCCM, huwa hazina nguvu ya kuamua nani awe mgombea kupitia CCM. Lile genge la familia madhalimu huwa ndiyo linaamua nani awe mgombea bila hata ya kupoteza muda wa kuangalia hizo kura za maoni.
 
CCM limebakia tu jina, jina linalotumiwa na lile genge la madhalimu kuwahadaa wananchi. Ukweli CCM ilikwishakufa, kwani wanaoitwa wanachama wake, hawana nguvu wala maamuzi yoyote. Mahalimu wanaitumia CCM kuhalalisha udhalimu wao. CCM halisia ilikuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi, lakini hiyo ambayo sasa hivi inaitwa CCM inamilikiwa na genge la familia fulani tu, ndiyo zinazoamua kila kitu, huku wanaoitwa wanaCCM wakiwa hawana mamlaka yoyote. Ndiyo maana hata kura za maoni, zinazotajwa kupigwa na wanaCCM, huwa hazina nguvu ya kuamua nani awe mgombea kupitia CCM. Lile genge la familia madhalimu huwa ndiyo linaamua nani awe mgombea bila hata ya kupoteza muda wa kuangalia hizo kura za maoni.
 
Yaani mtu alikuwa katibu mkuu wa chama na makamu wa Rais kitendo cha kufukuzwa bila kumpa nafasi ya kujielezea na sasa sitofahamu alipo inainyesha mapungufu makubwa ya CCM .

Yaani hawana uwezo wa kuhoji tena wamekuwa woga. Sasa ni matumbo tu
Kuhoji alipo wakati wanapajua!
 
Back
Top Bottom