ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM ijisahihishe sasa

    CHAMA CHA MAPINDUZI KIJISAHIHISHE Comrades, tunakabiliwa na sura mpya na yenye mvutano mkubwa katika siasa za Tanzania. Muda mrefu migogoro ya kisiasa ilikuwa kati ya CCM na vyama vya upinzani. Lakini kwa sasa, hali imebadilika, mvutano mkubwa ni kati ya CCM na wananchi wenyewe. Jambo hili...
  2. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama. Hii ni heshima kubwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jinsi serikali ya CCM ilivyokataliwa ndani na nje ya Tanzani mpaka aibu

    Yaani sijui CCM ilijiamini vipi kufanya hayo iliyofanya, maana imejichafulia ndani ya inchi mpaka nje, hata yale yaliyokuwa yamefunikwa huko nyuma hatimaye yametoka hadharani. Lakini ukiangalia kwa jicho la kawaida inaonekana kama yalikuwa maamuzi ya mtu mmoja mwenye ndiye aliyeyapanga haya...
  4. JamiiForums Tanzania Je CCM tumechoka kukaa madarakani Mbona tunafanya Mistake za wazi za Kututoa Madarakani?

    Wana CCM wengi wanajua kupitia box la kura CCM haiwezekani kutoka madarakani hata tugeweza kuleta Rerfoms bado tugeweza kuacha gepu na mwanya wa kuendelea kuwepo madarakani sema uoga...
  5. JamiiForums Tanzania Hatimae Mwili wa Marehemu Joshua Mollel warejeshwa na Magaidi wa Hamas wenye vina saba na Chama Cha Mauwaji

    Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba) Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema Alhamisi. Wawakilishi wa Jeshi na Wizara ya Mambo ya Nje waliifahamisha familia ya Mollel kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Misiba mizito mitaani siyo ya CHADEMA bali ni ya CCM

    Watu tuliowapa dhamana ya kutulinda, mali zetu, mipaka yetu, usalama wetu kiujumla na kutuletea maendeleo ndio hao hao wamegeuka kufanya mauaji ya halaiki. Kama haitoshi wamefungia mitandao kama huu wa jamii forums, wameua watoto wasio na hatia, vijana na akina mama waliokuwa wametulia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini, CCM wanazidi kueneza propaganda mbaya dhidi ya Gen Z

    Tuweni makini ndugu zangu hawa wahuni wanaweza kugeuza kibao kwetu tukaonekana sisi ndo wenye makosa alafu wao wana haki Wameanza harakati za kueneza propaganda kuwa waandamanaji walikuwa raia kutoka nje hasa hasa wakenya na lengo lao lilikuwa kuchafua cv ya tanzania kimataifa. Tusipokuwa...
  8. JamiiForums Tanzania CCM Wanafahamu kuwa chuki dhidi yao imeongezeka maradufu?

    Wanapaswa kujihoji sana kwanini wanachukiwa? Walikuwa peke yao kwenye kinyag'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2025 Kabla hata matokeo kutangazwa ghasia na vurugu zikaibuka. Ukikaa mitaani ni wachache saana wanaowasema vizuri Chuki dhidi yao imezidi maradufu
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za viongozi wa CCM na serikali yake dhidi ya wananchi waliopoteza wapendwa wao zinadhihirisha dharau dhidi yetu

    Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ushindi mnono wa CCM

    1. CCM imepata wabunge wangapi kati ya wabunge wote? 2. Watumnasiri sana, kumbe Jerry hakurudi bungeni, kweli power is transient, tuheshimiane, dunia mapito. 3. Kwa ushindi huu mnono, mbona sioni pongezi zikimiminika? Ukiachia kejeli za Lucas Mwashambwa.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati kuu CCM yaja na matamko ya dharau

    Hawa watu wametuzoea Watanganyika yaani hawajutii Kwa mauaji waliofanya Wanashindwa kutoa hata kutoa pole
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Vita, hauendi vitani wala kuwasaidia hadi waitoe CCM

    Ikitokea vita na magaidi hatuwasaidia, hatutawatibu, hatutatoa damu zetu, hatutawapa maji ya kunywa wala chakula. Sasa hii ndio hatua tupo, na siku kadhaa mtasikia matukio kama ya MKIRU mengi kuliko mlivowahi
  14. A

    JamiiForums Tanzania CCM wahuni wana bahati sana

    Baada ya haya kutokea nimegundua CCM na genge lake hakuna kitu wananchi tungesema tuwashambulie si dhani kama kuna yeyote ambaye angepona ila walitukana maskini sisi hatuna chochote cha kujisaidia nacho basi acha tuwaite mashujaa ila Next time watakufa wengi sana
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania tunalia kwa uchungu lakini CCM katili wapo kimya

    GT. Kwa masikitiko makubwa niwape pole wale wote waliofikwa na msiba pamoja na kujeruhuhiwa katika vurugu za uchaguzi. Vujana walihamasika vizuri tujifunze tatizo moja la kiufundi maandamano bila vurugu yanawezekana ndiyo yatakayotupa matokeo chanya pia itawapa wakati mugumu.hawa wanaotumia...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vigogo Sita wa CCM kuwania nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

    Baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufungua rasmi mchakato wa kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vigogo sita wa chama hicho wamejitokeza leo kuchukua fomu, wakionesha nia ya kuliongoza bunge hilo katika muhula ujao. 1.Tulia Ackson Alikuwa Spika...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM mmetuangusha, mmetufedhehesha, mmetutia aibu- kitaifa na kimataifa

    “Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu” Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu. Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake. Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yaanza rasmi mchakato wa kutafuta Spika. Fomu za Uspika Kupatikana Tarehe 3 na 4 Novemba tu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufunguliwa kwa fomu za kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Laban Kihongosi, wanachama wa CCM wenye sifa au wabunge wateule wanaruhusiwa kuchukua...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli walishindwa kuona ya October 29? Waliona, wakadharau na kapuuza tu? Waliogopa kumuambia malkia hali sio shwari?

    Ni vigumu kusema kwamba watu wa kawaida wangeweza kutabiri yaliyojitokeza October 29 na takribani siku nne zilizofuatia mbeleni lakini kuelekea siku hiyo tulitegemea wale wanaosifiwa sana na wapambe wao kwamba wana macho kote, kwamba huwa hawalali ili taifa tuwe salama na kwamba hakuna anayeweza...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Sharif Majini afariki dunia kwa kupigwa risasi siku ya uchaguzi

    Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi. Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili. Hana haja ya kupewa R.I.P.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…