ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Rias Samia: Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi

    Hebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.
  2. GE2025 Khatau achukua fomu ya udiwani Makonde

    Mgombea udiwani Kata ya Makonde Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijana Abdalah Khatau amechukua fomu ya kugombea udiawani ambapo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Kata hiyo amemkabidhi fomu mgombea huyo. Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea...
  3. Upinzani wetu jueni hamna kitu mtakifanya mkafanikiwa

    CCM IMEJIPANGA! MWAKA HUU MTAISOMA 🎹 Upinzani jueni kuwa KAZI ya CCM ya kuwaletea maendeleo ishafanyika toka mwaka 2020 mpaka Leo kilichobaki kwa CCM Wananchi na Wana CCM ni kusema ASANTE CCM ASANTE CHAMA TAWALA kupitia KURA Upinzani hamuwezi mkakurupuka from no where Leo eti fyokofyoko...
  4. GE2025 Ikiwa CCM wana uhakika wa kushinda, Uchaguzi ni wa nini tena?

    Kama CCM tayari; 1. Tuna tume Huru (Mwenyekiti, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Makamishna wote wameteuliwa na mgombea mojawapo), 2. Polisi wapo wanatubeba kila hatua, 2. Pesa (Tsh Bilioni 86 imetulia kwenye akaunti Kuu ya Chama) kwa nini tukafanye tena uchaguzi? Tupoteze tena mabilioni?
  5. CCM: Nini ubaya wa REFORMS zinazodaiwa na CHADEMA?

    Leo natamani kupata maoni ya makada wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi, waliopo humu jukwaani. Kuna ubaya gani wa kuwapa CHADEMA reforms wanazozitaka ili washiriki uchaguzi bila manung'uniko? Mm binafsi sijapata kusikia mtu hata mmoja, ndani na nje ya CCM akisema hivi, reform hii inayodaiwa na...
  6. J

    GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  7. GE2025 Kikao Cha Serikali na Waandishi habari, Kumbe wanataka Waandishi habari warushe Matukio ya Vituo vya WanaCCM Mamluki wakipiga kura

    CCM hii ya mbumbumbu wakidhani wanahadaa Umma na Jumuiya za Kimataifa. Wanaendesha Kampeni chini chini na Waandishi wa Habari wa Main Media na Hawa Akina Jambo TV ,MillardAyo ,n.k Mpango upo hivi .. Wapiga kura wanaojulikana ni Wanaccm , walipangwa kusombwa na MaBus na Malori kutoka Kituo A...
  8. Shuhudia Rais Hussein Mwinyi alivyoelekea Dodoma katika vikao vya CCM vitakavyopitisha Wagombea

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili jijini Dodoma kushiriki katika vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Taifa leo tarehe 20 Agosti, 2025. Katika uwanja wa ndege wa Dodoma...
  9. Michezo michafu ya CCM yaanza kuwarudia na kuliangamiza Taifa. Tumeshakuwa kuwa Lawless Country

    Kwa sababu iliwapendeza wao waliona sawa pale Mwambe alipojiondoa Chadema alafu akaendelea kuwa mbunge wa CCM kipindi cha awamu ya 5 kinume kabisa cha Katiba na Sheria za Nchi. Kwa sababu iliwapendeza wao, wakaona sawa kabisa wabunge 19 wa Chadema walipoendelea kuwa wabunge baada ya kufukuzwa...
  10. Z

    CCM naona tunaka kutimiza kama yale yaliyotokea kwa Pharao wakati Mungu alipoamua kuwakomboa wana wa Israel

    mropokaji sasa ameanza kuropoka mazito. Hivi tunaamini kwamba hakuwezi kutokea mabadiriko ya kiungozi ambapo wanaotajwa watapoteza kila walichonacho?mabadiriko ya kiungozi yakitokea katika hali ya amani hata wastafu wanakuwa na uhakika wa ulinzi wa mali zao,na uhai wao.sasa kwa anayoyaongea...
  11. CCM imetutoa mbali: Tuungane kukitetea chama chetu kilichotutajirisha

    Wakuu, chama kimeporwa na genge la wahuni aka wana mtandao. Tusaidieni kukirudisha mikononi mwetu ili mambo yakae sawa. October tunatiki, mama yetu kipenzi tunakupenda sana. No reforms no election.
  12. GE2025 Upinzani wa Tanzania umepoteza golden opportunity dhidi ya CCM

    Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani. Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na...
  13. CCM inakaribia milestone muhimu

    Sasa ndiyo watakaogombea ubunge watatangazwa kwa hiyo tutegemee nchi itakuwa tayari kwa Uchaguzi. Kama CCM imeanza vyema kutokea mchakato wa Uteuzi ulivyoanza,kama CCM imekuwa na sera nzuri toka Chama kilipoanzishwa CCM itakuwa salama kama siku zote. Bado swala la Chadema linakuwa kizungumkuti...
  14. GE2025 Monalisa: Kila ikifika wakati wa uchaguzi tunachukua watu wa CCM

    Akizungumza na kituo cha East Afrika Redio leo Agosti 20, 2025 Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anaweka wazi kuwa hakubaliani na hii dhana kwamba kila ikifika wakati wa uchaguzi basi wao wanachukua wagombea kutoka chama cha mapinduzi (CCM)...
  15. Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
  16. Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

    Nakuomba tena Mama, itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu, kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM, waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
  17. M

    GE2025 Polepole acha maneno fanya vitendo. Kama mchakato wa mgombea Urais wa CCM umekosewa, peleka barua ya malalamiko kwa Msajili wa Vyama

    Bwana Polepole ulichoongea tumekusikia, Ila sisi Watanzania huwa tunasema kuwa maneno matupu hayavunji mfupa!. Tumeshaona precedent ya watu wasiokubaliana na mwenenendo wa mambo katika vyama vyao ambavyo wao wanaamini katiba za vyama vyao zikivunjwa wakiandika barua rasmi kwa msajili wa vyama...
  18. GE2025 Nawasihi watia nia wa CCM tuliopigiwa kura za maoni kuwa watulivu na kujiandaa kisaikolojia Agosti 23, 2025

    Lolote linaweza kutokea na yeyote miongoni tuliopigiwa kura za maoni anaweza kupendekezwa na kamati kuu ya ccm taifa na akaidhinishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa, kua ndie atakaepeperusha bendera ya ccm uchaguzi mkuu wa october29,2025. CCM haina cha kupoteza uchaguzi mkuu huu, na yeyote...
  19. Nikienda Jehanamu CCM iwajibishwe

    Sijaenda kanisani kitambo, makanisa yamefungwa. Nikikosa siti za mbele peponi naomba ccm wawajibike.
  20. Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

    Baada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo. Binafsi najiuliza, hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…