ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika hata Kikwete na CCM wanamshangaa huyu mama haijawai tokea

    Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda. Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu mama ni laana mlifanya makosa makubwa sana kumuunga mkono. Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine Visiwe Washindani Bali Vishiriki Ndani ya CCM

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni, siasa za ushindani nchini Tanzania zimegeuka kuwa uwanja wa lawama, chuki, na migawanyiko badala ya kuwa chanzo cha mawazo ya maendeleo. Vyama vingi vya upinzani vimeshindwa kuja na sera mbadala zinazotekelezeka, badala yake vimekuwa vikijikita katika maneno...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM Lindi wafafanua juu ya taarifa kuhusu wanachama kurudisha pikipiki na baiskeli za chama

    TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Lindi kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za uzushi na upotoshaji mkubwa zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikielezea kuwa baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Liwale wamekamatwa na Jeshi la Polisi Tanzania na kuletwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa CCM

    Kwenye maandamano ya tarehe 9 CCM wasijaribu kutumia ile mbinu ambayo walitumia tarehe 29 watakuwa wamekosea sana na pia watakuwa wamejiingiza kwenye matatizo makubwa sana ambayo kuyazima Itachukuwa mda sana Unajua kwanini Kilichotokea tarehe 29 kiliwapa watu picha halisi ya kujua upande wa...
  5. passioner255

    JamiiForums Tanzania Naona CCM wanaendelea kuharibu nchi

    Naona hamtaki kufanyia kazi sababu hasa ya maandamano mnawakamata watu wasiohusika na maandamano kama chadema na gwajima. Nk: Naona mnaandaa maandamano mengine
  6. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa CCM na watoto wao wanajipongeza tuu na ubunge wa viti maalum

    Eeee nacheka kama mazuri Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba . Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee . Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM, Chama cha Mauaji

    Kwa kweli CCM ya sasa haistahili hata kuwepo madarakani. CCM sasa hivi ni Cha Cha Mauaji. Kimeiagiza serikali inacho kiongoza kuua wananchi. Chama cha Mauaji kinakosa kuwa chama kinacho wakilisha maoni ya wananchi.
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa. Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huko CCM hakuna mwenye akili kidogo hata mmoja?

    Hivi huko CCM hakuna mwenye akili hata kidogo! Hata mmoja anayeweza kushauri mambo ya msingi na kuacha kufanya ujinga ambao unaliangamiza Taifa? Ndiyo, nawauliza nyie sababu Hatuna Serikali nchi imeshikwa na CCM pamoja na vyombo vyake vya dola ambavyo navyo vinatia shaka iwapo wapo watu wenye...
  10. Nicolas J Clinton Gabone

    JamiiForums Tanzania CCM ijisahihishe sasa

    CHAMA CHA MAPINDUZI KIJISAHIHISHE Comrades, tunakabiliwa na sura mpya na yenye mvutano mkubwa katika siasa za Tanzania. Muda mrefu migogoro ya kisiasa ilikuwa kati ya CCM na vyama vya upinzani. Lakini kwa sasa, hali imebadilika, mvutano mkubwa ni kati ya CCM na wananchi wenyewe. Jambo hili...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama. Hii ni heshima kubwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jinsi serikali ya CCM ilivyokataliwa ndani na nje ya Tanzani mpaka aibu

    Yaani sijui CCM ilijiamini vipi kufanya hayo iliyofanya, maana imejichafulia ndani ya inchi mpaka nje, hata yale yaliyokuwa yamefunikwa huko nyuma hatimaye yametoka hadharani. Lakini ukiangalia kwa jicho la kawaida inaonekana kama yalikuwa maamuzi ya mtu mmoja mwenye ndiye aliyeyapanga haya...
  13. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Je CCM tumechoka kukaa madarakani Mbona tunafanya Mistake za wazi za Kututoa Madarakani?

    Wana CCM wengi wanajua kupitia box la kura CCM haiwezekani kutoka madarakani hata tugeweza kuleta Rerfoms bado tugeweza kuacha gepu na mwanya wa kuendelea kuwepo madarakani sema uoga...
  14. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Hatimae Mwili wa Marehemu Joshua Mollel warejeshwa na Magaidi wa Hamas wenye vina saba na Chama Cha Mauwaji

    Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba) Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema Alhamisi. Wawakilishi wa Jeshi na Wizara ya Mambo ya Nje waliifahamisha familia ya Mollel kwamba...
  15. Poker

    JamiiForums Tanzania Misiba mizito mitaani siyo ya CHADEMA bali ni ya CCM

    Watu tuliowapa dhamana ya kutulinda, mali zetu, mipaka yetu, usalama wetu kiujumla na kutuletea maendeleo ndio hao hao wamegeuka kufanya mauaji ya halaiki. Kama haitoshi wamefungia mitandao kama huu wa jamii forums, wameua watoto wasio na hatia, vijana na akina mama waliokuwa wametulia...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini, CCM wanazidi kueneza propaganda mbaya dhidi ya Gen Z

    Tuweni makini ndugu zangu hawa wahuni wanaweza kugeuza kibao kwetu tukaonekana sisi ndo wenye makosa alafu wao wana haki Wameanza harakati za kueneza propaganda kuwa waandamanaji walikuwa raia kutoka nje hasa hasa wakenya na lengo lao lilikuwa kuchafua cv ya tanzania kimataifa. Tusipokuwa...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM Wanafahamu kuwa chuki dhidi yao imeongezeka maradufu?

    Wanapaswa kujihoji sana kwanini wanachukiwa? Walikuwa peke yao kwenye kinyag'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2025 Kabla hata matokeo kutangazwa ghasia na vurugu zikaibuka. Ukikaa mitaani ni wachache saana wanaowasema vizuri Chuki dhidi yao imezidi maradufu
  18. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za viongozi wa CCM na serikali yake dhidi ya wananchi waliopoteza wapendwa wao zinadhihirisha dharau dhidi yetu

    Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ushindi mnono wa CCM

    1. CCM imepata wabunge wangapi kati ya wabunge wote? 2. Watumnasiri sana, kumbe Jerry hakurudi bungeni, kweli power is transient, tuheshimiane, dunia mapito. 3. Kwa ushindi huu mnono, mbona sioni pongezi zikimiminika? Ukiachia kejeli za Lucas Mwashambwa.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza kwa...
Back
Top Bottom