ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Chama Ni CCM

    Cha kilichokaa kwa kishindo kabla na baada ya uhuru ni hiki chama wa leo hakitetereki . Hakina mpinzani ni cha kitaifa,kimataifa na kipenda chama cha mapinduzi. ''Tumeipenda wenyewe'' ''Chaguo letu milele'' "Wanune wapasuke" ''Acha waisome namba eeh'' ''Isombe namba '' "Ccm mbele kwa mbele"...
  2. B

    Zitto Kabwe 'azitoboa' bajeti 5 za serikali ya CCM Mpya

    June 14 2020 Source : Wazalendo TV KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu Rais John Magufuli, kuingia madarakani.” Akizungumza...
  3. Baraza la madiwani Halmashauri ya Rombo lahamia CCM

    Katika muendelezo wa opersheni kali ya kuifuta Chadema mwenyekiti wa UVCCM Taifa amewapokea madiwani zaidi ya 27 wa baraza la madiwani halmashauri ya Rombo ambao wamajiunga CCM na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli. Huu ni mwanzo tu...kazi inaendelea
  4. J

    GE2020 UCHAGUZI WA ZANZIBAR: Great thinkers, inabidi iwashangaze kuwa mpaka sasa hakuna mwana CCM yeyote aliyechukuwa fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho.

    Amani iwe nanyi, Mimi binafsi imenishangaza na kunishtua kuona kwamba mpaka sasa hakuna yoyote aliejaribu hata kujitokeza tu kuchkua fomu. Kuna maswali mengi sana fikirishi katika hili. Je ni kweli viongozi wa juu wa chama ndio watahusika moja kwa moja kutoa jina pendekezwa na kumpa green...
  5. Madiwani Watano kupitia Chadema huko Arumeru wahamia CCM

    Baada ya Humphrey Pole Pole sasa ni zamu ya Kheri James kuipasua ngome ya Chadema huko kaskazini. Huyo ni mmoja wa madiwani vijana Waliojiunga leo hii
  6. Baadhi ya sababu za kuinyima kura Serikali ya CCM Oktoba 2020

    Kuelekea uchaguzi mkuu 2020, ndugu mtanzani amini usiamini unao uwezo wa kuiondoa CCM madarakani, nitaelezea kwenye uzi mwingine jinsi unavyoweza kulitumia sanduku la kura kuleta mageuzi chanya. Kwa leo naomba tukumbushane machache tu ambayo serikali ya CCM imeyafanya na hivyo kustahili kupewa...
  7. GE2020 CCM isitarajie mno mteremko 2020

    Bahati nzuri au mbaya flyovers, ujenzi wa barabara pana, ndege, na meli havijafika huku kwetu Nanjilinji hivyo sio rahisi watu kupiga kura kwa kushawishiwa na vitu Kama hivyo. Wao bado wanasubiri atakaewapelekea maji ya kunywa, barabara, masoko ya mazao yao, na pesa mifukoni mwao. Wale...
  8. Kwanini Serikali ya CCM miradi ya watu kama maji mpaka wakope ndio itekelezwe? Lakini majengo hutolewa taslimu?

    Serikali ya ccm sijaelewa njiani hugawa cash sana kuliko kuzingatia bajeti iliyopangwa katika eneo husika na siku hizi anatembea nazo hasa kwe ye nyumba za ibada na kugawa maburungutu na haijulikani zinatoka wapi. Katika maongezi na Waziri Mkuu wa India nimegundua kuwa miradi ya maki ya nchi...
  9. Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

    Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia? Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni! Hii awamu hii
  10. Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

    Inasemekana ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa ccm kufanya shughuli za chama kwa urahisi , Jumla ya baiskeli zilizogawiwa ni 780 Kutoa ni moyo .
  11. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

    Wanabodi, CCM ndio chama tawala na kwa Tanzania, tukubali tukatae, CCM ni chama dola. Tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa rais na wabunge October 25, mgombea akiishapitishwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM, then huyo ndio tayari ni mshindi, zoezi la uchaguzi ni kukamilisha tuu taratibu za uchaguzi ili...
  12. Miaka 5 ya CCM #Pambana Na Hali Yako

    ACT Wazalendo na Bajeti za Serikali ya CCM Awamu ya Tano 1. Mwaka 2016 kukiwa na shamra shamra kubwa za Serikali mpya makisio ya Bajeti yaliongezwa kwa 31%, Chama chetu kilipofanya Uchambuzi wa Bajeti ya Kwanza ya Serikali ya Awamu ya Tano tulihitimisha kuwa #TumeanzaVibaya kwani ongezeko hili...
  13. Hivi utajisikiaje mbunge umehamia CCM halafu unaenda kukataliwa na wanaccm kwenye kura za maoni? Angalizo: mtatukanwa sana na wapinzani wenu chamani!

    Mbunge umehamia CCM tena unawatukana waliokupa ridhaa ya chama kugombea. Unatukana sana huku unajisahau kuwa unaenda kugombea ubunge kwa tiketi ya chama ambacho umehamia juzi. Chama ambacho unaenda kukutana na magwiji ha propaganda chafu yaliyojipanga tangia 2016. Nawaambieni mtapata tabu sana...
  14. J

    CCM Zanzibar yakaribisha wanaccm kuchukua fomu za Urais, yasema uteuzi utafanyika Dodoma siyo Unguja

    CCM Zanzibar imesema ni ruksa kwa wanaccm wanaotamani urais wa Zanzibar kwenda kuchukua fomu. Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar amesema uteuzi wa jina la Mgombea utafanyika jijini Dodoma na siyo Zanzibar na kisha litapelekwa Tume ya uchaguzi. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  15. E

    Mambo haya yatakipa ushindi mkubwa CCM na yanaweza kupoteza wabunge wengi wa upinzani kwa kuzingatia muda uliobaki kufanya uchaguzi

    Mambo yafuatayo CCM ikijipanga vizuri itashinda kwa kishindo .... 1. Kitendo cha Tundu Lissu kwenda kuichafua nchi kwa wazungu. 2. Kitendo cha Zitto Kabwe kutaka nchi isipewe mkopo wa elimu na WB, na baadaye nchi kukopeshwa 3. Kitendo cha wapinzani kupinga kila kitu 4. Kitendo cha...
  16. T

    GE2020 Rais Magufuli atakavyowageuka CCM, Ndugai hatarudi, nawaambia mnielewe!

    Ninavyomjua Dkt. JPM ni mtu mwenye huruma na pia hupenda kupendwa na kusifiwa. Magufuli hapendi atokeze mtu hata mmoja ambaye huonesha kutopendezwa naye. Ndiyo maana ukimwomba msamaha mnamalizana. Kwangu mimi ukisikiliza sana wote walio upinzani utagundua hata Mbowe mwenyewe hajawahi...
  17. Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
  18. Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Riziki Lulida aomba kurejea CCM. Asema Rais Magufuli ni msikivu alifuturu naye na kuongea naye kama ndugu

    Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu. Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini. Nilijibu nataka kwenda nyumbani kufuturu. Akaniambia mimi ndio baba watoto twende, nami nikamuambia...
  19. Lengo la CCM ni kuifuta CHADEMA. Jeshi la Polisi limeshindwa sasa wanatumia vyombo vingine wasijekosa misaada toka kwa mabeberu kwa kuua demokrasia

    CCM toka mwaka 2015 walitumika sana kuzuia kuenea kwa upinzani hasa kuzuia mikutano ya kisiasa ya upinzani na kuruhusu mikutano ya CCM pekee nchi nzima. Ilitarajiwa kufika mwaka 2019 upinzani wote uwe ushakufa either kwa hila au kwa pesa, ndio kulichachamaa ununuzi wa wabunge na madiwani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…