ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama sisi wapinzani tunataka kuingia Ikulu kivyetu tusimamishe mtu mnafiki ajifanye kuhubiri amani na utulivu

    Ndugu zangu wapinzani najua sana ukikosoa tu, cha kwanza unapata jina la ubatizo mtakatifu kuwa ni mamluki, umetumwa na mengine mengi. Ndugu zangu hata Mungu kama wewe ni msomaji wa Biblia utaona alikuwa anatulia anafundishwa na Musa na anakubali maelekezo sembuse Chadema na wapinzani? Tutakaa...
  2. JamiiForums Tanzania Maswali ya Wazanzibari kwa CCM

    Ni vyema wawaambie Wazanzibari wameshindwa nini kuiletea Zanzibar maendeleo tokea 1977 wakati Chama chao kilipoanzishwa hadi leo? Cha muhimu zaidi, wawajibu Wazanzibari angalau Masuala 7 yafuatayo kati ya masuala zaidi ya 700 ambayo Wazanzibari wanayo: - Kwa nini walitumia Jeshi mwaka 2015...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM na NCCR Mageuzi watwangana makonde Bariadi kila chama kikituhumu kingine kuwa chanzo cha vurugu

    Wafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu. Wafuasi wa NCCR Mageuzi ambao walipokea kichapo cha haja wamesema CCM ndio waliowapiga lakini Katibu wa CCM Bariadi amesema wafuasi hao wa Nccr mageuzi ndio...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kura za huruma ni zipi? CCM walidai Lissu anatafuta kura za huruma, kadhalika Wamarekani wanadai Trump anazitafuta hizo pia

    Naomba wabobezi wa siasa za uchaguzi mnipe tafsiri ya kura za huruma. Kuna watu walidai Tundu Lisu anatafuta kura za huruma na sasa baada ya Trump kuugua Corona baadhi ya Wamarekani wanadai Rais huyo wa Marekani anatafuta kura za huruma. Kura za huruma zinapigwaje? Maendeleo hayana vyama!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbinu za CCM zinazowaacha hoi wapinzani kila uchaguzi ukifika

    Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM jaribuni kutumia akili na busara kuelewa maoni ya upinzani. Kuhoji sio kupinga

    Nimeshangaa kuona kwamba wengi wa wanachama wa CCM pamoja na viongizi wao wamekuwa wakiwashambulia watu wa upinzani kila wanapotoa maoni juu ya miradi kama SGR, ndege za ATC, mradi wa umeme wa SGR, flyover nk Utakuta mtu anasema kwa nini unapanda ndege za ATC alizonunua Magufuli wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Anguko la CCM litaanzia Zanzibar

    Kwa mtazamo wangu, Raia wa Zanzibar wako more informed kuliko wa Tanganyika. Uthibitisho ni wakati Zanzibar ni nchi ya Pili afrika kuwa na Television miaka ya sabini sisi tumeanza mambo hayo tena kwa tabu sana miaka ya 90. Exposure yao iko huu kuliko sisi. Information is power. Sitegemei CCM...
  8. JamiiForums Tanzania Ubungo Interchange ni ushahidi kwamba bado Serikali ya CCM haifanyi kazi kwa ufanisi

    Habari za wakati huu; Nimeandika uzi huu ili kumpa jibu la herufi kubwa kaka yangu mheshimiwa wakili msomi Paskali ambaye pia alikuwa Mtia nia Ubunge Jimbo la Kawe. Kwanza kabisa nimesikitishwa kwa msomi kama yeye kutuambia kwamba TUMPE KURA MAGUFULI KAMA SHUKRANI. Amenikera na kuniudhi sana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tatizo letu ni kuiondoa CCM madarakani - Miaka 56 imetosha

    Tatizo sio wagombea, kubwa ni system nzima katika kuiongoza Tanzania, kuiondoa mfumo huu wa kimwinyi na kibepari ni lazima CCM iondoke ikae benchi, kama itakavyokuwa baada ya ushindi wa kimbunga wahindi wanaita tufani hapo tarehe 28 kuamkia 29 mwezi huu wa kumi 2020. Inaanzwa na kumuondoa...
  10. JamiiForums Tanzania "CCM sio tu ni chama cha siasa, CCM ni chama tawala kinachotawala Dola, CCM ni chama Dola, CCM ni Dola!"

    Salaam wana jamvi, Nimesoma maazimio ya kikao cha NEC ya Chama cha Mapinduzi, yameniacha na maswali bila majibu. Kuna wengi hawajui kuhusu CCM, wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,kama vyama vingine,ukweli ni kuwa, CCM sio tu ni chama cha siasa, kama vyama vingine, CCM ni chama tawala...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

    Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi. Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa. Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

    Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi? Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
  13. JamiiForums Tanzania CCM na Polisi, CHADEMA wanahusikaje?

    Ameandika Malisa GJ kuhusu Mauaji ya Mlelwa wa CCM Njombe Kwanza kabisa nalaani mauaji ya Bwana Emmanuel Mlelwa kada wa CCM anayedaiwa kuuawa huko Njombe. Either mauaji haya yametokana na sababu za kisiasa au zisizo za kisiasa tunapaswa kukemea kwa nguvu zote. Hakuna sababu yoyote inayo-justify...
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea CCM wakwama kufanya kampeni

    Wagombea Ubunge wengi wa CCM wamekwama kufanya kampeni kwa kuzingatia ratiba ya tume huku sababu zifuatazo zikitajwa 1. Kukosekana kwa fedha na chama, wabunge wengi wanakwama baada ya bajeti kubwa kuelekezwa kwa wasanii waandishi, watangazaji, viongozi wa umma wanaoratibu uchaguzi kwenye...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Siwaamini tena CCM, ni waongo

    Uwongo wao unaonekana wazi wazi mbali ya vitendo vyao hata kauli zao, hawa si wa kuwaamini. Huyu Polepole aliapa na kuwaambia wananchi wasiipe kura CCM au wasiichague CCM na hawa waliofikia hadi kuwa mawaziri na kufika kugombea uraisi wote walisema na kuapa kuiswaga CCM, leo wote wamerudi. Una...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kukataliwa kwa CCM kwenye mikutano kusimamisha shughuli za kampeni nchini

    Tume ya uchaguzi mnashindwa kujitenga na chama Cha mapinduzi. Mliaanza kuwapa ushindi wa mezani, mkamaliza mkawasimamisha wagombea wa udiwani na Ubunge kufanya kampeni lakini homa ikazidi kuongezeka. Magufuli baada ya kufanya kampeni siku mbili Iringa,Songwe na Mbeya akagonga mwamba akaona...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Umefaidika nini na CCM -Jipime tokea 2015 tu hata leo uipe tena kura yako

    Muulize na jirani yako ni kitu gani binafsi kimembadilikia katika maisha yake tokea aichague CCM 2015 hadi leo,kiasi ya kwamba anafuraha ya kuipa tena CCM kura yakemfaida gani ya kujivunia yeye kama yeye mpiga kura wa kawaida tu,kama hakuna mabadiliko tokea 2015 hadi leo kwanini asiipeleke kura...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHAUMA tunakwenda vizuri. CCM mjiandae kuondoka 28/10/2020

    Mwenendo wa kampenii wa chama chetu uko vizuri sana. Mpk sasa hakuna hata mgombea wetu mmoja wa udiwani ama ubunge aliyeenguliwa. Kampeni za mgombea urais zina utulivu mkubwa na zinafanywa kisayansi Sana tena kwa gharama nafuu kabisa. Watanzania endeleeni kutuunga mkono 28/10/2020 tuiondoe CCM...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

    Wana JF, Ni zaidi ya miaka 50 sasa tukiwatumikia hawa wanyonyaji/wakoloni weusi. Napendeza mara tu CHADEMA/UPINZANI ukiingia ikulu "CCM" ifutwe mara moja kwani haitakiwi kuwapo ktk siasa za ushindani kwa sababu zifuatazo; 1. CCM iko ikulu zaidi ya miaka 50 sasa bila mafanikio yoyote ya...
  20. JamiiForums Tanzania CCM kitakuwa chama bora cha upinzani na Uchaguzi wa 2025 utakua mgumu

    CCM ikikosa dhamana ya kuongoza nchi, kama haitasambaratika kitakua chama bora cha upinzani kupata kutokea Tanzania. Kuna makosa machache yakifanyiwa kazi na CCM kuingia kwenye tanuri kitatoka kama dhahabu safi inayo ng’ara. CCM Ina uzoefu wa kuiongoza nchi, hivyo itakua mkosoaji mkubwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…