ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

    Mgombea Urais wa Chadema anafanya kampeni kata kwa kata. Usikose kuyasikia madini ya Lissu, leo kata ya Isman. ===== "Mafurikoo Ya Wananchi Wa Iringa Kwenye Viwanja Vya Mwembe Togwa KatiKati Ya Mji Wa Iringa. Mheshimiwa Tundu Lissu Akiwa Jukwaa Amenadi Sera Zifuatazo... 1. Itakuwa Jambo La...
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

    Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na mwingine unaongozwa na Kassim Majaliwa, sisi hatutumii chopa." - Humphrey Polepole. Mzee Jakaya Kikwete...
  3. JamiiForums Tanzania CCM tambueni kuwa Tundu Lissu siyo muoga na sheria anaijua vizuri. Mwisho wenu uko karibu

    Yaani CCM walivyopaniki na kuanza kutukana katika kampeni zao ni wa kuonea huruma. Tena wasimfananishe Lissu na Dr Slaa au LOWASSA, haya yote ni makali ya CCM. Lissu ni mpinzani halisi ambaye hata siku moja hawezi kuisema vizuri CCM wala mgombea wake. Kuamini kua CCM wengi wao hawatumii akili...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Penye jina CHADEMA weka CCM

    Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. _____ 1. Kama Tume ya Uchaguzi (NEC) ikifanya makosa, ukaikosoa lakini ukanuniwa na CHADEMA, basi una haki ya kuamini kwamba makosa ya NEC yanaagizwa na CHADEMA. Penye neno CHADEMA, waweza kuweka CCM. 2...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

    Kwenye kampeini za ubunge kuna mambo na vitimbi huko lumumba. Huyu hapa niwanachama wa ccm akiiumbua ccm na kuwaambia ukweli. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kuwaengua baadhi ya wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha kumewaongezea umaarufu maradufu wagombea hao

    Siyo siri kuwa hizi njama zilizofanywa na hawa wasimamizi wa majimbo, ambao ni makada waaminifu wa CCM, kuwaengua kihuni wagombea wa vyama vya upinzani, kwa wingi na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha, kutakuwa kumewaongezea umaarufu mkubwa hao wagombea wa upinzani Ni lazima hivi sasa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa Lamadi wana neno lao kwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ndugu Magufuli

    SALAAM KUTOKA LAMADI KWENDA CHATO ALIKOPUMZIKA MGOMBEA WA CCM NDG. MAGUFULI. Ndg, mgombea na Mh. Rais salaam sana. Hivi majuzi umekuwa kwenye ziara ya mikutano yako ya kampeni kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Watu wamekusanyika kwa hiyari yao na wengine kwa kushawishiwa ili wakusikilize. Mh...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtanzania amka: Wasanii kazi yao ni usanii, Kampeni za Uchaguzi Mkuu si usanii, hatuhitaji maigizo wala kukatiwa mauno!

    Msikilizeni huyu kijana. Baadhi ya wasanii walikuwa wakifanya mambo machafu. Mambo yasiyoendana na maadili ya Watanzania. CCM iwe makini katika kuchagua wasanii wa kufanya kampeni. ======= Kila baada ya miaka mitano ukichagua hovyohovyo itakugharimu wewe, mke wako, mdogo wako, mama yako...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naona dalili za CCM kupaniki na sasa wanaanza kutafuta shari

    Dalili ni hizi tatu miongoni mwa nyinginezo. 1. Speech ya Makamba kumjibu Lissu Huyu mzee katoka mafichoni na kuja kujaribu kujibu hoja za Lissu! Ni hivi: Mzee kaona jahazi linazama, kwahiyo akaona ni bora ajitokeze kuokoa jahazi ingawa kazi ya kujibu hoja za Lissu walipewa UVCCM kwa maagizo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni yetu sote! Tukikupa uongozi ukumbuke ni neema tu za Mungu

    Tanzania ni yetu sote na tusifike mahali vyeo vyetu na nafasi kuwafanya watu wajisikie wakimbizi ama wasio na haki na taifa lao. Mimi ni mtanzania kitovu changu kipo tanzania na nitafia tanzania hiyo ndio silaha pekee kwa kila mwenye pumzi ndani ya taifa hili. Wapo viongozi wanataka kufanya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni bila kukidhi kiu ya walengwa za nini?

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Malengo ya kampeni ni kuonyesha kwa nini mgombea mmoja anafaa kuliko mwingine. Kujinadi kwa wapiga kura na hata kupigana madongo kwa wagombea ndiyo sehemu ya mchezo wenyewe. Wagombea wote ni shuruti wawe katika uwanja sawa ili...
  13. JamiiForums Tanzania Ampiga Mume wake kisa Kuichagua CCM

    AMPIGA MUMEWE KISA KUICHAGUA CCM Na, Robert Heriel Unaweza kufikiri ni utani, au mzaha au ni uongo, pengine wengine Mkafikiri ni Propaganda. Lakini ni ukweli kabisa. Mimi mwenyewe niliyeshuhudia sikuamini. Hivi mnaanzaje kupigana kisa vyama vya siasa, tena mnadundana haswa, mnachapana...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Taasisi iliyokusanya maoni ya mgombea wa CCM kushinda uchaguzi mkuu kwa asilimia 85, inachekesha na kusikitisha

    MAANA YA UTAFITI Utafiti ni njia ya kupata utatuzi wa suala fulani katika jamii na mazingira ya binadamu kwa njia ya uchunguzi unaotumia nadharia za kitaaluma na kisayansi. Aidha utafiti ni njia maalum inayofuatwa ili kufikia ujuzi au taarifa muhimu inayokusudia kuchangia katika usomi wa kina...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: John Heche akishangiliwa na wananchi wa kata ya Nyanshicha kijiji cha Nyantira kwenye kampeni, CCM kwaherini

    Mbinu pekee ya CCM kushinda Uchaguzi huu ni miujiza tu, hali yao si tu ni mbaya bali ni dhooofuli hali. Jionee mwenyewe.
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Kyela: CCM yazindua kampeni zake kwa nuksi, hospitali ya wilaya yaungua wakiwa mkutanoni, wazee waitabiria anguko kubwa sana

    Kwa mujibu wa ratiba ya CCM Wilaya ya Kyela , Leo tarehe 11/9/2020 ndio siku iliyopangwa kuzindua kampeni za uchaguzi, ambapo Mgombea ubunge wake aitwaye Kinanasi ambaye inasemekana miezi 6 iliyopita alikuwa hajui kusoma wala kuandika angetambulishwa rasmi akiwa pamoja na wagombea udiwani wa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA hakuna

    Ukitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja. Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani. Huoni zile...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wa ilani ya CCM kwenye kudumisha Muungano

    Na Bwanku M Bwanku CCM kwa miaka 56 toka kuasisiwa kwa Muungano wetu adhimu wa Tanganyika na Zanzibar imeendelea kuthamini na kudumisha Muungano wetu huu wa mfano kote duniani, wa kihistoria na wa kipekee sana kwa kuzidi kuulinda, kuuenzi na kushughulika na changamoto zake zote ili uendelee...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole ni wa kupuuzwa, eti CHADEMA haina hospitali, kwani Muhimbili ni ya CCM?

    Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo. "Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa Wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Vijue vipaumbele kwenye Ilani ya CHADEMA vinavyoitesa CCM

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…