ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2025 Luhaga Mpina: CCM tutawashinda na watasaini matokeo

    Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi. Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa...
  2. GE2025 CCM itashinda viti vyote vya ubunge nchi nzima uchaguzi mkuu wa 29 Octoba, 2025

    Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi...
  3. Kushindwa kwa Mawakili wa CCM kujibu hoja za Dkt. Malisa na kukimbilia kuweka mapingamizi dhidi ya Utaratibu ni muendelezo wa Uhuni

    Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa . Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya. SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
  4. GE2025 Kesi ya Malisa: Mahakama kutoa uamuzi mapingamizi ya CCM Agosti 22

    DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho. Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
  5. Kuichukia Taifa Stars kwakuwa tu unamchukia Rais Samia na CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu uliovuka mipaka

    Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu...
  6. GE2025 CCM imefanya maendeleo makubwa hatuwezi kuiondoa madarakani

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud Said amesema hawawezi kuungana kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani kwa sababu maendeleo yaliyofanya na CCM ni makubwa. 🗣"ni kwamba niliandaa mimi mwenye binafsi utaratibu wa kuhakikisha...
  7. GE2025 CCM yawatangaza waliopita kuwania udiwani Buchosa

    Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, ametangaza majina ya madiwani walioteuliwa kuwania nafasi hiyo katika wilaya ya Sengerema. Aidha, amewakabidhi barua zao za uteuzi na kuwataka waendelee kushikamana ili chama kipate kura za kutosha katika Uchaguzi Mkuu.
  8. Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

    Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo. Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu?? Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
  9. GE2025 Mwenyekiti wa BAZECHA Mbeya: Kama kweli CCM imefanya kazi nzuri kwanini waogope kushindana na CHADEMA

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetajwa kuiogopa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokana na mazingira ya kukibana chama hicho kikuu cha upinzani huku vyama vingine vya upinzani vikionekana kuimarika, kikiwemo ACT Wazalendo na CHAUMMA. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la...
  10. GE2025 CCM wilaya ya Mtwara yawajibu waliotishia kurejesha kadi zao

    CCM wilaya ya mtwara yawajibu waliotishia kurejesha kadi zao,katibu wa siasa uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi CCM Hamisi Wanyama anena utovu wa nidhamu
  11. GE2025 Wana CCM kata nne za Mtwara, warundisha kadi zao za chama

    Baadhi ya wanachama wa CCM kutoka kata nne zilizopo mkoani Mtwara wamerudisha kadi za uanachama wao wakipinga uteuzi wa baadhi ya wagombea udiwani kwenye kata zao. Uteuzi huo umefanywa na kamati ya halmashauri kuu ya chama mkoani humo baada ya kufanyika kwa kura za maoni.
  12. U

    Ndugu zangu watanzania kwa tabia na mienendo ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa leo nimejua kwanini CCM ilijenga vyuo vyake vya Uongozi

    A political leader who behave like anybody that is not a political leader Lack of emotional intelligence and failure to build relationships! Niwatakie mchana usiku mwema
  13. M

    CCM kumtumia mtu kama Kiliba kumjibu public figure kama Gwajima ni kukosa busara za kisiasa

    Yaani mtu kama huyu ambae hata ajaanza kujitegemea kimaisha ndio mnatuma kumjibu Gwajima. This is political poor sense of Thinking. Kama mnamtuma basi mnakosea sana. Muuza Kangala.
  14. J

    GE2025 CCM mmeongoza muda mrefu ya kwenu tumeyaona, wekeni mazingira sawa ili na wengine tuwapime

    Tangu tupate Uhuru, mwaka 1961, mpaka leo 2025 tunaongozwa na Serikali ya CCM. Maana yake Chama hiki ni kikongwe, kimezeeka. Kimetutoa huko na kutufikisha hapa tulipo. Katika kipindi hiki chote Cha utawala wa CCM, yako mazuri lakini pia zipo changamoto zinazotukabili kama Taifa ambapo imefika...
  15. K

    Tatizo lijalo la CCM hawana vijana mahiri kama wa Chadema

    Hivi ukiangalia CCM chama kimajaa wazee wakina Kikwete, Samia. Vijana wengi hawana uwezo Chadema angalia viongozi wao ni vijana
  16. GE2025 Aliyekuwa Diwani Likotiko achukua fomu kutetea nafasi Gangilonga kupitia CCM

    Diwani wa Kata ya Gangilonga, Mheshimiwa Likotiko Kenyata, leo amechukua rasmi fomu ya kugombea tena nafasi ya udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kushinda na kupitishwa na chama hicho katika mchakato wa kura za maoni uliohitimishwa hivi karibuni. Akizungumza mara baada ya...
  17. GE2025 Wanachama wa CCM waandama Ulanga kwa kutoridhia uamuzi wa jina la mgombea nafasi ya Udiwani

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) zaidi ya 50 kutoka kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro wameandamana katika Ofisi ya Mkoa ya Chama hicho, kwa madai ya kutoridhia uamzi wa jina la mgombea wa nafasi ya udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni kutorudishwa, wakishinikiza kurudisha...
  18. CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM. CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
  19. Dkt. Stergomena Tax akabidhi Ukumbi wa CCM Magu kwa uongozi wa Chama Wilaya baada ya ukarabati

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 15 Agosti 2025, ameukabidhi Uongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Magu Mkoa Mwanza, Ukumbi wa CCM baada ya kukamilisha maboresho na ukarabati mkubwa. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika...
  20. W

    GE2025 Warudisha kadi za CCM wadai hawatashiriki uchaguzi

    Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…