ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

    Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million. Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bila kufumbua haya CCM, kampeni mnapoteza muda

    Moja kwa moja kwenye mada. Hii ni kukupeni taarifa kabla ya habari. Kemeeni engua engua za wagombea. Msijitenge na kilio hiki ambacho hakuna asiyeona rafu hizi za wazi. Upuuzi wa kufanikisha kuwapitisha kina kawudi bila kupingwa haukubaliki. La zaidi kabisa, kama mgombea wenu si: ushauri...
  3. JamiiForums Tanzania CCM na Mifumo ndiyo tatizo kubwa Nchi hii. Wanatupeleka siko

    Haiwezekani uengue wagombea wa chama kimoja chenye nguvu 16 kati ya 18 katika kisiwa kizima, huu ni uhujumu wa wazi wazi unaominya haki za watu kuchagua. Haiwezi kuondoa wagombea udiwani zaidi ya 600 nchi nzima kama kweli unalitakia taifa hili amani. CCM kwakua Mwenyekiti wao wa taifa ndiye...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa CCM Pemba wana haya ya kunena

    Kwa maandishi wamejibu hawakumuekea pingamizi mgombea yeyote yule wa ACT wazalendo,huo au hayo yaliyojiri ni mzigo wao tume ya Taifa ya uchaguzi na sio wagombea wa CCM. Sasa ninaloliona ni CCM kukimbia mauti maana Pemba hawacheki na mtu katika kutafuta haki yao,hawaogopi kauli za Tanzania ni...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma CCM inaenda kuweka mustakabali wa Taifa

    CCM OYEEEEEEE! Kwa mara ya kwanza tangu Taifa letu liwe huru tunaenda kushuhudia chama tawala kikienda kuweka historia mpya kama ilivyo hulka yake kwa kuzindua kampeni za uchaguzi kwa namna ya kipekee katika makao makuu ya nchi DODOMA. Haijawahi kutokea kwa Chama chochote kufanya kampeni ya...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mnatia aibu kwa kulazimisha ushindi wa mapingamizi

    Baada ya majina ya wagombea kupitishwa, sasa umezuka mtindo wa kila jimbo, kila kata kulazimisha mapingamizi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa. Huu ni uzembe na uhayawani wa chama kikongwe. Miaka zaidi ya 50 bado CCM mnawaza kukataa kushindana! Kuna majimbo yalishatangaza wagombea, rasmi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM watangazwe washindi kwani CHADEMA wameshindwa kabla ya kuanza

    Kwa kilichotokea leo ni wazi kuwa CHADEMA hawajajiandaa, hawakujipanga, hawakufanya maandalizi na wala hawana matarajio na matumaini ya ushindi, wameanza wakiwa wamekata tamaa na wametangaza kushindwa kabla ya kuanza kushindana. Ukiwapima na ukipima mkutano wao katika maeneo yafuatayo...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA wanasubiri kwanza Ilani ya Uchaguzi ya CCM itolewe!

    Siasa zina mbinu nyingi katika ushindi. Moja ya mbinu ni kujua adui wako ana silaha za aina gani kabla haujaingia kwenye mapambano! Kwa mfano, Miaka ya nyuma, wapinzani walikuwa wanasubiri kwanza CCM iteuwe wagombea wake ili waliokatwa wajiunge kwenye vyama vyao. Kwa kutumia mbinu hii, vyama...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

    Wanabodi, Kipenga cha kuanza kwa kampeni za Uchanguzi Mkuu ujao kimepulizwa leo na fungua dimba amekuwa Chadema. Nimeangalia kidogo kupitia live ya TBC, kiukweli nilichoshuhudia, ndicho kimenipelekea mimi kuanzisha huu uzi ambao ni swali. Je, Tanzania tuna upinzani wa kweli, upinzani makini...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

    Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je anasikika live? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo. Akaona akiwakaribisha Lissu na Salum...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Nasimama na Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM

    Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi wa 2020 CCM na Dola imejionesha sura yake, ule wakati wa kudai Tume Huru bila kususia Uchaguzi ni sasa

    Mada inahusika. Licha ya ahadi za kufanyika uchaguzi huru na wa haki kutoka kwa Rais JPM na serikali yake ukweli uko wazi. Hakuna dalili na ni kama mchezo umeisha kwenye hii hatua ya uteuzi na mapingamizi. Jiulizeni yale mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi hayakulenga kitu kweli? Kwamba ratiba ya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakati kampeni zikianza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa na mvuto zaidi ya mgombea wa CCM John Magufuli

    Wakati kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu zinaanza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mapambano huo utakuwa mkali sana, baina ya mgombea wa Chadema, Tundu Lissu na mgombea wa CCM John Pombe Magufuli. Kwanza niainishe ni kwanini naona Tundu Lissu atampiku Magufuli kwenye kampeni hizo...
  15. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kwanini hajawahi tokea mgombea CCM akose sifa?

    Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa. Na kamwe sijawahi sikia mpinzani kupita bila kupingwa. Ukichunguza hata wagombea wa CCM huwa na mapungufu lakini hata wakikatiwa rufaa utupiliwa mbali...
  16. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe nakupenda sana, nakuomba umuachie Tundu Lissu agombee tuiondoe CCM madarakani

    Kwa dhati ya moyo wangu napenda kukiri kuwa mimi ni admirer wako toka ukiwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania. Lakini kwa hali ya Siasa ilivyo nchini mwetu na kiu ya watanzania kuondokana na kivuli kizito kilichodumu kwa zaidi ya miaka 59 cha umasikini uliokithiri, ujinga, maradhi, ukiukwaji...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kuzindua kampeni Jumamosi, Agosti 29, 2020 uwanja wa Jamhuri, Dodoma

    CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
  18. JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  19. JamiiForums Tanzania Kitendo hiki cha CCM yangu kuwaamini Wanasiasa kama huyu kunakidhalilisha Chama na kisirudiwe tena

    Hatimaye aliyekuwa Mbunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Hasani Masala ambaye hakuweza kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutimkia ACT Wazalendo mapema leo ameongea na waandishi wa habari kuwa amerudi CCM na kuomba radhi kwa mwenyekiti wa CCM na wana CCM pamoja na viongozi wa Wilaya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru aliwahi kusema CCM haitatumia tena wasanii. TOT na Vijana Jazz wanatosha. Je, amebadili gia angani? CCM wametishwa na "Ni-Yeye"?

    Nini kimeifanya CCM iachane na idea ya Dr.Bashiru ya kutokutumia wasanii? Tena alidai ujumbe katika nyimbo za kina Diamond, Harmonize, Ali Kiba, Zuchu, Dula Makabila, etc haziwachomi MABEBERU. Hebu msikilizeni alichokisema hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…