ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania REDETI tupeni Tafiti za kupaisha Wagombea wa CCM

    Mmesahau wajibu wenu wa kusifu Wagombea wetu CCM kipindi cha Uchaguzi kwa asilimia (%). Mnakwama wapi?
  2. JamiiForums Tanzania Biharamulo kuwa kituo kikuu cha kampeni za CCM mkoa wa Kagera

    BIHARAMULO KITOVU CHA KAMPENI ZA CCM KAGERA Hapa Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi anasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo ndio kitakuwa kituo kikuu cha kampeni cha Chama Cha Mapinduzi katika kampeni za mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi...
  3. JamiiForums Tanzania Kama CCM ikishinda, ni chama kipi cha upinzani kitaibuka nafasi ya pili na ya mwisho kwenye uchaguzi ?

    Katika vyama vya siasa 17 vyenye wagombea urais waliothibitishwa na tume huru ya Taifa ya uchaguzi kushiriki uchaguzi mkuu wa October 29,2025, ni wazi CCM itaibuka mshindi wa jumla kwenye urais, ubunge na udiwani, kwa namna ilivyojipanga na kujiandaa. Kama mdau wa jukwaa hili makini la siasa...
  4. JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi. Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised. Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030 haina cha maana? Majibu haya hapa

    Hawa jamaa wamejua kwamba mara baada tu ya uchaguzi, nchi za magharibi,Jumuiya na taasisi za kimataifa hazitautambua uchaguzi huo na hazitaitambua serikali hivyo itakosa legitimacy. Kwa kufanya hivyo hawatatoa fedha yoyote kwa serikali iliyopoteza legitimacy. Hivyo serikali ya Tanzania hasa ya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Nguvu ya CCM ni Umoja wa Chama na Umoja wa Taifa

    Dkt. Bashiru Ally Niko hapa kuwaomba kura za Chama Cha Mapinduzi. Kwanza kama mwenyeji wa Dodoma, na pili kwa sababu tumepewa jukumu na Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya kuratibu shughuli za Kampeni. Mwenyekiti ameshatupa maelekezo akiwa Kawe.” — Dkt. Bashiru Nguvu ya CCM na uwezo wake...
  8. JamiiForums Tanzania Polepole anaongea kisomi sana, CCM msikurupuke kumjibu

    Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni... Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze kupimana ubavu na huyu mwamba.
  9. JamiiForums Tanzania CCM wanafanya matamasha sio kampeni !! Kampeni lazima iwe na mshindani!

    Nimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu ! Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la...
  10. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa bunifu za miradi mikubwa katika kampeni za CCM kunapunguza mvuto!

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi miradi ambayo haijakamilika ya kimsingi ni miwili tu, SGR Mpaka mipakani mkongo wa kitaifa wa maji...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wengi ni kutokujua kuwa hata viongozi wa dini wanaichangia pesa CCM ibaki madarakani

    Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia CCM Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa CCM
  12. JamiiForums Tanzania Video :WanaCCM wakipelekwa kwenye mkutano wa CCM

    Hivi Hawa wanaosombwa namna hii kupelekwa kwenye mikutano ya CCM , akili zao Huwa zinafanya kazi kama akili za sisi binadamu wa kawaida kweli?? Hii nchi bado wajinga na mbumbumbu ni wengi sanaa..kukomboa hili TAIFA ni kazi itakayokamilika miaka 47 ijayo
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wengi humu ni kutokujua kuwa hata viongozi wa dini wanaichangia pesa ccm ibaki madarakani

    Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia ccm Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa ccm
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,”...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 The Chanzo, Crown Media na Mwananchi wamechapisha kuwa'RC Mtaka anashirikiana na Denis Ekwabi kuihujumu CCM, Ukabila wahusishwa'

    Wakuu ==== Kuna ukweli wa taarifa hizi?
  16. JamiiForums Tanzania Anayeijua nguvu ya CCM, Hawezi kupoteza muda kujibizana mitandaoni

    Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM. Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi...
  17. JamiiForums Tanzania MBIO ZA KUINADI ILANI YA CCM BUKOMBE KUANZA SEPTEMBA MBILI

  18. JamiiForums Tanzania Leo "Live" za mikutano ya kampeni ya CCM huko mitandaoni hazifikishi hata Viewers 100

    Ingekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani. Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
  19. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

    "Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha hii ni nyomi iliyosombwa na Malori kwenye kampeni za CCM Morogoro

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…