ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2020 Ngome za CCM vs Ngome za CHADEMA

    Kwa hali ilipofikia sasa ni kwamba Mheshimiwa Rais Dkt JPM alisahau kuwekeza kwa wananchi akawekeza zaidi kwenye uwekezaji wa vitu na miradi mbalimbali ndio maaana mambo yamekuwa magumu, kwa hesabu za haraka haraka hizi ndio ngome za Lissu na Ngome Za Magufuli Lissu...
  2. GE2020 Kyela: CCM yateketezwa bila huruma, viwanja inavyohutubia CHADEMA vyazidiwa na umati wa watu

    Mara nyingi tumeandika humu kuhusu mwisho halisi wa CCM jimbo la Kyela tukiwa na vielelezo kamili visivyo na shaka yoyote lakini tulipuuzwa , sasa ni dhahiri mwisho huo umetimia Pichani ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema kutoka Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi akiongoza mashambulizi kwenye...
  3. D

    GE2020 Ushauri wangu kwa Magufuli na CCM: IKiwa Magufuli ataacha kupiga kampeni atapata kura nyingi kuliko anavyoendelea kupiga kampeni

    Huu ni ushauri wangu wa dhati na wa kweli kwa Rais Magufuli na CCM wote. Magufuli aache kupiga kampeni. Nasema hivyo kwa sababu naamini kuwa kadiri anavyozidi kupiga kampeni wapo wapiga kura lukuki anawapoteza kirahisi kabisa. Nasema ukweli na ndivyo ulivyo. Aidha kama atalazimika kuendelea...
  4. GE2020 Namkubali Dkt. Magufuli, siikubali CCM lakini ni propaganda potoshi kumuita Lissu kibaraka wa Wazungu

    Nimekuwa nikimfuatilia Lissu kabla na baada ya tukio la kujeruhiwa. Wengi wanaompinga kwa kisingizio cha ukibaraka wenda wanafanya makusudi, au wanataka kuwaokota watu wasio na ufahamu au ni kukidhalilisha chama cha Mapinduzi kwa kutumia mbinu za kizamani. Zamani za CUF tulitishiwa udini...
  5. J

    GE2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

    Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976. Ni kampeni za kihistoria, karibu. ========== Updates; MIGORI, IRINGA LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...
  6. T

    GE2020 Hebu tuambizane ukweli, Magufuli anatumia kigezo gani kusema atashinda Uchaguzi?

    Mgombea urais wa CCM, Magufuli anadai kwenye kampeni kuwa atashinda Uchaguzi. Je, anatumia kigezo gani? Kwenye mikutano yake ya kampeni anawaambia wananchi kuwa wamletee Diwani na Wabunge wa CCM eti yeye atashinda tu, Je, anatumia kigezo gani? Anadiriki kuwaambia kuwa wasipochagua wabunge wa...
  7. M

    GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina upendeleo wa wazi kwa CCM na mgombea wake dhidi ya CHADEMA na Tundu Lissu

    Kwa mujibu wa katiba ya nchi na kwa mujibu wa sheria za uchaguzi, Tume ya Taifa ya uchaguzi ndiyo yenye mamlaka na dhamana ya kuendesha na kusimamia chaguzi za wabunge na rais nchini. Katika kutekeleza majukumu hayo kuna sheria kanuni na miongozo ya kufuata ikiwemo kuwa fair kwa vyama na...
  8. GE2020 CCM itashinda uchaguzi huu kwa kishindo kikuu kutoka kwa wananchi wa makundi haya

    Salaam Utafiti wangu mdogo unanionyesha kwamba CCM itashinda kwa kishindo sana kwenye uchaguzi huu, na kupata kura nyingi sana kutoka kwa makundi haya 1. Wale waathirika wa bomoa bomoa kimara (Zaidi ya familia 350 ziliathirika) na maeneo mengine ambao kesi zao bado zilikuwa mahakamani...
  9. GE2020 Kwanini vyama vya siasa havina mabango ya kampeni mitaani ila CCM tu?

    Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani. Hii Ina maana gani kwa uchaguzi? Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Tume, Msajili au Serikali?
  10. K

    Ruvuma, Lindi, Tanga na Tabora ngome za CCM zilizozama kwa umaskini, Ngome za wapinzani zipo uchumi wa Kati

    Maeneo yote wanayochagua CCM ni maskini wa kila kitu, CCM ikishachaguliwa ukimbilia kupigania maendeleo ya maeneo ya majimbo ya upinzani ili yarejeshwe kwao UCHAGUZI ujao. Hakuna fadhila wanayopata wanaowachagua na ndiyo maana nchi haipigi hatua. Mwanza waliwachagua lakini wabunge wote walibaki...
  11. M

    GE2020 Hoja ya CHADEMA kwamba wahudhuriaji wa mikutano ya CCM kwamba wanabebwa kwenye magari naifananisha msemo wa usilolijua sawa na usiku wa giza

    Kwanza niwaulize hao wanaouzulia mikutano yenu wanatokea umbali gani? Kama wanatokea nje ya miji au katikati ya miji wanatumia nauli zao au zenu? Mna uhakika gani kama wamejiandikisha au lah!, mnajuaje kama wote wamekuja kwa lengo la kuwapenda maana watanzania ni kawaida yao kuhudhuria...
  12. W

    GE2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
  13. Q

    GE2020 Ngome kuu za CCM (Kanda ya Kati na Kanda ya Ziwa) walizokuwa wakizitegemea zimetikiswa

    Kwenye uchaguzi mkuu uliopita wa 2015 CCM ilipata kura 8,882,935 za urais, karibu nusu ya kura zote zilitoka kanda ya Ziwa na kanda ya Kati. CCM ilipata kura 3,638,623 kutoka mikoa 9 tu ya Dodoma, Singida, Tabora, Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kagera na Shinyanga, huku CHADEMA ikiambulia kura...
  14. Kwanini Mwenyekiti wa CCM ndio awe mteuzi wa Tume ya Uchaguzi?

    Kamwe haki na usawa haviwezi kuwepo kwenye uchaguzi wa nchi hii Hadi pale rais atakapo ondolewa mamlaka na madaraka ya uteuzi wa Tume ya Uchaguzi. Nashauri yafanyike mabadiliko ya katiba, Tume ya Uchaguzi iundwe na bunge au na mahakama ili kuondoa malalamiko na watu kuona hawajatendewa haki. CCM...
  15. GE2020 Kwani CCM mlitakaje!? Lissu ana kosa gani?

    Ajabu Sana, CCM na Serikali mlitakaje kwani! Kwamba Lissu asimame Kwenye Majukwaa kama Paroko anaye ongoza Misa au Kama msanii! Mlitakaje ndugu zangu! Lissu Yuko kwenye Battle Field , Anatafuta anacho Kitafuta, anapigana Vita, Kwenye Vita hatuchaguliani Siraha, Chochote Cha Kuua na Kupiga Huwa...
  16. Waziri wa Ulinzi wa Afrika Kusini akatwa mshahara kwa matumizi ya ndege ya Jeshi

    Rais wa Afrika Kusini amemkata mshahara waziri wa ulinzi kwa miezi mitatu baada ya kuruhusu maafisa wa chama tawala kusafari kwa kutumia ndege ya jeshi hadi nchini Zimbambwe pamoja naye Septemba 9. Nosiviwe Mapisa-Nqakula alishtumiwa kwa kuruhusu matumizi ya rasilimali ya taifa kwa sababu za...
  17. B

    GE2020 Tuchague watu wa kuleta sheria zisizokataza dhamana kwa watuhumiwa, zimetumika vibaya sana awamu ya tano

    Matumizi ya sheria inayohusu masuala ya uhujumu uchumi yamekuwa mabaya sana awamu ya Tano. Kati ya watu walioteswa na sheria hizi kandamizi ni viongozi wa kisiasa wenye mtizamo chanya dhidi ya wananchi na wafanyabiashara. Hizi sheria hazijafutwa, bado zipo na zinazidi kutumika vibaya na baadhi...
  18. GE2020 CCM yagawanyika, hawana majibu hoja za Lissu!

    MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro - MKAPA), Hale (Tanga - NYERERE), Pangani...
  19. M

    GE2020 Wasanii hawawasaidii tena CCM, Watu wanataka kusikia kuhusu masuala yanayohusu nchi yao!

    Watu wa sayansi wana kitu wanakiita saturation point, yaani ni point ambayo hata ukiongeza kitu fulani kilichokuwa na matokeo chanya kwenye mchakato fulani hapo awali, basi kitu hicho kinakuwa hakina msaada tena kwenye kuuongezea kasi mchakato huo. Sasa kwa kampeni hizi za CCM, Wasanii kweli...
  20. GE2020 "CCM tumeanza vizuri, tumalize vizuri pia"

    Kwakuwa tumeanza kujibu hoja za Chadema basi tujibu zote ili tutoke kwenye wakati mgumu huu, maana wananchi kipindi hiki wanasikiliza wagombea wote na kupima hoja zao. MOSI. Chadema kwa kupitia mgombea wao amekuja na hoja ya kutaka kufifisha kazi nzuri na kubwa iliyofanywa na serikali ya ccm...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…